Ni kweli kabisa. Aziz Ki anaidhulumu Yanga. Hajitambui kama profeshno player. Je, Uongozi wa klabu umempa masharti soft sana ya ajira yake au yeye anajidhihirisha kama ni mkubwa kuliko klabu ? Kocha kwa maoni yangu amekuwa ni sababu ya kushusha viwango vya wachezaji wengi. Mtazame Kibwana, Mkude, kennedy, Duke, na wengine. Hawa wangekuwa wanapewa nafasi mara kwa mara angewapa nafasi ya kupumzika hao anaowapenda zaidi na tungekuwa na win-win situation. Timu ingebalance. Pengine ni vema kusajili makocha kwa mikataba mifupi na kuongeza pale wanapolidhihirisha wako vizuri.
Kocha haangalii jina la mtu..kocha anaangalia na kuzingatia plani zake...huku akihakikisha anamchezesha mchezaji yule ambaye anampa kile anacho kitaka mazoezini.
Anguko la aziz ni yanga wenyewe wala msimlaumu... Moja ya vitu mlivyomg'ang'ania wakati kapata timu nje ni mkushinikiza nakumrubuni na mrembo Amisa kuwa package moja wapo ya yeye kubaki yanga ili aendelee kuinjoy maisha ya Tanzania asiondoke Sasa mnalalamika nini nyie vyura mmemharibu KI wenyewe pumbavu
Big up hans
Hans nakuelewa sana kaka
Ni kweli kabisa. Aziz Ki anaidhulumu Yanga. Hajitambui kama profeshno player. Je, Uongozi wa klabu umempa masharti soft sana ya ajira yake au yeye anajidhihirisha kama ni mkubwa kuliko klabu ? Kocha kwa maoni yangu amekuwa ni sababu ya kushusha viwango vya wachezaji wengi. Mtazame Kibwana, Mkude, kennedy, Duke, na wengine. Hawa wangekuwa wanapewa nafasi mara kwa mara angewapa nafasi ya kupumzika hao anaowapenda zaidi na tungekuwa na win-win situation. Timu ingebalance. Pengine ni vema kusajili makocha kwa mikataba mifupi na kuongeza pale wanapolidhihirisha wako vizuri.
Duniani HAPANA!!
Vipi umekasilika shabiki wa yanga maana nakuona povu limekutoka
Hans liyanga linaumia sana yan nakuonea huruma hans
Muwachen atitetee bana
Dozi ya shindano walijiova dozi
Kocha wetu aache kisingizio cha uchovu.
Kocha haangalii jina la mtu..kocha anaangalia na kuzingatia plani zake...huku akihakikisha anamchezesha mchezaji yule ambaye anampa kile anacho kitaka mazoezini.
Hakuna mnacho kijua nyinyi..mnabwabwaja tu!
Anguko la aziz ni yanga wenyewe wala msimlaumu...
Moja ya vitu mlivyomg'ang'ania wakati kapata timu nje ni mkushinikiza nakumrubuni na mrembo Amisa kuwa package moja wapo ya yeye kubaki yanga ili aendelee kuinjoy maisha ya Tanzania asiondoke Sasa mnalalamika nini nyie vyura mmemharibu KI wenyewe pumbavu
Leo ndio mmeanza kuongea vizuri sasa maana mlikuwa mnawapamba tu kila mechi
Gamondi yupo yupo sana mtaongea sana ila kwa vile yanga ni kubwa this week tengenezeni maokoto
Vipi mbona mapovu yanakutoka umekasilika