GOOD NEWS! HIZI HAPA PAMPU ZA KISASA ZA SOLA ZINAZOFANYA KAZI POPOTE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • GOOD NEWS! HIZI HAPA PAMPU ZA KISASA ZA SOLA ZINAZOFANYA KAZI POPOTE
    Kampuni ya IYO SOLAR PUMPS inakuletea sola za kisasa kwaajili ya kupampu maji kwenye kisima na kwenye mito na maziwa, sola hizi zinatumia nishati ya jua ambazo ziweza kufanya kazi katika mazingira yoyote ambayo nishati ya jua inapatika...kwa mahitaji ya Solar Pumps wasiliana nao kwa simu No. 0745888887
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 14

  • @musababdullah5813
    @musababdullah5813 4 ปีที่แล้ว

    Pampu,nzuri sana.

  • @damasmkini2163
    @damasmkini2163 4 ปีที่แล้ว +1

    Je ghalama za mashambani inakuwa sh ngap

  • @nicholausgerald4542
    @nicholausgerald4542 2 ปีที่แล้ว

    Ni Kwa muda mrefu sana natafuta fursa ya usambazaji maji kwenye shamba langu.naombeni tuwasiliane ili nijue nma rahisi ya kupata huduma ya Sola pump

  • @mwitawakimara3649
    @mwitawakimara3649 ปีที่แล้ว

    Paneli 5 sh. Pamoja na Pampu

  • @josephluhombero797
    @josephluhombero797 2 ปีที่แล้ว

    Naomba namba ya simu

  • @yahyagonga
    @yahyagonga 4 ปีที่แล้ว

    Wakulima wa Tanzania kazi kwenu kwa pampu hizi kilimo cha kubahatisha hakina nafasi!

  • @danielofcars2920
    @danielofcars2920 3 ปีที่แล้ว

    Iyo inayo toa lita 5000 au 8000 kwa saa 1 ni shingapi??

  • @godfreygramsen5910
    @godfreygramsen5910 3 ปีที่แล้ว

    Hizo mashine Zinafaa kilimo Cha umwagiliaji

  • @alifakimati9614
    @alifakimati9614 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo ndogo kiasi gani na inatumia pannel ngapi

  • @HamisiSheka-lr4vh
    @HamisiSheka-lr4vh 4 หลายเดือนก่อน

    Beigani hizo pampu za nchi mbili

  • @lukasielibariki3181
    @lukasielibariki3181 2 ปีที่แล้ว

    Tatinzo wanauza ghali

  • @frost6636
    @frost6636 4 ปีที่แล้ว

    Mgogooooo....i seee you😂😂