Ndipo dini ilipofikia nasi tufanye show km waimba mziki tuingize pesa na kufurahisha wapenda taarab maana ndio wamejaa humo tunafeli wapi hvi kweli hatuoni wala nyoyo hazihisi shubha za wazi wazi wapi tunapata mambo haya Tuendelee kuiga mayahud na manaswara tu tutaona matokeo yake
Msichanganye hii dini ya kiislamu kabisa , hata kama ni nasheed haifai mchanganyiko wa wanaume na wanawake , kuvaa abaya tu sio kujistiri, kujitia make up na sauti pia ni kujistiri.
Kila anaempenda mtume aweke like hpa tujuane
Doh!! Khabar nzito hizo
MASHALAAH
MWENYEZIMUNGU KUBARIKI
Mashallah sauti nzuri
mashallh muhiya
good boy
Alfannaan mahmood you're the best!!
Mashaaa Allah Muhiya Vitu Adimu Sana Hvy
MashaAllaah
Maashaallah maashaallah maashaallah Allah akuzidishie
Andika
مدح الحبيب
Nalia mwenyew hapa nilipo ni shida
jaman mafannani wa tz muache uhuni hii fani ni ya dini mbon mnavaa kama mnaimba kwaya
Soud Khalfan acha uswahili ww kuvaa Kanzu ndio uislamu
alosema kuimba hayo ni dini nan,achen istihzai na din hiyo ni maazif kama alivyosem ibn Abbas,uarabuni wanahesabu ni nyimbo
Soud Khalfan acha ushamba ndugu
Soud Khalfan Aliekuambiwa kufanya hivi ni dini NANIIIIIII?!!!!!!acheni upuuuzi kabisa kwa kufungamanisha MATAMANIO na DINI ya ALLAH
Soud Khalfan
Music sio dini, music ni haram
Qasida zisokua na music zineruhusika lkn sio kwa wanawake kuziimba hadharani
Safi sana muhiya
MashaAllah MashaAllah 👌👌🔥🔥
Na nasheed hasa inavotakiwa haipigwi kwa ala zote hizo za muziki.
Mwamba....mashaallah...
Mashaallah
Wangemuachia aimbe nasheed yake kama Muhammed muhiya tustarehe zaidi.....
waarabu kwao ni nyimbo,Ila c tunaona dini hahhahhh,
Hongera mwamba
Wallaaaah rahaaaa
Khatar sanaaaa
Mumtaaaaz
Hatari sn
Dah hii ni ngoma kama ngoma nyengine
kwani kasema hii ni dini yana sila gani na dini
Yaaa salaam
kwani kuimba vibaya?
Kwanini wote wavae suti wakati kanzu zipo
Je ni Kharamu kuvaa suti wote?
Shekhe Nani kakwambia wamevaa vibaya, kwa hivyo kuvaa suti? haina ubaya wowote shekhe, wasomi wa Quran hata suti wanavaa.
Ndipo dini ilipofikia nasi tufanye show km waimba mziki tuingize pesa na kufurahisha wapenda taarab maana ndio wamejaa humo
tunafeli wapi hvi kweli hatuoni wala nyoyo hazihisi shubha za wazi wazi wapi tunapata mambo haya
Tuendelee kuiga mayahud na manaswara tu tutaona matokeo yake
Msichanganye hii dini ya kiislamu kabisa , hata kama ni nasheed haifai mchanganyiko wa wanaume na wanawake , kuvaa abaya tu sio kujistiri, kujitia make up na sauti pia ni kujistiri.
fundi hyo
Mashaallah