KILIMO CHA UMWAGILIAJI KWA pampu za maji za solar .SIMUSOLAR PUMP TANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2022
  • KILIMO CHA UMWAGILIAJI
    Tumia pump ya Sola Epuka garama za mafuta
    SIMUSOLAR. LTD . ingependa kukushilikisha kuhusu huduma ya pump za maji zinazotumia mfumo wa Jua/Solar.
    Zinatumika
    kupampu maji kwa ajiri ya matumizi ya nyumbani/Shambani. Ufugaji, au matumizi ya nyumbani n
    Chanzo cha maji
    kiwe Kisima/Chemchem/Bwawa/Mto au Ziwa
    Zipo pump zinaenda hadi kina cha mita 160
    Zipo pump za aina zote za surface na submersible
    Kiasi cha maji kuanzia lita 900-100000Lt kwa siku kutokana na mahitaji yako.
    Ipo pump inweza sukuma maji mita 1500 eneo la Tambalale
    Faida ya Pump hizi ni *
    unatumia jua bira garama endelevu ya umeme au ya mafuta,
    Unaweza pata kwa mkopo au kwa fedha taslimu,
    Nyepesi kubebeka (sio nzito kama za diesel na petrol)
    Unafungiwa mfumo mzima hadi pale maji yanapofika eneo husika,
    Ina garantii ya miezi 22,
    Haina gharama yoyote ya mara kwa mara kama pump za mafuta au umeme na
    Inadumu kwa muda wa miaka 15 hadi 20 ikitunzwa vizuri.
    warrannt ya miaka miwili, service ni bure pale itakapotokea dharura ya pump
    ina kifaa cha ulinzi, GPS (Control box)
    unapewa pump yenyewe, solar panel, waya na (pipe mita 100 kwa surface pump
    #mkulimasmart
    #shambadarasa
    Holland GreenTech Tanzania
    mfumo wa Jua/Solar.
    simusolar water pump
    simusolar jobs
    simusolar dodoma
    solar companies in arusha

ความคิดเห็น • 17

  • @shambadarasaTV
    @shambadarasaTV 2 ปีที่แล้ว +1

    karibu sana

  • @elpidiusmulokozi9258
    @elpidiusmulokozi9258 2 ปีที่แล้ว +2

    Ni sululisho zuri sana hasa majira haya ambayo Hali ya tabia nchi inabadilika. Wakulima wamepata sululisho.

  • @paschalmgika7074
    @paschalmgika7074 2 ปีที่แล้ว +1

    Mazungumzo ni mazuri Ila mziki uko juu ya sauti

  • @daudmasawe4459
    @daudmasawe4459 10 หลายเดือนก่อน +1

    Natak pampu za nch 8 au kuendelea zip

  • @daudmasawe4459
    @daudmasawe4459 10 หลายเดือนก่อน

    Ila mm natak ya dizeli kubwa nalim hek 40 za mpung wot pamp

  • @yusuphkulanga6127
    @yusuphkulanga6127 ปีที่แล้ว +1

    Bei gani pump ya surface

  • @yazidumasengo7205
    @yazidumasengo7205 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo pump ndogo inauzwa shilingi ngapi kwa cash?

  • @mohamedsalum9465
    @mohamedsalum9465 ปีที่แล้ว +1

    number zao hao wanao uza tuwekeeni

  • @josephkitalula7487
    @josephkitalula7487 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimeilpenda naipataje sasa

  • @latasimon9303
    @latasimon9303 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu anaongea kichaga hatumuelew

  • @yazidumasengo7205
    @yazidumasengo7205 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo pump ndogo inauzwa shilingi ngapi kwa cash?

    • @MKULIMASMART
      @MKULIMASMART  2 ปีที่แล้ว

      Tuma ujumbe Whatsapp

    • @emanuelychete9458
      @emanuelychete9458 ปีที่แล้ว

      @@MKULIMASMART abali ndugu ninaomba bei za hizo salor