UVCCM MOMBA WAICHARUKIA SERIKALI KUTOKUKAMILIKA KWA MILADI YA KIMKATABA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 มิ.ย. 2024
  • Katika maadhimio ya baraza la umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM wilayani momba limeazimia kuishauri serikali ya chama cha mapinduzi kukamilisha miradi kwa wakati hasa ambayo imepitiliza muda wa utekelezaji wake kimkataba
    Hayo yameelezwa na Bwana mandela mtaki mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya momba katika kikao cha baraza kilichofanyika katika kata ya Myunga iliyoko wilayani humo

ความคิดเห็น • 1

  • @sirndax3400
    @sirndax3400 หลายเดือนก่อน +1

    Tuko pamoja sana kakka