😭😭😭😭😭إن لله وإنا اليه را جعون😭😭😭Tutamkumbuka Daima Maalim Seif Allah akutilie nuru katika kabr lako 😭😭😭😭😭😭😭Mbele wewe nyuma sisi baba😭😭😭😭😭😭😭😭😭Yaaa Allah tupe subra waja wako😭😭😭😭👐
اللهم أغفر له وارحمه وعافه واعف عنه واكرم نزله ووسع مدخله واغسله بالماء والثلج والبرد ونقه من الخطايا كما ينقى الثوب الأبيض من الدنس وابدله دار خيرا من داره واهلا خيرا من اهله وادخله الجنة واعذه من عذاب القبر و من عذاب النار
Katika nasheed na qawsida zote zilizoimbwa kwa kifo cha maalim hii ndo inoniliza inanikumbusha mbali hatari muungu amlaze roho yake mahali pema peponi.Amina
Huu msiba wa taifa jamn..lakin mbona nimejitahidi kuangaza mimacho kila pembe simuon seif Ali iddy wala sheni au ndo msiba umewagusa sana wamekosa nguvu zakuhudhuria.. Nenda salama kipenz chetu.. you will live in our heart forever😭😭
E mungu tupe lmani na kusahau lli kusudi kuaweza kumuombea dua kiongozi wetu uko alipo kwani tutapo dumu na huzuni kila siku zipi napo pita tuki wa tuna mlilia tutamnyima amani ewe allh tupe subira kwa lli 😭😭 tunaumia kwakweli tukiwa tunaangalia recod za ughay wake kwakweli lnatuuma lkn wew allh ndy unajua kuliko ss tunae mlilia ya allh mpe utulivu 🙏🙏🙏🙏🙏 tunaumia yarabi 😭😭😭😭 mpe usingizi mwema kiongozi wetu tulie mpenda na tukaona kwelitu ni hazina lkn tukasahauu km na ww yarabi ni wakwako😭😭😭😭😭 pumzika salama maalim seif lnshaallh mbele nyuma yako pumzka salama lnshaallh 🙏🙏🙏🙏😭😭😭 kitakuja kzazi kitakutamani lkn aaaaaaa tunaumia wananch lla ndy safar leo ww kesho ss
Sheria ya kiislam hairuhusu kujinyonga na sidhani kama diniyenu inaruhusuhilo ikiwa nihivo acha ushabiki wa mambo yakidunia unaweza kutamkaneno ukalionajepesi kumbe linakuangamiza haina haja yakujinyonga maana dini hairuhusu pia ubinaadam hauruhusu mtu kujidhulumu mudaukifika kilamtu atakwenda hukohuko alikoyeye اللهم أغفر له وارحمه وعافه واعف عنه واكرم نزله ووسع مدخله واغسله بالماء والثلج والبرد ونقه من الخطايا كما ينقى الثوب الأبيض من الدنس وابدله داراخيرا من داره واهلا خيرا من اهله وادخله الجنة واعذه من عذاب القبر و من عذاب النار
Allah nakuomba umpe pepo maalim seif, namsomaji nasheed ampe kheri zote
Huzuni zipo na zitaendelea kuwepo hongera msomaji yaani unanifanya nazid kutokwa na machoz
Nimependa haswaa mahadhi kam ya sheikh Yusuf Abdi
Mola akuweke pema Mzee wetu kiongozi wetu mpendwa wetu tutakukumbuka daima
Nashiid mashaallah mungu amlaze mahala pema peponi amiina
Pole sana Zanzibar Allah kampenda zaidi
Masha Allah kla la khr mung ailaze roho ya maalim seif pahala pema peponi , Aminn
Allah akikupokonya kitu kizuri ujue kuna kizuri zaidi kakupangia tumuombee dua Allah afanyi makazi mema peponi thuma ameen
Allah atujaalie mwisho mwema hakika taifa limeondokewa na kipenz chetu
Allahumma ghufir lahu warhamhu maskanhu fil jannah maa waliwalidayya amin
Inalillah wainailaihim rajuhun Allah amsameh mazambi yake na sisi atujaaliye mwisho mwema Insha Allah 🤲🤲🤲🙏🏽🙏🏽🙏🏽💔💔💔
Allah ampe mwangaz kwny kabur lake
Allah akusamehe makosa yako akujaaliye pepo ya firdau katika maisha ya ahera Aaameen yarabi 🤲🤲🤲.
