FAHIM HAMZA Aelezea kisanga cha huko MUSCAT watu kufanyiwa vitendo vibaya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 877

  • @saumumresh3667
    @saumumresh3667 7 ปีที่แล้ว +56

    nikweli oman co weto wanao teseka mm niko na mamangu mdogo yuko huko na sasa yuko na miaka mitatu na haja teseka kwa hiyo wabaya wako kila mahali lkn mateso ya oman na ya kwenu ni tofauti ila co wote wabaya

    • @wardahhabibyt6801
      @wardahhabibyt6801 7 ปีที่แล้ว +5

      Saumu Mresh umenena kabsa...tupo weng na hakuna shda.co wote

    • @saumumresh3667
      @saumumresh3667 7 ปีที่แล้ว +8

      wardah habibyt nikweli ictoshe inatengemea na ww mwenyewe utakavo jieka

    • @wardahhabibyt6801
      @wardahhabibyt6801 7 ปีที่แล้ว +5

      Saumu Mresh kwel mana na wao pia wanaitaj wafanya kaz..na tusiwaseme vibayaa mana wengne twaish vizur nao..na wanatujal pia

    • @niaanthony9588
      @niaanthony9588 7 ปีที่แล้ว +3

      Saumu Mresh umeongea kitu chamaana kwa ni mm niko huku nasiteseki alafu km mateso yapo kila pahalitunaishi kwa raha sana

    • @halimkepa7766
      @halimkepa7766 7 ปีที่แล้ว +6

      Saumu Mresh minimekaa miak 4 wallah sijatesek wala nn Alhamdulillah

  • @AishaJuma-w9v
    @AishaJuma-w9v 13 วันที่ผ่านมา

    Mateso yapo haswaaaa namshukuru mwenyez mungu Kwa kunirudusha nyumban🙏 tz

  • @rechok.k.m.5117
    @rechok.k.m.5117 7 ปีที่แล้ว +3

    Sijaona hata cha maana alicho ongea jaman oman kazi utafanyishwa mpaka usiku wa manane hupumuwi alafu watu wanalazwa mpaka stoo watu wanateswa mnapinga upumbavu mishahara tunapewa midogo nchi zingine Marais wao mashaallah wanawaangalia sana wasichana wao wanao toka Nchii zao wanahakikisha wanapewa mishahara mizur lakini watanzania tunaonewa yaan Nchii yetu ipo nyuma sana kimaendeleo n.a. ukiangalia watanzania ndo tunafanya zaid kazi kuliko hao waindonesia wafilpino lakini wezetu mshahara mkubwa ila Africa sis mishahara midogo sana alafu mnasema et omani hakuna neno jaman ebu kuweni wakweli watu wanateswa kwa kifup wa africa hatuna haki kabisa ijaza hatupewi hatupumziki kutoka shida kaaah kama tupo jela

  • @shamzone388
    @shamzone388 7 ปีที่แล้ว +12

    Kaka asante sana...maana wamezoweya kututia aibu watu wa oman...nikiwa ni mmoja naiahi na wafanyakazi kama ndugu zangu...mnyonge mnyingeni haki yake mpeni...PONGEZI KAKA HAMZA ...ALLAH AKUPE KILA LA KHERI AMIN

    • @rehemaradhid5716
      @rehemaradhid5716 5 ปีที่แล้ว +1

      Niko omani sii wote wabaya ata tz wako wabaya na wazuri mimadam wangu amenipenda kweli atakwenye gari ataki nikae nyuma nakaambele kwaraha zetu omani oyeeee

    • @dalalihadaiwi524
      @dalalihadaiwi524 4 ปีที่แล้ว

      Ety ni kweli Oman hawaruhusiw kuoa waafrika

    • @dalalihadaiwi524
      @dalalihadaiwi524 4 ปีที่แล้ว

      Naskia sheria zao hawaruhus kuoa watu weusi

    • @mwanahassan6487
      @mwanahassan6487 4 ปีที่แล้ว

      . m nmetaka kuja had naogopa jmn

    • @sarapaulo4718
      @sarapaulo4718 3 ปีที่แล้ว

      @@mwanahassan6487 shoga Ang wengi tunaogopa

  • @davidphares5316
    @davidphares5316 7 ปีที่แล้ว +5

    jamani mm nipo oman na ninaish vizuri alhamdulilah nasikia tu watu wakiteswa lakini naweza sema mungu awafanyie wepesi wote wanaoteswa mabos zoa wapewe roho za kibinadam tuendelee kufanya kazi kwa pamoja oman na nch nyingine nyingi tu ee mungu tusimamie ktk kutafuta rizki ya halali naomba tuseme amina wote tuliopo oman nch za watu kikazi au kibiashara

  • @maryamalhajri5886
    @maryamalhajri5886 5 ปีที่แล้ว +5

    Asante kaka umeongea vizuri umetupa haki

  • @alexnass7741
    @alexnass7741 6 ปีที่แล้ว +1

    Nipo Uengereza, nafanya kazi na Nimefanya kazi tofauti, na pia huku Ulaya tunapata mitihani ya kazi mpaka unaacha kazi, nilipo kuwa Tanzania Nimefanya kazi tofauti, majungu mengi na roho mbaya zipo hadi unafukuzwa kazi, hii mitihani ipo, na kila tunapo Enda tunayakuta, hivyo Watanzania msikate tamaa ya kutokwenda au kutofanya kazi, omba dua tu Mungu akupe kazi Utakayo I penda. ✌

  • @avriltravie6021
    @avriltravie6021 5 ปีที่แล้ว +21

    Me nimekaa na mwarabu Oman miaka miwili sikuteseka nimekaa na mkenya Dubai chamoto nilikiona ubaya ni roho si rangi 🤗🤗

    • @valentinamussa4212
      @valentinamussa4212 5 ปีที่แล้ว +4

      Duuu kweli kabisa wakenya niwabaya ukikutana nao kazi moja wanasumbua sana,hasa wakituona watanzania au waowao kwa wao mjinga sana makenya,

    • @avriltravie6021
      @avriltravie6021 5 ปีที่แล้ว +1

      Boss wng alikua mkenya wkt nafanya kazi Dubai niliimba aleluyah ilifika mahali nilitaman nijitupe kwa dirisha ule mda anaoni insist kusafisha dirisha gorofa ya 17😭🤗so sa ingine mwarabu anaweza akawa mbaya saingine mpoa tujikaze na kazi tu bongo kugumu

    • @fredericcomonguzzi9652
      @fredericcomonguzzi9652 5 ปีที่แล้ว

      @@avriltravie6021pole sana mimi mkenya ni kweli ulifanyiwa vibaya ?manake wakenya wengi pia wanateseka huko uarabuni ulikubali vipi kuteswa na ngozi nyeusi kwa nini usingemtangaza kwenye social media tumfunze somo hatupendi ujinga huo na wala sisi sio wabaya

    • @godfreyjoseph9422
      @godfreyjoseph9422 5 ปีที่แล้ว

      Uko wapi kwa sasa dada?

