Ronaldo adai Vinicius JR alistahili kushinda Ballon D'or kuliko Rodri, aziponda tuzo hizo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @bonifacewanyonyi3555
    @bonifacewanyonyi3555 3 วันที่ผ่านมา +10

    ❤❤ amesema ukweli kabisa

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 3 วันที่ผ่านมา +8

    Nikweli kabisa

  • @AloiceNyinge
    @AloiceNyinge 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ronaldo yupo sahihi

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf 3 วันที่ผ่านมา +13

    Ni kweli kabisa wazungu ni wabaguzi sana

  • @hamisibakari342
    @hamisibakari342 3 วันที่ผ่านมา +3

    Viniiiiiiiiiiiii👍👍👍

  • @fasterwalker1464
    @fasterwalker1464 3 วันที่ผ่านมา +7

    Nikweli kbs vini alistahili kbs yaan waz waz

  • @SaneMwezi
    @SaneMwezi 3 วันที่ผ่านมา +3

    Ni kweli kabisa hawa wana watu wao kunakipindi roben walimnyima wakampa messi

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 วันที่ผ่านมา +4

    Huo ni ukweli yani vini ame fanya makubwa sana

  • @hudhaimaismail
    @hudhaimaismail 3 วันที่ผ่านมา +6

    Hapingwi mchezaji bora duniani kwa sasa ni vinny ila ukiumuona kuku kwa mganga ujue rangi yke ndo ilomponza

  • @inocentlema5574
    @inocentlema5574 3 วันที่ผ่านมา +4

    He is vry right

  • @lucasalbertomseti1578
    @lucasalbertomseti1578 3 วันที่ผ่านมา +9

    Alinyimwa kabisa

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 3 วันที่ผ่านมา

      Uwe unasikiliza vizuri😂😂😂

  • @davidpeter8099
    @davidpeter8099 3 วันที่ผ่านมา +5

    Me siyo mshabiki wa cr7 ila kasema ukweli mtupu kabisa

  • @JoyceNathanaely-c9s
    @JoyceNathanaely-c9s 3 วันที่ผ่านมา +2

    Ndiooooooooooooo nakubalina na ronad

  • @zanzibarboyzanzibar509
    @zanzibarboyzanzibar509 3 วันที่ผ่านมา +2

    Adai hau kasema?

  • @Emanuelmollel-i8y
    @Emanuelmollel-i8y 3 วันที่ผ่านมา +12

    Nikwel tuzo ilimfaa vin

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 3 วันที่ผ่านมา +8

    Ukiwa mweus na sura ngumu n ngumu

    • @jcrackcrack1669
      @jcrackcrack1669 3 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂

    • @elidadinyalemaelidadinyale3686
      @elidadinyalemaelidadinyale3686 3 วันที่ผ่านมา

      Ukiambiwa ulete sura ngumu....unaweza kuleta ukalinganisha na vin....vin sura nzuri...hujawahi kutana na sura ngumu wewe

    • @AloiceNyinge
      @AloiceNyinge 2 วันที่ผ่านมา

      Sura kwan ndo inacheza😂

  • @RehemaDaji-q2s
    @RehemaDaji-q2s 3 วันที่ผ่านมา

    exactly 🎉

  • @KraudiJinioro
    @KraudiJinioro 3 วันที่ผ่านมา +1

    Vin aliibiwa tuzo

  • @AllyNzisabira
    @AllyNzisabira 3 วันที่ผ่านมา +1

    Unatuuliza je tena? kama Ronaldo kasema nani wew upinge?

  • @DoiDoi-e1x
    @DoiDoi-e1x 3 วันที่ผ่านมา +1

    Watu wanaamini kufunga magoli ndio musaada pekee kwenye timu kazi anayofanya rodri munazuga amuoni

  • @SaidHijja
    @SaidHijja 2 วันที่ผ่านมา

    Bas km nikweli Alitakiw apewe lautalo Martinez muagentina ndo anavigezo vyote kuliko yyte mchezaji, Ronaldo naongea Ivo cos nimshabiki wa Madrid kwann asiseme Martinez

  • @EmmanueliKarisa
    @EmmanueliKarisa 3 วันที่ผ่านมา +1

    Vini timu yake ya taifa alisedia

  • @DicksonChemagu
    @DicksonChemagu 3 วันที่ผ่านมา

    Ndy walizingua kabsa yaaan

  • @GeorgeMarcky-og6os
    @GeorgeMarcky-og6os 3 วันที่ผ่านมา +3

    Cr7 huwa ni muwazi sana kasema ukweli hata man tesa wangemsikiliza kwa ten ha bas pengne kuna chance wangeiokoa united ila wakampa na adhabu akaamua kusepa badae xn walirealize alichokuwa amewaambia

