CHADEMA WAMJIBU RAIS SAMIA KWA BARUA NZITO WASISITIZA MAANDAMANO YAO WASISITIZA HAKI UCHAGUZI MDOGO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • #chadema #raissamia

ความคิดเห็น • 37

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 2 วันที่ผ่านมา +3

    Haki huinua taifa. ❤❤❤

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 2 วันที่ผ่านมา +1

    Saafiiiiii sana

  • @MkingaJulius
    @MkingaJulius 2 วันที่ผ่านมา +2

    CCM acheni uoga jibu hoja mbona sasa munapaniki kulikoni

  • @NickolathaRwelamila
    @NickolathaRwelamila 2 วันที่ผ่านมา +1

    Maneno mengi hakuna kitu😢

  • @JohnNgambeki
    @JohnNgambeki 2 วันที่ผ่านมา +1

    Safisana kaka kufakupo akunakuogopa. Tusonge mbele

  • @thaddeojude7511
    @thaddeojude7511 2 วันที่ผ่านมา +1

    Unalipwa kias gani

  • @OzilSalum-r6c
    @OzilSalum-r6c 2 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤

  • @SulemaniBajambo
    @SulemaniBajambo 2 วันที่ผ่านมา

    Kwa sasa Tz kila kitu Siasa,Waalimu,Madaktari na Wataalam mbalimbali wamesusa fani zao,wakaamua kufanya Siasa/Uchawa,tunaiua Nchi wenyewe

  • @damianichayo895
    @damianichayo895 2 วันที่ผ่านมา

    Mmeanza woga wanafunzi wa wapi kupiga kura? Ni mihemuko TU kelele. Mara polis hawafai mara wazuri chama chenu hamna msimamo

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa Nani aliwaambia msishiliki miaka Ile jamani Tanzania tunaitaji vyama vya upinzani vyenye akili wapenda Amani sio vulugu

  • @YussufKhamis-n4c
    @YussufKhamis-n4c 2 วันที่ผ่านมา +1

    Tatizo Mbowe, Tundulisu na Slaa hawamjui Rais Samia . Huyu mama kwanza kalelewa na baba na mama yake hakulelewa na boding , kakulia mjini , msomi sihaba , dini yake anaijua nakuifuta kikamilifu , mzingumzaji na mwenye kipaji Cha kujieleza , ni sahihi amezaliwa na kukulia Zanzibar ni mzuri sana wa kukujibu usafii pale unapo mchokoza .kwale wanaemjua viziri wanashanga kuwa matusi yote anayotukwanwa matusi ya nguoni mitandaoni na hata wahuni lakini Bado yeye Yuko kyimya . Tatizo wa bongo hawamjui Samia wanamchukulia powa TU . Wakimuona na mashungi yake basi ni mbole . Sasa mmemchokoza na Bado .

    • @rasnchimbi
      @rasnchimbi 2 วันที่ผ่านมา

      Suala ni mfumo wa katiba,siyo Samia binafsi kama yeye.

  • @patricklameck2425
    @patricklameck2425 2 วันที่ผ่านมา

    Semea cha chako usisemee wengine. Ukiitwa una ushahidi.

  • @HenriquesRichadeSelemane
    @HenriquesRichadeSelemane 2 วันที่ผ่านมา

    Asilimia 100 chadema akili zao mavi

  • @thaddeojude7511
    @thaddeojude7511 2 วันที่ผ่านมา

    Kwan miaka yote hamkuwa seriously?Dogo punguza maneno

  • @KamiliKapeta-yr3uc
    @KamiliKapeta-yr3uc 2 วันที่ผ่านมา

    Chama chenu kime washinda mstshe watu mnmwenyekit selasin selasini kunademoklasi

  • @MkudeSimba-p3f
    @MkudeSimba-p3f 2 วันที่ผ่านมา

    Umma hawataki vilema na vifo jee

  • @damianichayo895
    @damianichayo895 2 วันที่ผ่านมา

    Msituharibie amani mbona vyama vingine Wana ustarabu? Mnaingiza utekwaji ili shughuli zikwame hamuwezi kufikia hata 25% ya uongozi

  • @Kalunirashidi
    @Kalunirashidi 2 วันที่ผ่านมา

    Kwann chama nichadema tu

  • @hamisihemedi1099
    @hamisihemedi1099 2 วันที่ผ่านมา

    Acha tempa siku itafika

  • @HenriquesRichadeSelemane
    @HenriquesRichadeSelemane 2 วันที่ผ่านมา

    Huu ndio uchizi

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 2 วันที่ผ่านมา

    Hamuwezi kushinda kwanza hakuna mwananchi wenye akili timamu anayekikubali chadema .kuanzia viongozi wenu naninyi eote Hanna hoja wala Sera kusema nirahisi sana kuliko kutenda .

    • @AmisiLulacha
      @AmisiLulacha 2 วันที่ผ่านมา

      Akili yako ipo matakoni subiri mwanao atekwe ili akili yako iwe kichwani

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 2 วันที่ผ่านมา

    Kelele zote ni uwoga mtupu

  • @OmarKombo-h2j
    @OmarKombo-h2j 2 วันที่ผ่านมา

    Chadema bd cn kushika madaraka ya nchi ya tanzania sababu bado haijawa na sera imara tena zenye kutekelezeka kwa maendeleo ya nchi hii

    • @bhaijanali5092
      @bhaijanali5092 2 วันที่ผ่านมา

      Kama bado acheni kutumia dola ndio utajua Kama bado sanaa au

  • @Werema3760
    @Werema3760 2 วันที่ผ่านมา

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏

  • @user-ig3bu6lb5i
    @user-ig3bu6lb5i 2 วันที่ผ่านมา

    Haya ngoja tuone

  • @DismasJosephKivumi
    @DismasJosephKivumi 2 วันที่ผ่านมา

    Mhhhh

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 2 วันที่ผ่านมา

    Utalia😂

  • @DottSayi-v7e
    @DottSayi-v7e วันที่ผ่านมา

    D

  • @jaberalyafei274
    @jaberalyafei274 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa tuonyeshe mlicho mlicho fanya kwa ajili ya wananchi mdomo tu haitoshi debe tupu hutoa sauti tele

    • @AmisiLulacha
      @AmisiLulacha 2 วันที่ผ่านมา

      Wewe nipumbavu kweli chadema walisha tawala ao kushika Dolan kwenu unanunuwa ndoo ya maji 500

    • @sizorstartv6168
      @sizorstartv6168 วันที่ผ่านมา

      Wakuonyeshe nini walishawahi kuinhia madarakani ..MBONA MAREKANI WANAPOKEZANA REPUBLIC THEN DEMOCRATIC

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 2 วันที่ผ่านมา

    Msituteke tuu