Bendi ya Ghaithan Musical Party yatunza utamaduni wa Kiarabu Mombasa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Utamaduni ni kioo cha maisha ya mtu, na akiupoteza amepotea. Kuhifadhi utamaduni wa jamii ya Hadhrami, ambayo asili yake ni Yemen, ndilo lengo kuu ya bandi ya muziki ya Ghaithan Musical Party ya mjini Mombasa, Kenya. Lengo jingine ni kuburudisha watu. Pata zaidi katika vidio hii ya #Kurunzi.

ความคิดเห็น • 3

  • @bintyemeniya4731
    @bintyemeniya4731 11 หลายเดือนก่อน

    Nzuri Sana

  • @habibalmamari4600
    @habibalmamari4600 3 ปีที่แล้ว +2

    Nilitamani kusikia nyimbo zao au nyimbo za kikundi Chao.

    • @habibalmamari4600
      @habibalmamari4600 3 ปีที่แล้ว +2

      Samahani mtangazi hukuweka contact zao ili tuwasaidie ndugu zetu