Mahubiri kuhusu shetani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
    Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
    Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za TH-cam Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.

ความคิดเห็น • 20

  • @lucymwambebule8771
    @lucymwambebule8771 2 ปีที่แล้ว

    Mungu mwema

  • @ErasmusMakavery
    @ErasmusMakavery หลายเดือนก่อน

    hakika mzee wa upako ni kiongozi wa kuigwa.

  • @shabaniathumani4808
    @shabaniathumani4808 7 ปีที่แล้ว

    Mungu akuweke miaka mingi mtumishi wa Mungu uzidi kutufundisha na kutupasha habari njema za ufalme wa Mungu.

  • @ednambonea1404
    @ednambonea1404 7 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi Mungu akubariki sana ka somo

  • @judygasper8894
    @judygasper8894 7 ปีที่แล้ว +3

    barikiwa sana Mchungaj kwa kutuletea video mpya

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 5 ปีที่แล้ว +1

    amina baba nina kuelewa vizuri

  • @stewartmillanzi7198
    @stewartmillanzi7198 6 ปีที่แล้ว

    Upo vizuri mtumishi wa Jehovah...Bwana Mungu aendelee kukuinua.

  • @adolfnyamkara313
    @adolfnyamkara313 6 ปีที่แล้ว

    Asante mchungaji Nimekuelewa kabisa

  • @bensoneleutely9506
    @bensoneleutely9506 4 ปีที่แล้ว

    twilumba sana

  • @mamatuishi-mamatuondoke8822
    @mamatuishi-mamatuondoke8822 7 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe Mwalimu wangu wa injili ♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡

  • @ErasmusMakavery
    @ErasmusMakavery หลายเดือนก่อน

    hakika mchungaji athony lusekero ww ni kiongozi wa kuigwa.

  • @suzanamwakabona717
    @suzanamwakabona717 5 ปีที่แล้ว

    napenda sana injili ako japo siendagi ata kanisani

  • @helymtulo3267
    @helymtulo3267 7 ปีที่แล้ว +1

    mzee wa upako ubalikiwe kwa kutufundisha neno la mungu kwamimi Nakuelewa sana

  • @fredyjohnwaifakaratanzania2536
    @fredyjohnwaifakaratanzania2536 7 ปีที่แล้ว

    Mungu mkubwa

  • @williamuduvi5504
    @williamuduvi5504 6 ปีที่แล้ว

    Naomba namba za mchungaji

  • @ErasmusMakavery
    @ErasmusMakavery หลายเดือนก่อน

    hakika mzee wa upako ni kiongozi wa kuigwa.

  • @judygasper8894
    @judygasper8894 7 ปีที่แล้ว +2

    barikiwa sana Mchungaj kwa kutuletea video mpya