    • @prettydamsel9237
      @prettydamsel9237 5 ปีที่แล้ว

      Watanzania ndio wabaya wacha uwongo, shenzi tanzanians

  • @zainabvancampszainabvancam3275
    @zainabvancampszainabvancam3275 7 ปีที่แล้ว +12

    Big up sie tupo na tutaendelea kuwepo Oman mnaotaka kuja njooni wasiwatishe hakuna shida yoyote shida kama zipo ni dunia mzima

    • @imasimas4506
      @imasimas4506 7 ปีที่แล้ว

      Zainab Van Camps Zainab Van Campes big up zainab

    • @mohamedikibasa418
      @mohamedikibasa418 5 ปีที่แล้ว

      Zainab Van Camps Zainab Van Campes .na mm nataka nije niunganishe

    • @RoseJames-ed5hv
      @RoseJames-ed5hv 5 ปีที่แล้ว

      Siku mtarushwa dirishani ndo mtaimba taarabu.

    • @rehemaradhid5716
      @rehemaradhid5716 4 ปีที่แล้ว +1

      KAMA kufa kuko kuko2 na wabaya wako kill a mahali na wazuri pia wako omani ukijua kilichokupeleka utaenjoy sana nimekaa omn miaka4

    • @jacquelinejoshua8340
      @jacquelinejoshua8340 4 ปีที่แล้ว

      mimi naitaji kwenda oman au dubai

  • @user-kj2xh6bt5y
    @user-kj2xh6bt5y 2 หลายเดือนก่อน +1

    Warabuu noma sana roho mbayaa sana

  • @tausilifestyle795
    @tausilifestyle795 7 ปีที่แล้ว +3

    Niko Oman huyu kaka ameongea u kweli salute kwake one love.

  • @carreyzaid1683
    @carreyzaid1683 6 ปีที่แล้ว +2

    Am a Kenyan, this is my third year, and it's the best country, yes everywhere, tuko na watu wenye roho mbaya, au mzuri, lakini kila uendapo,itategemea unavyo jibeba, yaani the way you carry yourself is the way you will be carried, tena l have friends and we speak Swahili, ila tu ni kuchunga kazi,

  • @salimzaidi9203
    @salimzaidi9203 5 ปีที่แล้ว +13

    Mimi niko huku na siteseki nipo kama nyumbani wabaya wapo kila sehemu dunia nzima

    • @belamicheal3353
      @belamicheal3353 5 ปีที่แล้ว

      Wanasemea coz kuna watu wengi ambao wanateseka sana

    • @shahama6663
      @shahama6663 4 ปีที่แล้ว

      Uu sioukweli siowoote wanaoteseka

  • @Ndiyooo
    @Ndiyooo ปีที่แล้ว

    Asante Kwa kusema ukweli my brother

  • @ansillasanda8919
    @ansillasanda8919 5 ปีที่แล้ว +8

    Umesema kweli Kaka wengeni wanaparamia waume za watu

  • @naimasafia7508
    @naimasafia7508 6 ปีที่แล้ว +11

    Jamani tuwe makini kwakusema wenzetu kila inci inawatu waroho mbaya na watu wa roho nzuri ila sio warabu wote tuseme ni wabaya. Mmi nilianzia Oman mpka nitoke nilikua naishi kma nyumbani mpka ivi niko saudia sijaona ubaya wwote so sikatai kma hakuna watu wabaya ila napinga kma sio wote

    • @aishadaba7045
      @aishadaba7045 5 ปีที่แล้ว +1

      Anaesifu mvua ilimnyea daa km ulipata mahali pazur Mshkur ALLAH AZZA WAJALLA dumisha ibada na kuwaombea woote wanao teseka poyoyo tuacheni wapo wanaoumia

    • @salalahdhofar6886
      @salalahdhofar6886 5 ปีที่แล้ว

      sikweli mm nimiaka karibu 10

    • @rehemaradhid5716
      @rehemaradhid5716 4 ปีที่แล้ว

      Niunganushue Saudia best

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 6 ปีที่แล้ว +3

    Hawaji kwa nia ya kazi.! na kila nchi ina sheria yake wasifikirie watafanya vile wanavotaka wao ile kuzurura ovyo.! Wasije oman bora wakae hukohuko tznia.!

  • @carmellecarmelle287
    @carmellecarmelle287 6 ปีที่แล้ว +10

    uyo ukweli kaka nasisi tuko saudia mbona hatuyaoni dhu waace uwongo ata uwe wapi kama haujieshimu basi watakunyoosha

    • @pendosammy5984
      @pendosammy5984 5 ปีที่แล้ว

      Carmella mateso ypo kuna dem upstairs hakuwa anaruhusiwa hata kuenda hammam pka baba awe hayupo alisafiri

    • @edwardguguyu7546
      @edwardguguyu7546 5 ปีที่แล้ว

      Carmelle Mambo vp?

    • @lucylucy7307
      @lucylucy7307 4 ปีที่แล้ว

      Callemele👎 umeon Kuteso kupo hata hapa Tanzania jaman au. Mbon mm nimefny oman miaka 3; n nimefany kaz vizr sana tena san. Nimerud mzima bila makelele watu wanataka wenyew kufanyiwa hayo mambo siyo ukwel acha uongo. N nimerudi nipo Dubai nkula bata kama kawa bila mateso acha uongo huo n mawivi mengi tuache tuishi kw aman.

    • @faridafarida4314
      @faridafarida4314 4 ปีที่แล้ว

      Nikweli Kaka W engine wavivu ndomana wanazua

  • @ibrahimbalhawasel5458
    @ibrahimbalhawasel5458 7 ปีที่แล้ว +16

    KWANI TZ NAKUNA WATU WANAOTESA WAFANYIKAZI?!!!.

    • @ummulkurthumabeid2914
      @ummulkurthumabeid2914 4 ปีที่แล้ว

      Wpo kibao wanafika tu nchi yap

    • @najmasaidi1412
      @najmasaidi1412 4 ปีที่แล้ว

      @@ummulkurthumabeid2914 tena adi mengine tunayashuhudia watu wanafanyiwa vitendo vya ajabu kama awapo mchini kwao

  • @huweihuwei6937
    @huweihuwei6937 7 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana kaka nikwer wengine awajieshimu ukikaa nawatu ukijieshim basi nao watakupenda WA tz tumezoe kuwa huru na kuruka ruka na mabwana uku akuna mabwana nikz tu kama kauli mbiu ya baba yetu hapa kz tu akuna kuteswa waache maneno ya uzushi tukafunguwa ss wengine twaishi kwa laha na
    Mtu ukiteseka na Kutuma vois aisahidii kitu ubaro upo kwann uendi kushiki

  • @suziejamila775
    @suziejamila775 ปีที่แล้ว

    I'm from Kenya 8 years in Oman Muscat sijaona umbaya yoyote haba

  • @rukiaomar4253
    @rukiaomar4253 5 ปีที่แล้ว

    kwakwer namsapoti uyo kaka wanao teseka wapo lakini sip wrote Sana saudiarabia soon Oman pako vzr wengine hawataki kazi wanawachafulia watu kazi wezao ubarozi inasaidia mashallah

  • @khamisahchao530
    @khamisahchao530 6 ปีที่แล้ว

    Ukweli ni kwamba watu wanateseka ila si wote, lkn wengi ndio wale wanateseka, mm niko Saudia na mateso kama kawa ni kuvumilia tu, hizo smart phone ni wachache walizo nazo, alafu hao ma agent wakisha kupandisha ndege ni wewe na Mungu wako, hawapeani namva za simu za maktaba wala wala embassy, tu angalieni vile mtaweka mikataba tenye kuwamulika wahusika yani ss tunao kuja kufanya kazi huku, Allah atunusuru