Allahumma Ameen
😭😭😭😭😭إن لله وإنا اليه را جعون😭😭😭Tutamkumbuka Daima Maalim Seif Allah akutilie nuru katika kabr lako 😭😭😭😭😭😭😭Mbele wewe nyuma sisi baba😭😭😭😭😭😭😭😭😭Yaaa Allah tupe subra waja wako😭😭😭😭👐
Aamin
Allah amuhifadhi maalim seif tuwenae jannatul firdaus
th-cam.com/video/nD3fA8IfTxQ/w-d-xo.html
Hakika sisi ni wa Allha na kwake yeye tutarjie hta kma tumeumia ila hatuna budi kumshukuria soud khafa umemuenz maalim pmja na wa Zanzbr wte
Exactly ustadh mahadhi saiz yake Masha Allah Allah amrehemu na waislamu wote kwa ujumla
Yaa rabb msameh makosa yke umuingize peponi inshallh
Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun poleni saana wazanzibar sote ni njia yetu hata watanzania tunalia na nyie 😭😭😭
Innaa lillahi wainna ilayhi raajiun Allah ailaze roho ya marehem mahala pema peponi na sisi atupe mwisho mwema 🙏😢
Mashaaa Allah Allah alitie nuru kabur lake
Hongera sna boss wang
Innalilahi wainna ilahi rajiun ALLAH amlaze pema peponi aaamiiyn nasi tulobakia atupe mwisho mwema pole sana mughani wa nasheed ALLAH Akupe subra
Innalillah wainna ilayhi rajiun Allah amlaze mahala pema peponi inshaallah 😭😭😭
Amyn
Aamin bi hashyat
Kwa hakika tumeondokewa. Tunamuombea makazi mema uko alipo
Inalilahi wainalilahi lajuni Allah amlaze mahali pema peponi Insha Allah yarabi
Mashallah nice Nasheed😭😭😭😭niliiskiliza kwa Alfattah tv😭😭
Allah amrehem Maalim Seif
Nasheed nzury sana maasha Allah , Allah ampe qauli thaaabit yeye na sisi tuliopo nyuma yake . Maaim Maaaalim Maalim 😔😔😔😔😔😔.
Allah amjaalie JANNAT FIRDAUS iwe ndo makaz yake nasheed nzr sana mashallah tutazd kumkumbuk ck zote kwa wema wake aloufanya kwa taifa
Amiin,amiin,amiina ya rabil alamiin FIL jamiul ummat was kiislamu
Mashaalah Ustadh Soud Allah amlaze pema kiongoz wetu
Mola subhanahu wata'ala'a amfanyie kaburi lake nuru
Amrehemu
Amlaze jannatul fir'daus
Alla amsamehe makosa yake Inshaalla 🤲
Hakika zimezama huzuni ktk vifua vyetu😪😪 but yt mipango yake allah..allah amjaalie miongoni mwa watu wema peponi inshaallah.🤲😭
Mungu ailaze roho ya marehemu pahala pema peponi Aaamin
Shekhe unajitahidi Sana Allah akujalie
Innal- lilaah mungu ampe kauli thabit amlaze pahal pema
Big up sana all ustadh soudkhafa
mashalllaah nashhed munaasabu
اللهم أغفر له وارحمه وعافه واعف عنه واكرم نزله ووسع مدخله واغسله بالماء والثلج والبرد ونقه من الخطايا كما ينقى الثوب الأبيض من الدنس وابدله دار خيرا من داره واهلا خيرا من اهله وادخله الجنة واعذه من عذاب القبر و من عذاب النار
Mashaalah Ustadh Soud Allah akuzdshie
Katika nasheed na qawsida zote zilizoimbwa kwa kifo cha maalim hii ndo inoniliza inanikumbusha mbali hatari muungu amlaze roho yake mahali pema peponi.Amina
Allwah ampe makaazi mema .
