🅻🅸🆅🅴 SAKATA LA MAUAJI NA UTEKAJI LAMUIBUA ASKOFU MWAMALANGA AWATAJA CHADEMA/ AMPA USHAURI RAIS SAMIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 37

  • @clauschaula2050
    @clauschaula2050 หลายเดือนก่อน +1

    Haki ni mzizi wa Amani.Bila haki hakuna Amani.Kutegemea zaidi matumizi ya vyombo vya dola kuleta amani,huchochea hasira na ulipizaji wa vidasi kutoka vizazi hadi vizazi.Viongozi tuache hasira na jaziba bali uvumilivu,hekima na busara vitawale na tumtangulize Mungu.Mungu ibariki Tanzania na tuondolee ubinafsi miongoni mwetu.Amina.

  • @mxfsedtirz
    @mxfsedtirz หลายเดือนก่อน +2

    Manufaa ya kuchukia uovu na hatari ya kushabikia uovu.(Ezekiel 9:1-11)

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub หลายเดือนก่อน +1

    Hatari sana mchungaji gafula kabadilika kama upepo nini kimepita hapo,nimeshangaa sana 😢

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u หลายเดือนก่อน

    Mungu asaidie sana tena sana.

  • @bishopprofvictorchisanga2009
    @bishopprofvictorchisanga2009 หลายเดือนก่อน +2

    Ni kweli jibu ni sauti ya watu kupitia kura zao. Lakini, CCM hairuhusu HAKI hii; KURA za walio wengi huporwa kwa mabunduki 3 ya CCM na mahakama ambayo Kwa sasa ni ya CCM. Watanzania wanataka AMANI, lakini CCM hawaitaki AMANI. ASKOFU nakujua; Je mchokozi Kwa KIVUMBI kilichoko ni NANI? Ni CCM au CHADEMA? Simamia HAKI na KWELI; CHADEMA wamechokozwa sana sana sana.

  • @andrewmbughi3587
    @andrewmbughi3587 หลายเดือนก่อน +2

    Askof huwa nakukubari Sana lkn hapa umepotea.
    Sanduku gani la kula unalisema?
    Yaani hali hii unasema tupige magoti waendelee na mambo yao tupige magoti hapana, hapana

  • @mxfsedtirz
    @mxfsedtirz หลายเดือนก่อน

    Waiachao sheria huwasifu waovu;bali wao washikao hushindana nao.(Mithali 28:4)

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa maneno yako, ume sema maneno ya hikma kabisa Allah akuhifadhi yaarab

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku หลายเดือนก่อน +1

    Akina nani waangalie,unajua machungu majonzi kwa watanzania.

  • @BMP-l9w
    @BMP-l9w หลายเดือนก่อน

    Mmmmm sijaelewa vyema

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 หลายเดือนก่อน

    Kusema ukweli hata raia kabla ya serikali yenyewe ilishjitanabaisha wazi kuwa tayari ina dhambi kuu kuondoa uhai wa raia wenye mamlaka zaidi ya haki kulingana na katiba yao,na wengi wao wakiwa ni watu ambao tayari wanajua kuwa wamejengewa tabia ya mmumini mzuri wa dini kutokana na utamaduni halisi wa jinsi alivyo! Pengine naweza kutoa ujumbe ambao najua ninayemjibu amejengewa tayari dhana mbaya ya hasira tayari imo ndani ya moyo wake..

  • @sethmdj
    @sethmdj หลายเดือนก่อน

    Lakini Askofu ajue kuwa kuna magoli ya mkono na mambo ya porini

  • @MalkiadiNaano
    @MalkiadiNaano หลายเดือนก่อน

    Umefundisha vizuri na asiiyekuelewa ana agenda yake ,tuchukue muda kuwaombea hao wenye nia hiyo ovu

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter หลายเดือนก่อน +1

    Askofu nakuelewa kinyama

  • @kyaro5945
    @kyaro5945 หลายเดือนก่อน +1

    Umepandikizwa

  • @EidAlnadabei-uc4cb
    @EidAlnadabei-uc4cb หลายเดือนก่อน

    Huyu nayeye a nataka sadaka kwa raisi kama aliopewa mwenzake jinga jatuo kikimbizi

  • @kigomatv1531
    @kigomatv1531 หลายเดือนก่อน

    Kola ya uchungaji haikai hivyo, inaonekana hukujipangalia vizuri askofu

  • @BMP-l9w
    @BMP-l9w หลายเดือนก่อน

    Askofu nenda kapige makofi, wakati watanzania wasiokuwa na hatia wauwawa.