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 5 ปีที่แล้ว

    Uyu kk msenge kweli mimi nipo uku nashuhudia wa2 wanavyo teseka na iyo Wi-Fi umpate m2 na roho yke laki katika asilimia 100 utakuta35 ndo wenye imani acha unafiki uwende mbinguni unatetea upuuzi mimi naomba Rais apambane zaidi ili watu wasije uku najuta Kuja uku mana ninayo Yaona uku kwa jirani zangu yanatia hasira na njia ya kusaidia sina mungu tulinde waja wako wote tuliopo nchi za nje inshallah

  • @adijaadija8339
    @adijaadija8339 5 ปีที่แล้ว +4

    Hatamimi niko oman myaka mine naishivizuri ila panawezetu wanatesekasana tenasana

  • @myself4128
    @myself4128 5 ปีที่แล้ว +3

    Huyu sio Mzima
    Mtoto Chele huyu,anabahasha hapa mujini washamuharibu waarabu na ashazoea

  • @yusufmareka3959
    @yusufmareka3959 7 ปีที่แล้ว +1

    Huyo kaka nampa big up ameelexa ukweli mtupu,mm ni msichana hapa oman huu ni mwaka wa 4 na cjawahi kuona nikifanyiwa unyanyasaji,unyanyasaji upo hatukatai lkn sio wote wanafanyiwa hivyo,kikubwa ss tulioko nchi za watu inabidi tuheshimu mila na desturi za nchi hiyo siyo ufanye km upo nyumbani kwenu tena kila kitu unachofanya sawa tu

  • @rechok.k.m.5117
    @rechok.k.m.5117 7 ปีที่แล้ว +1

    Na kuhusu mkataba yaliyo andikwa ndani yake hayatekelezwi kabisa wanatuona sisi wendawazim lakini watanzania sio wakorofi ila uwaga wanatuchokonowa ili tuongee mtu atakupa pesa kidogo lakini mtu unalizika ila bado wanatuchokora

  • @saidajuma8584
    @saidajuma8584 7 ปีที่แล้ว +2

    Me pia nipo Oman Namshukuru Mungu madam wangu yuko peace and love ila kikubwa nikumuomba Mungu atulinde huku 2ko kwenye nchi ya wa2 Nampenda saaana madam wangu nayeye ananipenda coz anajua kuishi na watoto wawa2 vizuri Mungu mbariki madam wangu umfanyie wepesi kwenye kila zito Ameeen

    • @dissartv4806
      @dissartv4806 7 ปีที่แล้ว

      Saida Juma saida nicheck whatsapp 0719777186 tujenge maisha but now nipo chuo

  • @ummusamira3518
    @ummusamira3518 7 ปีที่แล้ว

    Unajuwa kila nchi kuna watu kweli nakuna watu wananembo yautu Ila sio watu Hata hapa kwetu wafanyakazi wanapigwa kuna mmoja yule aliyemuunguza pasi dada wake wandani nahuyo nimtanzania Sasa pia oman wapo baadhi wanaotia dosari nchi nzima Ila wengi wao huwa wako vizuri tu sema kazi zakule bize nakazi sio kama nyumbani wali mchuzi basi Kule vitu vyakahawa tu basi vinne vitano Ila vizuri ujipangie ila maisha ya kawaida

  • @UmmyilhamUmmyilham
    @UmmyilhamUmmyilham 5 ปีที่แล้ว +1

    Watuuu waongooo wengineee jamani mm nipo oman pia cjaona mateso na nipo mascut punguzeni jamani wapo wabayaa lkn sii wote na baadhi ya wafanyakazi pia wajeuri na wiziii

  • @sautisamsu2981
    @sautisamsu2981 5 ปีที่แล้ว +5

    mm nipo omani nafanya kazi huu nimwaka 6nipo

  • @sabrinasab2910
    @sabrinasab2910 4 ปีที่แล้ว +3

    Akaaaa mi napita tu na mm ndo Niko huku alhamdulillah wafanyakaz wanaume na wanawake tofauti hebu nyamamaza wewe

  • @tatoorashedi1787
    @tatoorashedi1787 3 ปีที่แล้ว

    Maisha ya utafutaji ni magumu mm nyumba ya kwanza nimelazwa chini miez 6nikatoka lakini ss naishi hapa nilipo vizuri nashukuru mungu

  • @rehemaradhid5716
    @rehemaradhid5716 5 ปีที่แล้ว +11

    Niko omani omani oyeee tunakula vizuri sana wewe kaka hongera

    • @bahatiamani4083
      @bahatiamani4083 5 ปีที่แล้ว

      Dada matatizo yapo lakini sio kweli vingine kweli

    • @rahmamshiraz2223
      @rahmamshiraz2223 5 ปีที่แล้ว

      Umeonaee

    • @suzanaagustino7940
      @suzanaagustino7940 5 ปีที่แล้ว +1

      Ata Mimi nipo Oman napatabraaa sana nimenenepa atareeeee

    • @thaubannaftali1439
      @thaubannaftali1439 5 ปีที่แล้ว

      @@suzanaagustino7940 Duh Susan utakuwa umenenepa vyote,vingine vikinenepaga vinazidi kuwa vitam wacha wee

  • @nadhifamohammed7749
    @nadhifamohammed7749 ปีที่แล้ว

    Ktk nchi za uarabuni oman inaongoza kukaa kukaa na watu vizur mimi binafsi yangu nabahatika ingawa shida zipo ila tofauti na wenzetu wanaonda saudia

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 ปีที่แล้ว

    Comeni kwenda ,hao madalali nao niwanyama pia.Wanajali pesa kuliko utu wamtu aliyempeleka.hawafatiliii maisha yao.kwann wanakufa nakurudi wamekufa

  • @rechok.k.m.5117
    @rechok.k.m.5117 7 ปีที่แล้ว

    Na ukiwa Tanzania utaambiwa mshahara mkubwa ukifika oman bos anakuchenjia utashangaa unapewa pesa lial 50 n.a. hapo kila kitu utanunuwa mwenyew n.a. ukiangalia nyumban unafamilia inayo kutegemea lial 50 haitoshi kitu kabisa hiyo sio haki kabisa tunaomba sana serikal yetu ya kitanzania ilifanyie kazi hili swala maana tunako elekea siko maana kazi tunafanya nyingi kuliko mishahara tunayo pewa ni tofaut

    • @judithkagembe3803
      @judithkagembe3803 7 ปีที่แล้ว

      aisha Aisha Bushir wewe kama unateseka fanya mpango urudi kwenu kwani mlilazimishwa au ni lazima kufanya kazi huko mwisho kweli mfie huko na manyanyaso na kule usemi usemao mkataa kwao...... ........ Nadhau unauelewa rudi kwenu ishi vyovyote vile mwombe Mungu hakukuumba bure ana kusudi na wewe pole sana

  • @mahijamasukuzi9246
    @mahijamasukuzi9246 7 ปีที่แล้ว

    maryam maryam true ao wanaojishaua wanawatetea tu sijui wanaogopa watafukuzwa,pua ndefu ao wanatabu

