Nadhani hilo nikatika utamaduni wawo hata Sheikh naona hakukerika kwa hilo, sasa tukuwe na husn dhani kwa ndugu zetu. Mola amurehemu ustadhi wetu na amulaze mahali pema peponi. Ameen
A/alaykum warah-matullah wabarakat ,tunashukuru sana Shaikh Shaikh yussuf kwa darsa tumejifunza mengi, Lakini nilikuwa naomba faida au maana ya kukuswa kichwa kisheria+255 asante sheikh
Assalam aleikum Sheikh. You are sooo respected and we always gain knowledge from yr videos. But too irritated buy this nonsense guy touching yr head. Please remove this nonsense guy completely from yr islamic gathering. He can do those stupid things in his home
Sheikh Izudin plz huyo mwenye mkono mrefu ulofika kwa sheikh yusuf .. mara ingine Asikae mbele kabisa huyo akae nyuma kabisa ...hiko kitendo kimetuudhi wengi .
Allah akurahamu
Aaymin
Asaamalyukm
O testify the're is no God but Allah and Muhammad SAW is the prophet of Allah
Twaiiiiiibu😀😀😀
SubhaanAllah
Twayyiibuuuuu
shukraan
Sheikh. Duhu la guu yangamia nini?
Nalikitiwa kitambarani baada ya heith yatumiwa vipi. Tufahamishe sisi tulombali. Shukran
Twaiiiiibuuuu 😂😂😂
Ayo makono ya husda si bure
huyu mto anaemgusa ustadh kichwa na kidole chake ananiudhi sana na naomba mumwabie awache upuuzi huo
Hata mimi nimemuona aseee
Nadhani hilo nikatika utamaduni wawo hata Sheikh naona hakukerika kwa hilo, sasa tukuwe na husn dhani kwa ndugu zetu. Mola amurehemu ustadhi wetu na amulaze mahali pema peponi. Ameen
A/alaykum warah-matullah wabarakat ,tunashukuru sana Shaikh Shaikh yussuf kwa darsa tumejifunza mengi, Lakini nilikuwa naomba faida au maana ya kukuswa kichwa kisheria+255 asante sheikh
utajengewaa wewe inshaAllah hahaha MashaAllah
Assalam aleikum Sheikh. You are sooo respected and we always gain knowledge from yr videos. But too irritated buy this nonsense guy touching yr head. Please remove this nonsense guy completely from yr islamic gathering. He can do those stupid things in his home
Twaiiiiiiiibu Mai kupewa. na ttupa yake ndio dawa
Twa-iiiiiib 😂😂😂😂 mashallah
Twaibuuuu
maaalim yusuf anamstahi tu lakini nina hakika hapendelei nivile basi tu hbu mwambieni aache upuuzi huo
Akusia kwa usalama wa afya yako
Sheikh Izudin plz huyo mwenye mkono mrefu ulofika kwa sheikh yusuf .. mara ingine Asikae mbele kabisa huyo akae nyuma kabisa ...hiko kitendo kimetuudhi wengi .
Kabisa yuaudhi sana
Huyo ndie mjengaji nyumba mkubwa