make funny kiredio challenge ila jaman elf5 ndio ya kutishiana amani kweli

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 16

  • @Victorkelea
    @Victorkelea หลายเดือนก่อน

    Dah wajina pole bna mambo yakawaida hayo😂😂😂😂

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 9 หลายเดือนก่อน +2

    mademu wa arusha ni makax kimaku huwa wananiboa mno...mnazingua sana huyo angel mwenyewe mbovu

  • @RayyanRayyan-rt9cg
    @RayyanRayyan-rt9cg 9 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu dada ashukuru amepata mwanaume waarusha mstaarabu😂😂😂

  • @stevenjoshua5866
    @stevenjoshua5866 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio maana huwa vinakufa unsjua hio elfu tana kaipataje alafu ujue hio ni chuga hatunaga moja na mbili sie😅

  • @josephnyamhanga1360
    @josephnyamhanga1360 9 หลายเดือนก่อน +1

    Msicheze na hisia za mtu asee mkisikia mtu kachinjwa msishangae. Sema nini wanaume tunapitia magumu sometimes

  • @NasabiSalimu
    @NasabiSalimu 3 หลายเดือนก่อน

    Duuuh kaka zetu sijui wanakwama wapi ,wanawekeza upendo mahali sipo ,
    Girls huoni aibu kutumiaa hela ya mwanamme unaemdharau??

  • @salumsamata6500
    @salumsamata6500 9 หลายเดือนก่อน +1

    Umezinguaa😢😢aibu kwak kuw na heshim mi mwanamk mwenzio kha mtu mwenyew xura kam kambale

  • @suzanalucasemanuel7006
    @suzanalucasemanuel7006 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mludishie hata buku mbili😂😂😂😂😂

  • @aud548
    @aud548 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hiyo unaona sifa kula nauli siooo😂😂😂😂😂

  • @nanajoseph2356
    @nanajoseph2356 9 หลายเดือนก่อน +1

    😔😔 mchaga wa watu ametia huruma

  • @SikuJuma
    @SikuJuma 4 หลายเดือนก่อน

    Nataka nikupe namba ya shemeji yako nijue tupo wangapi

  • @AishaHamdan-yv2oj
    @AishaHamdan-yv2oj 4 หลายเดือนก่อน

    Utakufa ww dada hii chuga Aisee

  • @ZionLaizer-b3c
    @ZionLaizer-b3c 8 หลายเดือนก่อน

    Kina victor ni waongo na wachungu mno alf ndo wakogo ivyo

  • @ZionLaizer-b3c
    @ZionLaizer-b3c 8 หลายเดือนก่อน

    Kina victor ni wehu

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