  • @alimaalimaa6048
    @alimaalimaa6048 7 ปีที่แล้ว +2

    jaman mimi niko salama so ote wabaya mtwacie oman oyeeeee

  • @azizams5721
    @azizams5721 8 หลายเดือนก่อน

    Jaman si kweli mengine munawachafuwa watu wabaya sio wote cm unatumia km kawaida

  • @kulwamkopak6190
    @kulwamkopak6190 7 ปีที่แล้ว +6

    nipo Oman kuusu swala la sm Mabos wengi awaruusu😴

  • @kfastak
    @kfastak 7 ปีที่แล้ว +17

    Kwa Hali ya kawaida Tu , umesema Mjomba ako anafanya biashara hyo, Yani biashara ya watu. Kwahyo wewe simtu sahihi wa kuwasemea wa Tz, sbbu huwez pinga biashara ya familia yako. je tutakusikiliza wew mueka vipuli ama tutawasikiliza wahanga wa Hilo tatizo. Rud Oman kaishi endelea kuchonga nyusi, usiwatie vichaa dada zetu wa kitanzania

    • @neemajavan4125
      @neemajavan4125 6 ปีที่แล้ว

      Bongo Tz kabisaaaaa

    • @fbhj443
      @fbhj443 6 ปีที่แล้ว

      Bongo Tz kwakweli.bora angehijiwa mtu mwingine kabisaa

    • @jacksonsindoma9117
      @jacksonsindoma9117 6 ปีที่แล้ว

      Bongo Tz Hata maelezo yake yanakona nyingi hanyooshi maelezo. Ngumu sana kwa mwenye kuelewa akakubaliana na huyu kijana. Ila lazima kutetea ugali wa kesho

    • @jaklineally5338
      @jaklineally5338 5 ปีที่แล้ว +1

      acha kuongea ubuuzi ww wasichan wanateseka ila ni kuvumilia tu nakuomba mung awape subira

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 5 ปีที่แล้ว +4

    Mm mkenya uwa nasema sio wote wabaya lkn pia matatizo sana twayaleta cc wafanya kazi

  • @nohatredbutlove5786
    @nohatredbutlove5786 7 ปีที่แล้ว +1

    Halafu kitu kimoja niongeze. Swala la kutolipwa ni uongo kwa sababu hata hile siku unarudi kwenu basi airport kabla hajaondoka mwenyeji wako basi unaulizwa kwanza "Jee! Unaondoka kwa ridhaa yako au kuna matatizo?" Na "Jee! Bosi wako mmemaliziana au unamdai chochote?" Na akisema tu kuwa bado hatujamalizana ndio hamna safari hapo. Anakuja polisi paleplae na hamruhusiwi muondoke nyote mpaka haki imetendeka. Nimeyashuhudia kwa macho yangu hayo Mphilipino kagoma kuondoka anasema hajamalizana na bosi. Dakika hiyo hiyo kacha askari na kamzuia boss palepale.

  • @neymamchau7311
    @neymamchau7311 6 ปีที่แล้ว

    Daaaaa hata mimi niko oman lakin uyu kaka mhhhhhh mana kuna wafanyakazi hata cm awaluhusiwi wala chakula awal mpaka wenyew washibe uyu kaka anazingua sana ila asilimia Kubwa wengi wananyanyaswa ila mi namshukulu mungu niko naish kama tz

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 7 ปีที่แล้ว +2

    nyinyi mnaesema hawateswi kwamasilah yenu alafu wenzenu wanaenda wanajiingiza kwenye moto mungu anawaona siamini kama indonesia kusema wamefunga kwajili yawatu kupata matesowalidanganya napia siamini kama watu wanaorudiswa maiti wana danganya ingawa sinauhakika.

  • @fadhilasalaha7472
    @fadhilasalaha7472 6 ปีที่แล้ว +1

    Kaka hujui ulizungumzalo sikulaum wengine mpaka tunaludi tz hatujatoka nje na sio wote washahili ni uwongo usilopoke

  • @fatmaalwy4853
    @fatmaalwy4853 4 ปีที่แล้ว

    Acheni uongo hata hapa wko wanaowatesa wafanyakazi tena wengi wanawaunguza mpaka na pasi hamusemi lkn mnasema imani yuko msichana miaka 4 na amemjengea mama yke nyumba kubwa sio wote wanawatesa na sim wanatumia kawaida hata hapa kazini huwez kutumia sim saa yeyote

  • @TanzaniOman
    @TanzaniOman 5 ปีที่แล้ว +2

    Maryam saidi
    Kwakweli ww umeongea ukwel popote wabaya na wazur wapo lkn mmnazungumzia kwamba niwengi wazur roho zao ni mzur hawana ubaguz

    • @johartwalibu5477
      @johartwalibu5477 5 ปีที่แล้ว

      Kwelikabisa Kaka mie nipo oman mwaka 2 sijawah kupata tabu hata siku moja nakalibia kumaliza mkatab mabos wangu wananiomb niongeze mkat kwakweli nipo kwenye amani.sio ote wanaofanyiwa ubaya

    • @hamastien5439
      @hamastien5439 5 ปีที่แล้ว

      Kwakwel oman akthar ndowenye.roh mbay na.weng ndowenye roh nzr

  • @hundamaniamania872
    @hundamaniamania872 5 ปีที่แล้ว +2

    Acheni uvivu shuwain nyie ,,Kiasili kaz yyte ya kutumwa lzm iwe ngumu coz only boss is God,no Human being can be a Boss but they do.

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 4 ปีที่แล้ว

      Umeona ee uvivu ndo sababu twawaona wabaya

  • @user-xj5jl6eh4u
    @user-xj5jl6eh4u หลายเดือนก่อน

    Kaka yangu jisemee wewe mwenyewe sis ndotunajua gisi tunateka Mimi Niko oman rakini warabu sio watu banaroho nbaya sana wee jisemee we mwenyewe haswa wa zazinbari wengi ni wacawi kwenye nirifikia arikua muzanzibare arikua anaroho nbaya kinoma usiseme ongo

  • @nahimanrima9220
    @nahimanrima9220 6 ปีที่แล้ว +4

    Ni kweli anacho kusema Oman kuzur sio kama Saudia Arabic

    • @Fatima-sv5gp
      @Fatima-sv5gp 4 ปีที่แล้ว

      Nakuunga mkono saudia hakwendeki lkn omani kidogo wana imani

  • @hamastien5439
    @hamastien5439 5 ปีที่แล้ว

    Nikwel kak umesem kwel lkn akthar wana roh mbay nawachache ndo weny utu kutok oman karibun ten iraq huku mashaallah hawatak shob wakikuon haufai wenyew wanakurudisha maktab.hawaongei huk.nikimyakimya tu nahuk sio kam oman watu.waoman wanalala jan dah hatamung wenyew hapend kaa sio kwaulalaj huo huk.wot wanachap kaz mviv ww ukishindw.sheur yak unavaa unavyo tak ww yan dah rah kwel allihamudulilah.nashukur allah kwakwel

