Sio kila siku uletewee kwa urahiso lazima kunasiku jasho likutoke hahaha wakudere endelea na codi tunapenda sn mtu aumize kichwaa sio buruburee vyabure mwisho chalinzee😂😂😂😂
Yaan chombo cha habari Kinatumika kama kijiwe Kama taarifa sio rasm au sahihi.. Kwann muwafumbe wasikilizaji.. Hii inamaana kuwa redio ni yakihuni.... Yaan mmekubari redio iwe ya umbea
Sasa lomalisa Bado hajapewa thank you, aliyepewa ni kisinda ambaye alikuwa yanga kwa mkopo, pamoja na yote Azam hata wasajili messi hawaendi popote hata kikombe cha kahawa hawachukui
@@Hamad-jw1mc 😂😂😂jua sababu ya Kwann anasema Al Ittihad ,,,,,Utopolo na Simba hawana jeuri kifedha hao Azam wakiamua kutufanyia umafia kwenye timu zetu hatuna cha kuwafanya
Azam( Al at had)
simbaaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mzeee wa zandan
Sio kila siku uletewee kwa urahiso lazima kunasiku jasho likutoke hahaha wakudere endelea na codi tunapenda sn mtu aumize kichwaa sio buruburee vyabure mwisho chalinzee😂😂😂😂
May❤️ God 💛Be 💙With💜 Everyone💛 Always 💜Much💜 Love❤️ Blessings 💛Always ☺️ 🎇 🌈 🌐 💯✌️💜💙💚💚💚💖💚💚💖💖
Peace💙 and ❤️Blessings 💛Too 💚My💜 Brothers ❤️May 💛God 💚Bless💙 Everyone❤️ Always 💛May💛 God 💙Bless❤️ Everyone💛 Richly 💙with❤️ everything 💛they💚 need ❤️Always💛 Much💚 Love💚 Blessings ❤️Always ☺️ 🎇 🌈 🌐 💯💯✌️💚💛❤️💙💙💙💙💙💙❤️❤️
Code nyepec ni kuwa hakuna timu yoyote itakayomtaka mchezaji kutoka azam ikampata mana wachezaji wao wote wamewapiga mkataba mirefu tayari
kodi nyepesi sana iyo niiiiiiiiiii
Sawa
Azam 🔥
Azam Fc..😊
Akamiminko 2years lomalisa sign in azam
Yaan chombo cha habari
Kinatumika kama kijiwe
Kama taarifa sio rasm au sahihi..
Kwann muwafumbe wasikilizaji..
Hii inamaana kuwa redio ni yakihuni....
Yaan mmekubari redio iwe ya umbea
Hii ni part ya taarifa zenye ucheshi ndani yake... Tulia ww
Pia jifunze kuandika
@@athaum05😂😂😂
Mimi binafsi nampenda huyu jamaa mzee wa Kudrer wa Zandaaani kabisa anatupa changamoto ya kufikiria. Big up mafara watabaki stendi😂😂😂
Huna akili
Azam hioooo
Azam hao
Aljitihad ni azam nq hao nyuki ni yanga
Itihard bhana
Mbavu tatu Joyce romalisa mtambala 😂😂
Sasa lomalisa Bado hajapewa thank you, aliyepewa ni kisinda ambaye alikuwa yanga kwa mkopo, pamoja na yote Azam hata wasajili messi hawaendi popote hata kikombe cha kahawa hawachukui
Azam ata wasajili wachezaj toka ulaya ila kwa hii miamba miwili bado xana 😂😂😂😂
Al ittihad ni azam fc
Yaani Hao Azam hata wakisajili Dunia hawachukui ubingwa
Kwanini bana hahaha😂😂😂😂
Kwani walipochukua ubingwa walikuwa wamesajili ulimwengu au..??😂😂😂🤸🤸🤸
Ety wamelalaa😂😂😂😂
Mzee wa kudere unatuchanganya sasa hao alhtihad cjui n nan xx 😅😅😅😂
Azam hao
Yanga
@@Hamad-jw1mc 😂😂😂jua sababu ya Kwann anasema Al Ittihad ,,,,,Utopolo na Simba hawana jeuri kifedha hao Azam wakiamua kutufanyia umafia kwenye timu zetu hatuna cha kuwafanya
Azam
Ni Azam hao jamani. Walichokoza nyuki kwa kuchukua Feisal.😂😂😂
Azam😂
Lomalisa to yanga 😢
😂😂
Azam hao
Azam hao