Masha Allah.. kazi ipo fresh
Nashid nzur ila mshumaa haifai kwa ss waislam
Mashallah 🙏🏻mungu amlaze mahala pema peponi, na amjazie nuru katika kabur lake inshallah 🙏🏻😭😭💔💔Mbele yetu nyuma yake
th-cam.com/video/nD3fA8IfTxQ/w-d-xo.html
Ammin yarab😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Inalillah wainaillah rajiuuuuuona dah wallah moyo wangu unauma sana
Innalillah wainna ilaihi rajiuni Hakika ss ni wa Allah na kwake tutarejea
Sote Ni wa Allah na kwake tutarejea😭😭😭
Allah amlaze mahali pema peponi amiin maalim seif sharifu machozi yetu atafuta nani
Mungu akulaze mahala pema peponi
Yaarb tupe mwish mwema
Sijui km upinzan utaendelea tena
إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ 😭😭😭
Aamyn yaa Rabbal’alamyn, innaalillaahi wainnaailayhi Raajiuwn
Subhanallahh allahh amlaze mahala pema peponi amiin amiin amiin inshallahh
Huu msiba wa taifa jamn..lakin mbona nimejitahidi kuangaza mimacho kila pembe simuon seif Ali iddy wala sheni au ndo msiba umewagusa sana wamekosa nguvu zakuhudhuria.. Nenda salama kipenz chetu.. you will live in our heart forever😭😭
Wameenda mbn
@@sudaissoud3670 kweli!!! Mie wallah sijawaona na baadhi yawatu nlowauliza nao wamesema hawajawaona..itakuwa nihuko unguja huku pemba hawajaja
@@salhanassor1077 angalia pale wanapoweka mchanga pemba utawaona wanaweka nawao. ..
Allahuma ghfirlahu waafih waaf anh waakrimhu
Sitokusahau abadan
Masha Allah 😭😭😭
Hakika huzun zimetatanda Alha ampe wazungumaj wem kaburn kwak AMMIN
Inalillah wainaillahi rajiuna
Allah amlaze mahala pema kiongozi wetu
E mungu tupe lmani na kusahau lli kusudi kuaweza kumuombea dua kiongozi wetu uko alipo kwani tutapo dumu na huzuni kila siku zipi napo pita tuki wa tuna mlilia tutamnyima amani ewe allh tupe subira kwa lli 😭😭 tunaumia kwakweli tukiwa tunaangalia recod za ughay wake kwakweli lnatuuma lkn wew allh ndy unajua kuliko ss tunae mlilia ya allh mpe utulivu 🙏🙏🙏🙏🙏 tunaumia yarabi 😭😭😭😭 mpe usingizi mwema kiongozi wetu tulie mpenda na tukaona kwelitu ni hazina lkn tukasahauu km na ww yarabi ni wakwako😭😭😭😭😭 pumzika salama maalim seif lnshaallh mbele nyuma yako pumzka salama lnshaallh 🙏🙏🙏🙏😭😭😭 kitakuja kzazi kitakutamani lkn aaaaaaa tunaumia wananch lla ndy safar leo ww kesho ss
🤲
MASHALLAH.
Sauti yako th-cam.com/video/nD3fA8IfTxQ/w-d-xo.html
th-cam.com/video/nD3fA8IfTxQ/w-d-xo.html sapoti yako ndugu
Hakika sote ni wa Allah na kwake tutarejea, tujitahid tu na kuomba khatma njema
Masha Allah
hiii nashidi inatoa chozi
Mashllah yahuzunisha
Allahumma ghufirlahu wa rahamahu
Ameen yarabby 🤲😭😭😭
Aamiin
Bravooo 💪💪🤲🤲🙏🙏😭😭👍👍👍
Allah amsamehe zambi zke amuondoshee dhiki y kabri alijaze nuru kaburi lke
Dah
Mashallah
Inna lillah wa inna ilayhi rrajiuun
Innaa lilaah
Mashallh
Innalillahi wainna ilaihi rajiuun
رحمه الله
Innalillah wainnailahi raajiuun,
Inalillah
Inasikitisha kiukweli
😭😭😭😭😭😭
😭
Dua
😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲
SI MLISEMA ALIPO TUPO SASA MBONA HAMJINYONGI
Shumbana juma:wataka lawitiwaaaaa?
we mpumbavu

😢😢😢😢😢
Mashallah
Mashallah
Mashallah