MWAMBA ANAENDA DRCCONGO KWA MGUU BILA NAULI AU KUPANDA GARI/ANAVITAJA VIJIJI VYA UBEMBE BILA KUKOSEA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • kama unaguswa na maneno ya samsoni unaweza kututafuta kupitia namba ya cm +255757306201
    +255622814970 na msaada wako utawakilishwa kwa muusika wako

ความคิดเห็น • 16

  • @Nyota123
    @Nyota123 หลายเดือนก่อน

    Hongera tena

  • @niahussein5387
    @niahussein5387 หลายเดือนก่อน

    Akili ni nyingi saaan ❤

  • @MbobociRehani
    @MbobociRehani หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu wauruma muone kaka huyu apate mwanamuke ahendelee na mzao wake mungu wa huruma💑

  • @user-lg5xd1ui4v
    @user-lg5xd1ui4v หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa licha anamapungufu ila namkubali kinoma akili nyingi mno

  • @NyarT255
    @NyarT255 หลายเดือนก่อน

    Mungu saidia watu wako sana anaitaji sapoti sana😭😭😭

  • @Starbrunodg
    @Starbrunodg หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂

  • @musaabedi1834
    @musaabedi1834 หลายเดือนก่อน

    Ningetamani kumsaidiya brother huyu! Kwanza ana sim au MP TV mnitafuteni please!

  • @Mwalimjoshua
    @Mwalimjoshua หลายเดือนก่อน

    Jamani😭😭😭

  • @SamSam-m7g
    @SamSam-m7g หลายเดือนก่อน

    Maskini 🤔

  • @BNBFILMS958
    @BNBFILMS958 หลายเดือนก่อน

    Anaitaji kusaidiwa huyu watu wanaweza kuona nimzima kwasababau mdomo tu ila anavyooneka AKILI nyingi saaana

  • @Starbrunodg
    @Starbrunodg หลายเดือนก่อน +1

    Akili zipo

  • @bmbestmusic6666
    @bmbestmusic6666 หลายเดือนก่อน

    Uyo kijana ana simu au

    • @Mozfamil
      @Mozfamil  หลายเดือนก่อน

      Hapana hana cm ila kama ukiitaji kumsaidia chochote namba ipo hapo kwenye description wasiliana nasi tutawakilisha mchango wako nyumbani kwao kupitia camera ya moz public tv asante🙏🙏🙏

    • @sumahiliukuluka4503
      @sumahiliukuluka4503 หลายเดือนก่อน

      Apana

  • @musaabedi1834
    @musaabedi1834 หลายเดือนก่อน

    Ningelipenda kumsaidiya mwana mkubwa huyu ilaa sijuwi jisi yakuwapata! Kama MP TV kuna namna basi mtaniambia au in box

    • @Mozfamil
      @Mozfamil  หลายเดือนก่อน

      Kwa mawasiliano zaidi piga
      +255757306201