  • @mwanaharabu82
    @mwanaharabu82 7 ปีที่แล้ว +3

    Huyu kaka kuna mengine kaongea uongo kwa mfano hili la simu sio wote wanaoruhusiwa kuwa na simu, nina marafiki wawili wanafanyakazi Oman, mmoja anaishi nyumba ambayo simu hapewi kabisa, aliwasiliana na familia yake kipindi family ambayo anaifanyia ili safiri ikamuacha kwa ndugu zao ndo hao ndugu wana utu hata wakamnunulia simu akaweza hata wasiliana na wazazi lakin waliporudi mabosi wake wakaichukua hakuna communication hadi mwisho wa mwezi. Na kuna mtoto wa Dada wa rafiki yng huyu yeye amepata bahati anafanyakazi kwa wa Omani wenye roho na ubinadam hata simu wamenunulia na kila SAA 5 Usiku akimaliza kazi anachati Whatsapp, na hata mimi nilipoenda Oman nlipiga simu na nikamuomba boss wake kumuona huyo binti na Boss wake alimleta nilipofikia na akamuacha apige story na mimi 2hrs baadae wakamfata. Na hata sasa hao maboss wake wanataka kuja Dubai wamesema watakuja nae anisalimie, kwahiyo sio wote wabaya na sio wote wazuri. Hata kwetu Tanzania wadada wakazi wengine wanateswa na mabosi zao sema kwa Tanzania ni rahisi kupata msaada sababu hutumii passport toka kwenu kwenda kwa muajiri kwahiyo ni rahisi kuondoka na kurudi kwenu au hata kuwashirikisha wanaokuzunguka ukapata msaada, ila kwa nje ya nchi ni ngumu sababu Passport yako inakuwa kwa boss, na pia sio wote wanajua wapi ilipo balozi ya nchi yao. Hii ni kumuomba tu Mungu wapate watu wenye imani. Ila kwa maisha ya kawaida mbali na kuwa Dada wa kazi kwa Oman, waoman wanaroho nzuri asilimia kubwa. Swala la uhuni jamani lipo kila sehemu, anayeijua Oman na woman najua atakuwa amenielewa.

    • @WahidaHilaly
      @WahidaHilaly 2 หลายเดือนก่อน

      Saaaana wallah😢

  • @dotytido547
    @dotytido547 7 ปีที่แล้ว +2

    huyu kijana muogo ndio kunao wanaishi vyema hila wengi huteseka na kuteseka kwa wafanye kazi kwaletwa na hao wapelekanaji mmi nililetwa na shangazi tu yalio nikuta nikama nililetwa na mtu kanda hao wapelekanaji huwa wakishakupeleka Kukitukea shida wanakuruka utaendajy police wakati ata mlango ujuwi uliko kwahiyo wanao leta watu gulf ndio wabaya na waongo anyway sijuwi tz but kwetu ni mafisi watupu

  • @inuyashasgirlsmao5084
    @inuyashasgirlsmao5084 6 ปีที่แล้ว +11

    jamani watu wamewachoka wafrika ni waongo saaana hawana maaadili kabisaaaaa..kwahio msilaumu watu nyiyi wenyewe wauwaji mmeuwa na mmetesa wangapii ebuu acheni msijifanye wema ukweli hamna tabia nzuri kabisa....kwa wa tzwasukuma ndo wema watu wa kazi njo wa darsalam wahuni mpaka basi wazanzibari wavivu tena saaana hawawezi kazi wakiambiwa wanasema wamenyanyaswa...acheni ftna hamfai ...hamfai kabisa..

  • @lucymyonga6621
    @lucymyonga6621 2 ปีที่แล้ว

    Kaka kunàmambo yañaeñdelea àmjui mshàhàrà wenyewe mdogo kazi nyingi matàtizo yapo .

  • @umaimaalharthy3581
    @umaimaalharthy3581 5 ปีที่แล้ว

    Ukweli anaujua mungu tu wamaisha ya oman. Mm kiukweli sina chakusema ila kwahapa ninapofanya kazi mini nisemetu Alhamdulillah.

  • @lailmeeea4908
    @lailmeeea4908 7 ปีที่แล้ว

    Yuko sawa sio wote wanaonyanyasa bhana kasema ukweli

  • @nasmaabou596
    @nasmaabou596 3 หลายเดือนก่อน

    Wanaongea kiswahili ndio wabaya Hao...Ila mm nimekaa miaka 3 na nimewazuruza kishenzi

  • @tausilifestyle795
    @tausilifestyle795 7 ปีที่แล้ว +1

    Afu wengine huwa wanarudia matukio. tukio la mwaka jana wanaleta mwaka huuu maisha popote tuu hata kwenu mnaweza kukosana.

  • @salamasalaama4789
    @salamasalaama4789 4 ปีที่แล้ว

    kweli kaka ila huku mshahara tu basi basi mateso yapo kila sehemu ila wa African tu wabaya

  • @rashidseif6103
    @rashidseif6103 7 ปีที่แล้ว +6

    Brother uko sahihi kwa maneno yako,tatizo letu waafrica hatuna fadhila,kama ni mateso ya wafanya kazi wa ndani basi hata hapo Bongo pia wanateswa. Tuwache fitna zisizo na maana .

    • @breechinginlet652
      @breechinginlet652 6 ปีที่แล้ว

      Rashid Seif huyu Kaka mungo juu mjomba wake Ni ageniti

    • @fbhj443
      @fbhj443 6 ปีที่แล้ว +1

      Rashid Seif kweli lkn WaPo wanaoteswa

    • @husnaaabubakaru3671
      @husnaaabubakaru3671 5 ปีที่แล้ว

      Maneno yako yapo sahihi kaka

  • @lilianlelin9576
    @lilianlelin9576 7 ปีที่แล้ว

    mm kwangu nasema hawawatu sao watu wazury jmn nikuomba mungu tunaona matukio yaajabu sana na sowote wanatumia simu mm apanatumia simu kibabe sana huy kaka amemuona mjomba wake anaingiza wafanya kz omani anajua akiponda omani mjomba wake kz itakuwashida kwann tufangilie omani namatukio tunaona na sotunayo yaona sowatt watuwazima naakilizetu kaka achaunafki ten a napaza SAUTI SOWATU WANZURY WAARABU SIPENDI KUSEMA UWONGO

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 7 ปีที่แล้ว +4

    Mimi mwenyewe nipo oman ila sisemi chochote. Bayana naisubiri siku ya kiyama. Nina uhakika Allah hampunji mja wake na pia yooote kila anayemfanyia mwenzake iwe kheri au shari yanaandikwa kwenye kitabu. Ila kumuanika boss au madam mtanfaoni hiyo sitaki. Sheria ya dini yangu na maamrisho ya Allqh yamekataza kumfedhehesha mtu. Lakini siku ya kiyama hakuna kulipana, riali, dolla, uro wala rupia. Hiko ni mtu anajilipa mwenyewe. Illah ninachowashauri mashaghala mliopo uarabuni na hata nchi zingine pendeni sana kusema Alhamdulillah mkipata misuko suko. Alhamdulillah ni maneno macjache sana kuyatamka lakini ni mazito sana ktk mizani. Kwa hiyo mtu akikunyanyasa wewe muache alivyo wala usimfedheheshe siku ya kiyama atakuongezea uzito mkubwa sana ktk mizani.
    Kuweni wajinga mashaghala msibishane na wenye nazo ni kitu ambacho hakiwezekani. Masikini kubisha na tajiri ni sawa na kipofu kupigana na mwenye macho. Nawashauri vumilieni kuteseka kwa wale mnaoteseka siku hazigandi. Na mlio na starehe Allah akuzidishieni starehe ila msisahau kuwaombea wanaosulubika. Mambo hubadilika huenda leo kwake kesho kwako. Nakutakieni kazi njema Allah awape subra. Ipo siku mtarejea makwenu biidhnillah. Hakuna maregu yasio na ncha kila kitu kina mwisho.