  • @louisnyoni4139
    @louisnyoni4139 หลายเดือนก่อน +1

    Askofu haueleweki kabisa unaongea nini?

  • @JeremiahMwakanyamale
    @JeremiahMwakanyamale หลายเดือนก่อน +1

    nikwer askof,,nami naunga mkono laaana inatafuna Tanzania..damu za watu zinalia.

    • @dassustephen731
      @dassustephen731 หลายเดือนก่อน +1

      Nchi imeshalaaniwa tayari na Mungu.Watu hawawezi kuuawa kizembe namna Hiyo bila kupata majibu.Uchunguzi haueleweki.Matukio mengi yametokea unasikia uchunguzi anaendelea na huwa hatusikii matokeo ya uchunguzi,kibaya zaidi matukio Yale yale yanaendelea kutokea.What is the meaing of this? Bullshits

  • @HansHans-ye6gn
    @HansHans-ye6gn หลายเดือนก่อน

    Kwenye sanduku la kura lipi? Duu kweli usolijua ni kama usiku wa giza.uchaguzi uliopita unaukumbuka? Gwajima anakutwa na kura zilishapigwa nje ya mfumo.hujui? Au unasemea sanduku la nguo?

  • @mazoyakusekwa4167
    @mazoyakusekwa4167 หลายเดือนก่อน

    Jinga

  • @AnnaMwanakatwe
    @AnnaMwanakatwe หลายเดือนก่อน

    Pole askofu hujaelewa Wewe huwezi kutatua Hilo Tatizo Mshauri Rais aongee hivi. Atumie mbinu ya Marehemu MREMA. Atoe. Siku 7Kuanzia Leo Atakae uwa au Tukio lolote. Atanyogwa hadharani huo ndiyo mwisho watamskiliza. RAISi wao naWAZiRI wa mambo ya ndani. Fanyahivyo. Baba

  • @officialkinghimself2637
    @officialkinghimself2637 หลายเดือนก่อน +1

    Sanduku la kura siku hizi halina maana kwa maana utapiga kura ila Marefa wataamua nani apite mfano uchaguzi ulio pita ulaniwe na watu wote walio fanya ushenzi na wewe Mchungaji hujui lolote zaidi ya kutaka uchawa

    • @sethmdj
      @sethmdj หลายเดือนก่อน

      Magoli ya mkono na mambo ya porini wanasema wenyewe

  • @kyaro5945
    @kyaro5945 หลายเดือนก่อน +1

    pandikizi😂

  • @PatrickSalvi-y5n
    @PatrickSalvi-y5n หลายเดือนก่อน

    Askofu ajielewi mwishoni kauli yake basi wakiambiwa wasiandamane wasubiri mpaka wawambie ,lini?na ye kaongea katiba sasa kageuka watu wasifate katiba?

  • @BMP-l9w
    @BMP-l9w หลายเดือนก่อน

    Unaongea nini baba askofu? Hueleweki kama tusivyoilewa cola yako. Mbona mnafikia bei kwa vitu vyepesi? Nchi inavuja damu, unaongea nini?

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka หลายเดือนก่อน

    Kamati ipi hiyo na madhehebu gani

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd หลายเดือนก่อน

    CCM NA SERIKALI YAKE AMANI HULINDWA KWA BUNDUKI, AJABU SANA!!!

  • @mxfsedtirz
    @mxfsedtirz หลายเดือนก่อน

    Kumbe Askofu kwa akili yako, Utekaji, Uuaji, wizi wa kura, wizi wa mali ya umma siyo dhambi?

  • @jestonmwaisaka
    @jestonmwaisaka หลายเดือนก่อน

    Wasalipa wamwitu kubulotwe we nakwivwa insikwizi wa nalyoli Umulungu akulote!!!!!

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 หลายเดือนก่อน

    Sasa na wewe Raisi mwenyewe wa katiba afu sio Mtanzania bara na wanaouliwa ni wabara kwanini asiagize na yeye ndio mamlaka. Ongea nyooka mpasue kweli huyo Raisi sio mheshimiwa yule ni gaidi. Unazungukia mbuyu uovu ili upate kitu gani sasa? Mimi napoteza muda kukusikiliza nikijua unamtazamo straight kumbe nawe unaleta uchawa. Samia hajui wauwaji na hawamudu wauwaji wewe na nani mnaoamini hivyo?

  • @salmajafari6838
    @salmajafari6838 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU, AJIDHIHILISHE UKUU WAKE MBELE YA WATU WAOVU

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani หลายเดือนก่อน

    Huyu baba sikuhizi simwelewi Mungu anisaidie