Jemedar ni mbishi sana yani yeye kila kitu ataki analadhimisha anacho taka yeye achee ubishi vitu vingine coz sio vya kubishana coz tukiwa na wachezaj wazur apa kwetu tutafika mabali😊
Jaman sio kutoa toa tu ulaia waangalia wachezaji wakubwa sio unakuja bongo kiwango kiwe kizul musm mmoja Apewe hapo ltakua jalala lawa2 selkal Angalien wa2 wakuwapa ulaia wale wa ligi kubwa hao ndo wakudul nao
Debate nzuri sana 👍🏾👌🏾 Big up Jemedari, kwa hili nakuunga mkono
Debate nzuri sana, vipi uraia wa nchi watu wanagawa kma njugu kwa hili kma ni kweli kuna mtu atatumbuliwa.
Jemedar ni mbishi sana yani yeye kila kitu ataki analadhimisha anacho taka yeye achee ubishi vitu vingine coz sio vya kubishana coz tukiwa na wachezaj wazur apa kwetu tutafika mabali😊
Nawapata vizuri kutoka pande za Mkoan ruvuma songea mmetisha sana
Utaratibu ufuatwe hatutaki nchi yetu kuwa jalala hawa viongozi wetu wanatukosea sana
Kuhusu ufaransa wamezaliwa au wametoka katika himaya ya ufaransa..sijui kama unazijua himaya za ufaransa sio nchi zilikuwa koloni la ufaransa
Kutoka Amsterdam..wachambuzi bongo wana somo kubwa la kusoma kutoka kwa Jemedari Said..kubalini kujifunza
I agree with you 💯 jamedari kichwa.
Jemedar ana akili uyoo navyosema yeye kama anajua mambo ya serekali
Jaman sio kutoa toa tu ulaia waangalia wachezaji wakubwa sio unakuja bongo kiwango kiwe kizul musm mmoja Apewe hapo ltakua jalala lawa2 selkal Angalien wa2 wakuwapa ulaia wale wa ligi kubwa hao ndo wakudul nao
Jaman taifa kutoa ulaia sio kosa ila toa ulai kwa watu kama 5 kwa mwaaka lakin wamaana tishio kwel kwel kombe ladunia mbn ltakuwa kama mapinduzi 😂😂
😂
Sasa jemedari wewe ndo unapanga utaratibu wa Tanzania?? Mbona unaongea sana
Kutoka Amsterdam..sio Jemedari ni sheria sijui kama umesoma kiwango gani?
Kuhusu ufaransa wamezaliwa au wametoka katika himaya ya ufaransa..sijui kama unazijua himaya za ufaransa sio nchi zilikuwa koloni la ufaransa