    • @tausilifestyle795
      @tausilifestyle795 7 ปีที่แล้ว

      Nikweli

    • @rukiaabdallah92
      @rukiaabdallah92 7 ปีที่แล้ว

      Rahma Shaban kila mtu anaisubir siku hiyo usujitie mkamikif fuska mkubwa wew na utafumbikwa ndani mpaka ila sipendi uje kwenye comment zangu fanaya yako

    • @rahmar4728
      @rahmar4728 7 ปีที่แล้ว

      Rahma Shaban
      Rahm wjin

    • @rahmashaban8693
      @rahmashaban8693 7 ปีที่แล้ว

      Rahma R. Maasha Allah

    • @elizabethcharles875
      @elizabethcharles875 5 ปีที่แล้ว

      Uwiiiii

  • @rashdakaje5454
    @rashdakaje5454 7 ปีที่แล้ว +2

    Jaman inatengemia na nyumba jamana apa nilipo Mie masikin atali ata kula kwawo Shida jaman nakuusu sm inatengemia. na nyumba apa nilipo Mie tuko waswaili wengi tumenunuwa kwa ela yetu wapo we nyeroho mzuli wapo na makatili wapo tele jaman Kama we umepata nyumba iko poa shukuru sana watu awapewi chochote zaidi ya mshaala wako tu jaman achani tumekuja kutafuta tuna bidi tumuachiye mungu tu

    • @rehemabakari6403
      @rehemabakari6403 7 ปีที่แล้ว

      Jmn inategemea bhn ila ww kk acha uongo km.una la kuongea nyamaza bhn kwan kuna wengine ata cm anatumia kwa.siku y ijumaa tu yaan siku nyengine so few uruhusiwi kutumia,

    • @rehemabakari6403
      @rehemabakari6403 7 ปีที่แล้ว

      Ata nyie majent,ndyo watu w kwanza kutuzarau yaan kwa maana mlitumbia siku ya ijumaa ni siku ya kupumzika lkn siyo hvyo tulivyokubarian unakuta ijumaa ndyo unapelekwa kwa ndugu kwenda kufanya kazi, na wengine unakuta anafanya kazi sehemu mbili na msharaha ni uleule yaan

    • @Rashidmhedhery
      @Rashidmhedhery 7 ปีที่แล้ว

      Rashda kaje___ ha ha ha! Ntumie number yako

    • @hatibuiddi6660
      @hatibuiddi6660 5 ปีที่แล้ว

      Poleludini 0716511600

    • @hatibuiddi6660
      @hatibuiddi6660 5 ปีที่แล้ว

      ỉviwalabu wanaolewa nangozi nyeusi

  • @masoudtalaey7554
    @masoudtalaey7554 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante brother maneno ulosema ni 100%

  • @madrasatulmujtabahschool7621
    @madrasatulmujtabahschool7621 5 ปีที่แล้ว +12

    Ww kibaraka tu pengine umeshaolewa huko hakiwezekani watu wanarejeshwa maiti ww unasema ni watu wazuri kwenda huko

    • @biancahot4588
      @biancahot4588 5 ปีที่แล้ว

      Huyo kaolewa kweli kwani humuoni huyo na hereni kavaa

    • @saidchita730
      @saidchita730 5 ปีที่แล้ว +1

      Hata kuna watanzania wana roho mbaya

    • @ashuashu3843
      @ashuashu3843 5 ปีที่แล้ว

      Jina halipendezi na kauli zako wewe Abubakar bora ungekuwa hauna jina maana unasema maneno hujielewi.wewe huteseki kabisa umestarehe sana huko tz hakuna wabaya wote wamekamulika haya endelea na kufuru kwa kusema maneno ya kukashfu watu kumbuka Allah anakusikia na anakuona kesho tutaenda kujibu maswali yetu.

    • @najmasaidi1412
      @najmasaidi1412 4 ปีที่แล้ว

      @@biancahot4588 kwaiyo mond anavaa nae kaolewa

  • @atukuzwemungudaimaariseand6156
    @atukuzwemungudaimaariseand6156 7 ปีที่แล้ว +1

    Ata mimi naishi Oman lakini kweli watu wengi wanateseka uyo kaka muhongo vitendo vibaya utavifanyia wapi mda wote umefungiwa akuna kiswahili uyo kaka anakudanganya wanauliwa wanateswa kwanza unanyanganywa pasot wanao waleta huku wakisha kufikisha awakujali poris utaendaje wakati ujui sehemu yoyote mimi.nawambia wadada ambao awajafika msije unadanganya utaendaje ubarozi umefungiwa ndani msije

  • @mrsdully1613
    @mrsdully1613 7 ปีที่แล้ว +20

    Mmmhh minipo omn ninamiaka sita sijawahi pata mateso hakika niwatu wema sn na out natoka km kawaida nikiwa nao ss km unataka tuachiwe huru ukazururee tu unaendawapii kwamfano hii siyo Tanzania jmn acheni watu wafanye kazi wapate riziki yahalali ni kweli wapo familia zingine wanaroho mbaya but sio wote sijawahi kutumia mshahara wangu kwakujinunuliaa mahitaji kila kitu napata alhamdulillah mungu awajaalie nawengine wapate mahali pazuri amin

    • @mwanaharabu82
      @mwanaharabu82 7 ปีที่แล้ว

      Mrs dully Amiin 🙏

    • @sharifa2274
      @sharifa2274 7 ปีที่แล้ว +1

      Nikweli wabaya wapo nawazuri pia wapo ilahuelewi unapokwenda kamautapata tajiri mzuri au mbaya ni mungu"tuu akujalie kwenye maisha uvumilivu uwepo hata Tanzania pia kunawatu wanaroho mbaya mm nipo Oman ninamiaka 8 Bo's wangu nihuyo mmoja"sijabadilisha nawatakia wenzangu mungu awajalie wapate"maboswazuri

    • @mamujally3814
      @mamujally3814 7 ปีที่แล้ว

      Mrs dully Ameen

    • @lipymuscat4779
      @lipymuscat4779 7 ปีที่แล้ว +4

      Mrs dully hehehee mimi nipo miaka 9 hahahaa full rahaaa hamdellah

    • @rahmar4728
      @rahmar4728 7 ปีที่แล้ว

      Mrs dully kwanini tusifanye group jamon

  • @ganettsofa7015
    @ganettsofa7015 5 ปีที่แล้ว

    tuzingatieni.swala kwanimatatizo yako kila mahali,naumauti.kama uliandikiwa utakupata inje yakwenu basi ajuaye maulana,nahata kama matatizo yamekuzonga mungu atakutolea.njia tujieshimui nakumuongopa Allah

