Hogera sana walimu na walezi wote kwa kazi nzuri, Mungu aendelee kuwabariki na kuwainua, tunajivunia sana na tunatamani tupate CD ili tuweze kusaidia kama wazazi kuziuza makanisani kwetu ili tuendelew kuwainua, tunaomba mtoe CD kama inawezekana
Hongereni sana wanafamilia wote wa Collegine Girls Secondary School kwa kutimiza miaka kumi tangu kuanzishwa kwa shule yenu. Sifa na utukufu apewe Mungu daima 🙏🙏
Waooooooo so amazing❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥Familia ya wanacollegine
Hogera sana walimu na walezi wote kwa kazi nzuri, Mungu aendelee kuwabariki na kuwainua, tunajivunia sana na tunatamani tupate CD ili tuweze kusaidia kama wazazi kuziuza makanisani kwetu ili tuendelew kuwainua, tunaomba mtoe CD kama inawezekana
Asante kwa ushauri, tutalifanyia kazi
Hongereni saanaa
Asante sana
@@sekondariyawasichanacolleg4011 Nawapenda maaana mnatoa nyimbo za kuelimisha na kuburudisha Mungu awatie Nguvuu🙏🙏🙏
@@oppymakwale3008 Amina
Hongereni sana, ninawafuatilia vizuri sana kutoka Jimbo Katoliki la Tanga, Pwani House ( Radio Huruma )
Pongezi kwenu, nakuona Mwl wangu Francis hongera sanaaaa🤗
Asante sana Ray
Congrats❤❤my lovely school
Thank you
Hongereni sana wanafamilia wote wa Collegine Girls Secondary School kwa kutimiza miaka kumi tangu kuanzishwa kwa shule yenu. Sifa na utukufu apewe Mungu daima 🙏🙏
Amina
Asante Mungu Kwa neema ulizotujalia Kwa miaka 10 tangu kuanzishwa Shule yetu VIVA COLLEGINE .
Asante sana. Karibu Collegine Kwetu
Kweli tunayaweza yote katika yeye atutiae nguvu hongereni sana🎉
Amina
Yote yawezekana ktk kristu, Collegine girls kwetu daimaaaa
Mzee wa vibaiskeli! what a creativity!
Hongereni sana masister WACOLLEGINE WA FAMILIA TAKATIFU kwa kuwa sehemu ya mafanikio haya makubwa.
Shukrani sana kwa matashi mema. Karibu Collegine.
Kazi nzuri sana
Asante sana
Hongera sana Collegine family, kwa kutimiza miaka kumi, tunawapenda sana
i need kesho
Itakujia hivi karibuni ndugu