Laila nimefurahi kujuwa hivyo. Ela mimi naishi Mombasa Kenya. Huyu mchezahi violin ndiye Mjerumani na anaishi Frankfurt. Bila shaka atapenda kushirikiana na wewe ela yeye si msanii mtaalam bali ni mpenzi tuu. Nitawasiliana na yeye nione mtapatana vipi. Asante.
Good song,good wording
Kweli shirika shari namm naiyona shar kwangu
InshaAllah Mola akiepushe nalo. Na dawa ya mitihani ni kusubiri. Kusubiri ni kwema na kwa Mola hakuna shari. Kila LA kheri kwako. Ahsante.
Old is gold for real!! Zama zetu vijana wa zamani
Mambo yetu haya old boys vijana wa jana
Thumb ups for the Frankfurt taarab singer. MALAIKA.
asaaaante Kabisa
nimefurahi kucheza muziki pamoja!
mashaAllah 🤩 nyc ajab guy's ❤️ Allah awzdsh ktk kipaji chenu🤲❤️
Much love and admiration from USA
Najikuta nacheka tuuuu ahssnte kwa kunifurahisheni
#Ahmad,🔥🔥🙌
Wonderful song, nice voice. Mombasa and Frankfurt mix👍👍👍
hio bendi ipo Frankfurt?
MashaAllah Tabarakallah Shangazi nakuona ❤😍💖
Masha Allah dadaetu wa mikindani
Mashaallah good taarab
Japo nateseka moyo kwa mapenzi lakula Shiraka mimi siliwezi sahihi weezzz hapo basi ukenda kwa yule kwangu usije hehe umenifurahisha dear
La kula shirika mm siliwezi😩🙌
Mashallah dogo si mchezo
Much love from Berlin Germany
Nice 👍 💞
Very nice MashAllah
mashallaah
Sawa kabisa hakuna awezaye lakini diyo maisha
Umejibu.
Nice song 😘😘😘😘
Nice👍💞
Fantastic
Good
Sauti kma ya marehm stara bute😜😘
Superb ..lakini Ahmed angeimba nawe ila balance ...gender . Ingevutia zaidi . El mabrooq
nipo Germany ila nataka kujiunga na Band nifanyeje?
Sisi tupo Kenya. Jee wewe ni mchezaji vyombo ama muimbaji?
mie muimbaji
Laila nimefurahi kujuwa hivyo. Ela mimi naishi Mombasa Kenya. Huyu mchezahi violin ndiye Mjerumani na anaishi Frankfurt. Bila shaka atapenda kushirikiana na wewe ela yeye si msanii mtaalam bali ni mpenzi tuu. Nitawasiliana na yeye nione mtapatana vipi. Asante.