  • @shesyhamadi2627
    @shesyhamadi2627 7 ปีที่แล้ว +4

    Yani kiukweli unachosema ni kweli watu wanapost vitu vingi Sana kuhusu uwarabuni lakini kiukweli ni uongo na kuhusu sim tupofree na sim ila baadhi wazuri baadahi sio watu wazuri lakini hawa watu huku ni watu wazuri tuu mm natoka nachezea sim ninavyotaka ila kiupande mwingine wanamapenzi ya kinafiki lakini hilo sio tatizo kikubwa ni kazi bas but these People are good

    • @shamzone388
      @shamzone388 7 ปีที่แล้ว +2

      Mimi nipo hapa na wenzangu wanatoka lushoto...tanga mjini handeni morogoro dar pemba na unguja.sumbawanga...Arusha mwanza tupo ok kila jioni sote tunakaa pamoja saa 10 jion mpaka inaadhini magharibi...tunapewa mshahara na pesa ziada tunapewa...nguo na kila kitu..msituvunjie riski zetu...hamna lenu ni umbeya tu...hapa home ipo wi fi...kitu cha kwanza nimesetiwa katika simu yangu....tusiwaonee wametuokoa...tynatuma kila kitu kwetu wao ndio wanatupa na pesa za kutumia mizigo yetu....tupo ok...KARIBUNI MUJE TUJIUNGE NA SISI OMAN

    • @imasimas4506
      @imasimas4506 7 ปีที่แล้ว

      Sham Zone big up sham zone

  • @asiaasia6601
    @asiaasia6601 6 ปีที่แล้ว

    Msema kweli mpnz wa mungu Mimi nipo oman ninamieza kumi kiukweli ninaamani ya kutosha sijawai kununua kitu Chochote zaidi tukitoka naweza nunua vocha Basi na muda mwingine wanawza kukununulia wenyewe nyumba Wi-Fi muda wt ninamda wa kupmxika xaid kuliko wa kufanya kazi nimekuja kufanya kazi sikuja kuangaria magofa hata tz yapo ndugu zangu achenini maneno fanyeni kazi

    • @hidayamanda-gk7nf
      @hidayamanda-gk7nf ปีที่แล้ว

      Kwer kabisa udugu mi mwenyewe nashkulu npo vzur naawa watu

  • @bigdad1816
    @bigdad1816 7 ปีที่แล้ว

    We we acha kuna watu wanateseka sana wacha kuna wanaarabu wanatesa waafrica hapo middle east sisi tuko na maarafiki ambao wamerudi baada ya kuteswa wacha sema ukweli.

  • @doreenethan8680
    @doreenethan8680 5 ปีที่แล้ว +3

    amna sehem ambyo haina ubya ata apa bongo kuna watu wanaroho mbya

  • @user-sw6iw5rt1b
    @user-sw6iw5rt1b 5 ปีที่แล้ว +4

    Utateswa na kosa lako heshima haiuzwi

  • @salmamansour3718
    @salmamansour3718 4 ปีที่แล้ว

    watanzania hawana shukuran kama oman wanateswa kwnn musikae kwenu munaenda kufanyaje acheni mambo yenu dunia nzm ina wazur na wabaya acheni kutia watu mabaya ma sio vzr Allah hapend hcho kitu

  • @hamadialihamad4126
    @hamadialihamad4126 4 ปีที่แล้ว

    Iyo kweli oman huku nishwari
    Hakuna tatizo ila na wabaya
    Wak na wazur wako

  • @naimanurdin8984
    @naimanurdin8984 4 ปีที่แล้ว

    Jamani watu wenye Roho mbaya wapo Dunia nzima Tusipende kusema mabaya ya Oman tu na mema yao tuseme pia jamani Mimi nipo Oman mwaka wa 4 hu sasa na niko powa sana naishi vizuri sana na sina tatizo Alhamdulilah

  • @aishaoman6159
    @aishaoman6159 5 ปีที่แล้ว +1

    Wewe unawatetea lakini wapo wanaotesa usiseme hivyo wale wenye Asili ya huko ni wabaya ni wengi wanaotesa na ukienda kufanya kaziKwa muomani aliyetoka huku ni Afadhali lakini so wakule washashi wabaya wametesa saana na Kuuwa pia

  • @lailahasan2200
    @lailahasan2200 4 ปีที่แล้ว

    Mm Hivi ninavyo angalia nipo huku, kiukweli ctesek wako vizr, na niko poa kabisa ila Kaz kama Kawa wi- fi mwanzo mwisho mapungufu kila sehem

  • @najmasaidi1412
    @najmasaidi1412 4 ปีที่แล้ว +2

    Kusema ukweli watanzania atufadhiliki akuna kitu.ambacho tutafanyiwa alafu tuone Kama aki kwetu maana watanzania wengi tunapenda kusujudiwa na ndomana wengi wetu wanashidwa kukaa nchi za wenzetu ivi tutabadilika lini na tuwe watu wenye shuklani maana sijawai kuona au kusikia mtu katoka omani alafu akasema nilikua napata raha zaidi ya kulialibu jina la omani mana kila mtu akitoka omani akifika uko.anasema omani.wanatesa oman wanaua Oman sio pazuli ivi liiini itatokea mt akaongea maneno mazuli kuusu omani jamani watz tujilekebishe ayo sio maisha Mimi.nipo Oman sasa nin mwaka wa3 lakini akuna ata siku moja nikasikia mtu.kafanyiwa kitendo cha ajabu bila sababu,%💯 ya watanzania tumezoea kufanya mambo ya ajabu mfano ukiangalia tabia ya wizi kashifa kejeli matusi na ata pia kushea mapenzi vitu ivyo tunavyo watz ss ii ni nchi ya wenzetu.mungu kawajalia dini kwaiyo na mambo ayo awajazoea tomana unakuta mabint wng wanapata mqtatizo kutokana na tabia zao za ajabu alafu wakifanyiwa ukatili.wanasema omani pabaya lahasha mt unashindwa kujifikilia kwanza unaenda omani kuiba au kuangalia mataa au kufanya mambo ya ajaabu au unaenda kufanya kazi Kama unaenda kwa ajili ya mambo ya ajabu wallah utaludi jina nakama unaenda kutafut lidhiki kwa moyo 1,kwakwli.utatamani kuludi kwenu laikini Kama mambo yenyewe ndohaya amakweli utapaona pabaya cha kuwashauli watanzania wenzangu tubadilike sio kila siku.tuwe watu.was drama hatuto endelea

  • @fatmatanzania2412
    @fatmatanzania2412 7 ปีที่แล้ว +5

    mbona hata bongo wenyewe kwa wenyewe unauana na kuchomana moto kwan kuna kuwa na nn anzenu kuzibit uko tz kwanza alafu mumalizie huku.niko na miaka mitano oman sijawahi hata kugombezwa pesa mama nina nyumba mbil hahahahahahhaha endeleeni kukaa kwenye viti vyo kuzunguka

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 5 ปีที่แล้ว

    JAMANI KAZI ZA NDANI NI MATESO HATA KWA HUKO KWETU TZ. NI KUVUMILIA TU.MIMI DEC. NATIMIZA MIAKA 10. KAZI YA OMAN IMENIPANDISHA DARAJA KIUKWELI. NYUMBA NIMEJENGA WATOTO NASOMESHA. NDG NAWASAIDIA. KAZI NI UVUMILIVU.

