Mahojiano mazuri sana. Ahsante. Na wewe mtangazaji, wa jina wangu, Frederick Bundala, ulifanya utafiti wa kutosha. Ndiyo maana maswali yako mazuri sana. Yalimfanya gwiji Waziri Ali kuonekana Makini kama ALIVYOSTAHILI. Maana alikuwa ( na bado) Makini!!!!
Hawa ndio walikuwa wanamuziki sasa /mwenyezi mungu awapunzishe kwa amani waliotangulia mbele ya haki
Story Yake Nzuri inaweza hata ikawa Movie kabisa Aisee kaka Fred
Dah Mungu ampumizshe salama legend Waziri Ally & Babu njenje...
Nilikuwa najiuliza sana kuhusu mixing iliyofanyika kwenye boko , leo ndo nimepata majibu kumbe ilifanyika UK.inna lillah wainna ilyh rajiun. legends
Mungu amsameh mapungufu yake na awalaze Mzee Njenje, Waziri na wote walotangulia mahala pema penye wema 😭😭😭😭😭
Mahojiano mazuri sana. Ahsante. Na wewe mtangazaji, wa jina wangu, Frederick Bundala, ulifanya utafiti wa kutosha. Ndiyo maana maswali yako mazuri sana. Yalimfanya gwiji Waziri Ali kuonekana Makini kama ALIVYOSTAHILI. Maana alikuwa ( na bado) Makini!!!!
Nawakubali sana hawa wazee.
Tuliokuja hapa baada ya kifo cha Ali tujuane
miss you kaka 🥰
Alikuwa anajua kujiexpress vizuri sana. Inalilah wainaileih Rajiun.
Rest easy my old man and best musician Waziri Ally "kisinger"
Innalillah wainalilah rajiown. Vizuri havidumu.
Already missed bro!
hizo ndio muziki za kweli.nakumbuka
R.I.P Legend
Kanikumbusha mzee Akida jumanne na Mzee Jumbe na Mwinyi kitamboo wazee wetu awo na kina Shomanga apana chezea tanga apa Luke star kule gold star
Rest in Peace Mzee Waziri...
Da!
Mkewe alikuwa
Amen
Watangazaji wa sasa wote wanapaswa waangalie haya maujiano kisha wajifunze,kwasababu huyo mwendesha kipindi yuko saaa
Rest in peace babu njenje
🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏
Nyota waziri nimke wake ama mtoto wake?
Ni mke wake
Tanga hatari
Rest in peace brother Waziri.