  • @Gmanartist08
    @Gmanartist08 2 วันที่ผ่านมา

    Tatizo ni mweusi uwezi kupewa

  • @danieldaudi1631
    @danieldaudi1631 2 วันที่ผ่านมา

    Walizingua ndio

  • @A3BOYALFA
    @A3BOYALFA 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani yéyé CR7 tuzo aliyo chukuw Jana Ali istaili😂😂😂😂

  • @damasioadrianosalendi6871
    @damasioadrianosalendi6871 3 วันที่ผ่านมา

    Ni Kweli

  • @abubakarimsere
    @abubakarimsere 2 วันที่ผ่านมา

    Alistahili ila rangi ikamponza

  • @ramadhaniswami6152
    @ramadhaniswami6152 2 วันที่ผ่านมา

    UBAGUZI

  • @MamaMercie
    @MamaMercie 3 วันที่ผ่านมา +2

    nikwel tuzo inamfa vini jn

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka 3 วันที่ผ่านมา +2

    Vini ajasaidia Brazil mwezie yuko vzr na Spain

  • @SaidHijja
    @SaidHijja 2 วันที่ผ่านมา

    Mchezaji mkubwa duniani huwa ni Messi hakuna mwingine , huwez mkuta Messi Anaongea mambo ya miyayusho kama hayo ili iweje sasa, kama sio rodri basi ni lautalo Martinez uyo Vinny Ata top 3 Hayupo, atutolee ushubwada wake wa Al Nassri

  • @SaidHijja
    @SaidHijja 2 วันที่ผ่านมา

    Unamfagilia mtu hana ndoo ya dunia we chizi c tunamjua Messi ndo mungu mpira mafala nyie😅

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 3 วันที่ผ่านมา

    Sikweli Vin ni mwehu hana akili timamu ndio kilichomponza pia vin hana nidhamu kabisa

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 3 วันที่ผ่านมา

    Nikwel

  • @EdsonyMashaka
    @EdsonyMashaka 3 วันที่ผ่านมา +1

    Ampe yakwake uyo mjinga

    • @Chaliwachuga-ns4hh
      @Chaliwachuga-ns4hh 3 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe ndio mjinga

    • @ajunavany7476
      @ajunavany7476 3 วันที่ผ่านมา

      Shoga wewe

    • @TZHASHMAN
      @TZHASHMAN 3 วันที่ผ่านมา

      Mpumbavu ww

    • @SAYMOEKARIM
      @SAYMOEKARIM 3 วันที่ผ่านมา

      kashakuw chawa wa kiaarabu hyu 😅😅😅

  • @ZafarYassir
    @ZafarYassir 3 วันที่ผ่านมา

    Kwa nn rodri hafai..? Mnisaidie mnaojua

  • @Oldskulgemini9991
    @Oldskulgemini9991 3 วันที่ผ่านมา

    Uyu jamaa si atulie tu huko kwa waarabu kelele za nini😂

    • @OlaisMoses
      @OlaisMoses 3 วันที่ผ่านมา +1

      Uyo anatafutwaaa ndugu na akifanya indeview analilpwaaa

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 3 วันที่ผ่านมา +1

      @OlaisMoses Kila star anatafitwa Duniani sio yeye tu na hiyo ilikuwa ni tuzo za waarabu na wanaotumia kupromote vitu vyao jamaa Huwa anaongeaga pumba Sana eti ligi ya Saudi ni Bora kuliko ligi ya ufaransa😃 SEMA kwakuwa baadhi ya watu wameamua kuamini Kila asemacho basi unawaacha tu😅

  • @SAYMOEKARIM
    @SAYMOEKARIM 3 วันที่ผ่านมา

    cr7 kwani yeye nani 😅😅
    vin hakustahili hata 3 bora

    • @AllyMinasi-o2x
      @AllyMinasi-o2x 3 วันที่ผ่านมา

      duh mmh wew wa mchangan

  • @Oldskulgemini9991
    @Oldskulgemini9991 3 วันที่ผ่านมา +1

    Uyu jamaa si atulie tu huko kwa waarabu kelele za nini😂

    • @suleimankb0210
      @suleimankb0210 3 วันที่ผ่านมา +2

      Na wewe c utulie huko Afica😂

  • @Oldskulgemini9991
    @Oldskulgemini9991 3 วันที่ผ่านมา +1

    Uyu jamaa si atulie tu huko kwa waarabu kelele za nini😂

    • @TZHASHMAN
      @TZHASHMAN 3 วันที่ผ่านมา +1

      Mpumbavu ww hujui hata mpira nenda kalime mihigo