Shida ni matumizi ya lugha sahihi. Fanya siasa tangaza sera zako, onesha kasoro zilizopo, waelezee watu mikakati yako ya kutatua. Ata kama ulishawahi kupitia shida kutoka kwao lakini kama mwanaharakati mwenye mikakati unaacha tu matusi unaeneza sera zako.
@sethkivuyo3342 lakini wewe unasema hivyo umekaa sehemu tulivyo saahizi unakula mchemsho wako, Mdude haujui usiku wala mchana na mwili wenye vidonda, kuna baadhi ya vitu vinaepukika huku ukiendelea na harakati zako.
Maskini kijana,utaumiza kichwa na mbavu bure.kufoka na kutukana staili hiyo,hakutakusaidi.juwa kuwa hao watu wanakusanifu tuu,na wamekufanya kama commediani wao. Na hapo cjuwi unamtukana nani viongozii au na wana ccm?
Thamani ya kurusha helkopta,Ni sawa na msafara wa magari mangapi? Acha kudanganya watu juu ya msafara wa nyerere.eti magari matatu,viongozi wengine alikuwa haongozani nao? Tuseme tuu,walokuambia walikudanganya.
Pole Sana kamanda hutaki deni badae vizazi na vizazi vitakukumbuka kaka ipo siku mateso unayoyapata mungu yupo pamoja na wewe
Kamanda tuko pamoja na Mungu yupo pamoja nasi
Aise nondo zilikuwa Kali mnoooo mungu atakuludisha
ANAPIGA KWENYWE MSHONO😂😂😂
Mungu msaidie uyuu jamaa
😂😂😂😂 Maneno yako mkali Sana ujumbe mkali Sana ujumbe wa mwaka😂😂😂
Kwan ccm siku izi ni kina nani???😂😂😂
Mungu mlinde mdude.
mungu akupe ulizi hao polisi watanyike wenyewe
Tatizo Chadema Saccoss hamtangazi Sera zenu ni matusi tu kweli Serikali haiba kutu kizuri kinachofanyika mmmmmm maajabu hayo
Meza chuma hicho 😃😄😆😆👍
Lugha ya uwasirishaji haikuwa nzuri,serikali mmsamehe tu kijana wenu.
Mungu mlinde mtetee popote alipo mdaidie amen
Hakika mdude sijawahi kujua unamadini kiasi hichi kuanziaa leo wewe ndio Rollmodo wangu wa mapiduzi ya haki ktk nchi hii..
safi sana MDUDE hao wamama wananikera sana maana hawasikilizi point.🗣
Mdude oyeeee
Hayo mavazi ya mwamba ni code za wapi??
Shida ni matumizi ya lugha sahihi. Fanya siasa tangaza sera zako, onesha kasoro zilizopo, waelezee watu mikakati yako ya kutatua. Ata kama ulishawahi kupitia shida kutoka kwao lakini kama mwanaharakati mwenye mikakati unaacha tu matusi unaeneza sera zako.
hii ndio lugha sahihi na. ndio ccm inawachoma ndio maana wanamkamata ovyo..
@sethkivuyo3342 lakini wewe unasema hivyo umekaa sehemu tulivyo saahizi unakula mchemsho wako, Mdude haujui usiku wala mchana na mwili wenye vidonda, kuna baadhi ya vitu vinaepukika huku ukiendelea na harakati zako.
Kamanda,,,Jasusi,,,Kumbe police uliwaita hawakuepo..
Huna jipya mdogo wangu ni mihemuko tu inakusumbua!
Anawatishia police kala kibano
Kwa umati huu lazima waogope. Legacy yako itaendelea kuishi Mdude Kamanda
UTAFIKIRI ALIPEWA NCHI KUNA MAAJABU ATAFANYA😂
PUMBAVU.
Usiwaite takataka ndio maana wanachukia wanakuteka pia usiseme hawana cha Kunifanya
Kumbe ndomaana wamekushikilia uliwambia ukweri kwasababu ya kujisimamia na kusimamia ukweri
Huyo ndo mdude
Maskini kijana,utaumiza kichwa na mbavu bure.kufoka na kutukana staili hiyo,hakutakusaidi.juwa kuwa hao watu wanakusanifu tuu,na wamekufanya kama commediani wao. Na hapo cjuwi unamtukana nani viongozii au na wana ccm?
@@lutegomakoyeluhahula361 huyu kwa kauli hizi Mungu awe naye tu lakini kwa hali ilivyo kuna asilimia chache sana za kuja kuonekana tena!!!
Kumbe matusi yako yamekuponza waliohika dola watakufanyia kazi haswaaa
Kwani msafara wa mbowe mwenyekiti wako unamagari mangapi?
Kwani hujaelewa nini?
Babu hebu tuaache mbowe anawekewa mafuta na selikali mnatuchelewesha Sana nyinyi mtu anaongea point wewe unataka kuleta maigizo
Thamani ya kurusha helkopta,Ni sawa na msafara wa magari mangapi? Acha kudanganya watu juu ya msafara wa nyerere.eti magari matatu,viongozi wengine alikuwa haongozani nao? Tuseme tuu,walokuambia walikudanganya.
Kumbe ni Haki yako kukaa rumande.