Ww msichana ndio unakipaji sawaa lkn jistiri basi ww ni mtt wa kiislamu kuvaa hivyo si maadili ya kiislamu , kwani ukijiaitiri utapungua wapi ? Kumbuka kuna uhai na umauti.
Mambo mengine Ni kujidhalilisha TU kwa tamaa ndoogo ZA upuuzi. Mwanamke kama wewe wameolewa na wastaarabu na uwezo wao. Umekaa kupumbazika na wahuni mara tiktok. kama ulikuwa dhahabu basi wanawake mnajigeuza kuwa vinyesi tu. Kila kitu hakikuelekei upo upo tu ndio yashakupita na wenzako wana heshima zao wametuliia. Uwarabu ukawe nao wewe kishamba tuu.
Ah kwani vip mbona maneno mengi makali kwani amekukosea Nini au unataka aweje acha kupayuka kwa watu usio wafaham iyo ni kazi kama kazi nyengine kwani kosa lake ni nini😂😂😂
@@hilalkhalfan1452 we unaonekana unaroho mbaya na wivu mbaya sana na atakama hujapendezwa na alichokifanya ila sio kurpokwa maneno makali kiasi kile kama vile kuna jambo baya kalifnya au kakufanyia
Huyu mtoto ni mzuri na anajua sana na anajua tena!!
Mzinzi bar mazuri MashAllah afu anajuwa sana😊🙌
Mpemba gani hata kufunga mtandio hajui
Jaribu na wewe kuingiza kama una ona ni rahisi
Mke mwenyewe hakufanana kushika jembe ati alime subutu hahaha mtoto ashazoea AC
Usilime wewe nani? Eti Haithamu. Haithamu bongo??? Afu Mwalabu Chapati naye 😂
😂😂 hatarii sana
Maigizo jaman maan naon koment mbaya ila ametowa mufano musisem vibay
Mpemba gani mikono wazi
Mpemba mrembo sana naeza pata namba zake
Mko sawa. Kwasababu zanzibar ndio iliyomurika tochi kwenye hilo pori la tanganyika.
😂😂😂😂😂 eti pori
Hivi njiti ana mimba au vipi maana hatumuoni kwenye comedy zenu huyu mlomchukuwa saivi haendani na nyinyi kiukweli hamna kitu huyu
Anaendana vizuri tu fikra zako ndio haziendani na content 😂
Ww msichana ndio unakipaji sawaa lkn jistiri basi ww ni mtt wa kiislamu kuvaa hivyo si maadili ya kiislamu , kwani ukijiaitiri utapungua wapi ? Kumbuka kuna uhai na umauti.
Unaiga umaskini umevaa miji.chains kibao....??
Huyu mwamke hamufanani chukua mnyamwezi mwenzio
Acha roho mbaya
Acha ujinga hio ni Sanaa watu wapo kazini wanatafta rizki
Mambo mengine Ni kujidhalilisha TU kwa tamaa ndoogo ZA upuuzi. Mwanamke kama wewe wameolewa na wastaarabu na uwezo wao. Umekaa kupumbazika na wahuni mara tiktok. kama ulikuwa dhahabu basi wanawake mnajigeuza kuwa vinyesi tu. Kila kitu hakikuelekei upo upo tu ndio yashakupita na wenzako wana heshima zao wametuliia. Uwarabu ukawe nao wewe kishamba tuu.
Acha maneno ya kukatisha watu tamaa katika kuipambania kazi na vipaj vyao
Ah kwani vip mbona maneno mengi makali kwani amekukosea Nini au unataka aweje acha kupayuka kwa watu usio wafaham iyo ni kazi kama kazi nyengine kwani kosa lake ni nini😂😂😂
@@mtulivu-ir1nq wewe mkeo waweza mruhusu kazi hio?.
@@hilalkhalfan1452 we unaonekana unaroho mbaya na wivu mbaya sana na atakama hujapendezwa na alichokifanya ila sio kurpokwa maneno makali kiasi kile kama vile kuna jambo baya kalifnya au kakufanyia
We itakuwa unamtaka ,mbona kwa wengine hujasema ?