  • @salehmussasaid1136
    @salehmussasaid1136 6 ปีที่แล้ว

    Nikweli kbsa wafanyakazi wandani wanateseka dunia nzima.
    Lkn tucsahau ubaya wawafanyakazi wandani.
    Wapo walioua,walioiba na kujeruhi pia.so tuache kushabikia vitu vyamsingi.

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 7 ปีที่แล้ว +1

    Limekukost hilo jina La umalaya. Ukweli ni huo. Ila hayo matusi kwangu naona hayatoshi ongeza na mengine yafike hataa elfu 10

  • @sadiaabeid7552
    @sadiaabeid7552 6 ปีที่แล้ว

    maagent mkataba wanaweka lakini ukipata shida hawakushuhulikii nakama mjombako unasema hutumia pesa yake lakini siyuwarudishiwa zaidi yahio na pia wanataka pesa kwa mfanyikazi kabla hajasafiri na huko kwenda polisi nimpaka uwe na nafasi yakutoka mm sikubaliani mayo unayoyasema

  • @ludigomhagama4023
    @ludigomhagama4023 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa baada ya kusema mjomba wake anafanya hiyo KAZI ya kupeleka watu huko muscat basi hakuna chochote hataongea against hiyo biashara ya mjomba wake. Kwanza huyo jamaa inaonekana yupo huko muscat kwenye ofisi ya mjomba wake. Matukio mengi tumeona na ushahidi wa video tusimsikilize huyu mtu. Kwanza angalia mateso mwarabu akiwa hapa hapa east Africa. Alafu je akiwa huko kwake inakuaje. Malalamiko yapo Hadi kwa watu wa west Africa, Cameroon, Nigeria, Senegal, Ethiopia, Sudan., Somalia. Kule hata ulikua Kiara u au wewe ni muislam hakuna kitu . Kule ni wabaguzi. Mabeidui.

  • @aishamohammed3547
    @aishamohammed3547 5 ปีที่แล้ว +2

    Nivile cwezi kucoment na voice lkn mngeninijua vzr😐

  • @khloealfan7924
    @khloealfan7924 6 ปีที่แล้ว

    Mimi ningeomba serikali bila woga ipite kila nyumb na mkaliman wa kiarab atafsili ss tunavyoojiwa.....haiwez mtu unafany kaz ata hakun igaza😰😰😰😰😰😰😰😰ok hatujatai tunaziki tuliowengi lkn isitufany tuumiie.....serikali ipite kil nyumb ituoji wenywe👌....cyo mambo ya mm na ankor wangu sijui fyokofyoko how comes.....ss ndo wasem kweli tunayoyaona

  • @kiparamasoud1322
    @kiparamasoud1322 5 ปีที่แล้ว

    Musidanganywe labda ubahatike kupata warabu wenye utu, lakini mwarabu haswaaa Kama numwarabu kweli nilazima akuletee shida , kwanza wanajiona hakuna watu Kama wao ,

  • @fatmaally714
    @fatmaally714 7 ปีที่แล้ว

    msituletee watu amabo hatuwez hata kutafsiri jinsia zao sikuelewi kama mwanaume au Laa hujridhika na Mungu alivyokuumba unaongea pumba ww unaweza kulaa na muarabu wiki moja si utarudi MAITI.

  • @ashab2537
    @ashab2537 7 ปีที่แล้ว +18

    Hebu acheni kelele mimi nimesha wapikia waraab, nimesha sugua hamamu nataka lala sakina , hebu tuache sie tunasugua hamamu, tuje tuzitumie kwa magu,

  • @ridiayohana9311
    @ridiayohana9311 7 ปีที่แล้ว +7

    Jaman mm npo Oman cm mdawowote natumia halafu naishi vzuri mateso siyo kwawote wengine tumebahatisha tunaish vzuri tu

    • @chikusaidi3671
      @chikusaidi3671 6 ปีที่แล้ว

      Ridia Yohana her yakowwe ulo batisha

    • @Vivi-dx2xv
      @Vivi-dx2xv 5 ปีที่แล้ว

      Nipo oman nakulavizuri sana nanilichokifata nikazi
      Tatizo tunafanyakazi kwazi mana ndio nilichokifata atakwetu nafanyakazi ila tambuweni atakwetu kunawazuri nawababya

    • @hamastien5439
      @hamastien5439 5 ปีที่แล้ว

      Ukipat.sehem nzur mshukur mung ila kunawengin wanatesek.sio.sir.ila lazima tujue binadam tuko kimakund kuna wazur na wabay namd mwingin huw tunajitakia weny baad hakufuat.kilicho kupelek unakuw na mambo mawil has.hicho ndokinacho.tuuwa.kwasan.nakurushwa kweny magorofa

  • @amirsab1158
    @amirsab1158 6 ปีที่แล้ว

    Nyege zawa sumbua waKIJA huku mbona WAtu wanaishi miaka na hatujaona lolote ukiwa mzuri utaishi vizuri nao hawa warabu mm na miaka 6 sijaona lolote wengi wetu tuna tabia mbaya

  • @floraflora1695
    @floraflora1695 7 ปีที่แล้ว

    Mm nipo Oman kweli wabaya siyo wote nilikuta nawasicha airport wanasema wameshindwa kazi wanateseka

  • @bintkirunga1407
    @bintkirunga1407 6 ปีที่แล้ว

    Mimi nipo Oman na miaka kumi sasa iv ila wapo wanaopata matatizo na na mm nachezea siku muda wrote kila wapo wale wsnaokuja kijiuza na ichi hii ni hesma kila ao waongo ndio wanaotiharibia na nikija Tz nitakuja kukuona

  • @hajimuhammed3549
    @hajimuhammed3549 4 ปีที่แล้ว

    Ivi niulize kwani hao wafanya kazi wa ndani wanapokonywa simu. Nikiwa na maana km simu anayo mda anapata matatizo kwanini asifanye mawasiloano na sehemu husika. Tena niwambie kitu Serikali ya wenzetu inaheshimu haki za wafanyakazi kuliko mahali popote. Kwanini wasipeleke mashtaka ofisi ya kazi au Ubalozini Madina Qaboos. Ebu ndugu zangu tuweni wa wazi ata km shida ziko ila sio kiasi icho kinachokuwa kinaongelewa kwenye mitandao. Na nilichokigundua anesimama kueleza haya ni yule ashamaliza mda wake yupo Tz ili tu kuvunja moyo eengine wasitoke kutafuta riziki. Tuwe wa wazi maisha popote vitina majungu na chuki havitotufikisha popote.
    Hongera JPM 🇹🇿
    Hongera Qaboos 🇴🇲

  • @liiimboni4232
    @liiimboni4232 6 ปีที่แล้ว

    Wewe Dada acha uongoo siyo kwelii waongoooo sema waa tanzania siyo wavumilivu na tamaa zinawaponza hao waarabu ukiishii nayo vizuri wazuri ila ukiwaingilia umekwisha coz Oman hakuna mapenzi sasa wengine awawezi wanalala na watoto wa mabos wanalala na mabos we unadhani mwarabu atakuacha??me Nina miaka 4 sahiz na wala sitamani kurud uvumiluvu ndo kila kitu mambo hayo yapo huku saud arabia Kuwait labda Dubai, yemen Oman siyo saanaa heshima yako ndo itakusaidia Tatizo waafrika siyo wavumilivu maisha mazur hayaji simple acha tupambane sisi waacha kutuharibia boss akizungua sheria zipo