live: [25.12.2024] OPERATION KOMBOA FAMILIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @Mariamngarama
    @Mariamngarama 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu naomba kupitia operation komboa familia Kila chemichemi mbaya kwenyefamilia yangu nataka ikauke Nani Bebe mimba ya watoto mapacha kirahisi Ameen

  • @ernestSalome
    @ernestSalome 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kupitia madhabahu hii naamini kuwa nitafanikiwa kutuma maombi yangu na yatajibiwa kwa wakati Amina

  • @gracesaimon1132
    @gracesaimon1132 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungunamba mumewangu alexander ujalie afya mpandishekiwango chajuu ,munguumpe bkibali chakuja tanzania

  • @KalenKabkala
    @KalenKabkala 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwenyez mungu naomba unifungue kimaixha nipate mume sahii unifungue kiuchumi na family yangu uipe uzma nipata watoto mapcha

  • @AminahSamadu
    @AminahSamadu วันที่ผ่านมา

    Eeeh mwenyezi Mungu nakuomba msaidie mdgo wangu ajifungue salama hospital aliyopangiwa

  • @ZaharaMahwelanapoke.kesiyakuko
    @ZaharaMahwelanapoke.kesiyakuko วันที่ผ่านมา

    Emwemwenyezi.mungu.niinue.2025.unipemme.sasahihi.ñawatotowangu.wapate.kazi.kirahisi.nayumbazangu.zipatewapagaji.sasahihi.amina

  • @LucresiaGerald
    @LucresiaGerald วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba unijalie nipte ujauzito na hata magjwa yanixh

  • @HappnessJames
    @HappnessJames วันที่ผ่านมา

    Na ndoa yangu iimalike pamoja na family yangu

  • @SalomeJacob-z1k
    @SalomeJacob-z1k 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nataka mungu anifungue nipone miwasho inayoniwasha kwenye mwili wangu

  • @AminahSamadu
    @AminahSamadu วันที่ผ่านมา

    Mwenyezi Mungu nakuomba umsaidie babaangu aache pombe kabisa na asimamie maisha yake awe chanzo Cha Amani ya familia yetu

  • @SalomeJacob-z1k
    @SalomeJacob-z1k 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nataka mungu anifungue nipone miwasho inayoniwasha kwenye mwili wangu 13:47

  • @AnteliusJustus-v7x
    @AnteliusJustus-v7x วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @RosemarynyangubhaLucas
    @RosemarynyangubhaLucas วันที่ผ่านมา

    Nataka watoto wangu wafunguliwe kiuchumi

  • @jacksonDaniel-v9d
    @jacksonDaniel-v9d วันที่ผ่านมา

    Ameen

  • @HappnessJames
    @HappnessJames วันที่ผ่านมา +1

    Naomba kupitia upako mangonjwa yanayo nisubua kwajina la yesu yapone

  • @AsimweNtimba
    @AsimweNtimba วันที่ผ่านมา

    Ameeeen

  • @SalomeJacob-z1k
    @SalomeJacob-z1k 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nataka mungu anifungue nipone mangonjwa yote nanipone miwasho inayoniwasha kwenye mwiliwangu

  • @GloryKhasim
    @GloryKhasim วันที่ผ่านมา

    Naomba Leo kupitia upako nikapate mtaji kilaisi sana

  • @RosemarynyangubhaLucas
    @RosemarynyangubhaLucas วันที่ผ่านมา

    Nataka nijenge nyumba kirahis mwakani

  • @RosemarynyangubhaLucas
    @RosemarynyangubhaLucas วันที่ผ่านมา

    Nataka nizidiwe na wateja kuanzia kesho

  • @shamtemkumba1559
    @shamtemkumba1559 วันที่ผ่านมา

    Mung nijaalie nipete kazi na ndoa ifanikiwe

  • @FatimaMarcelino-j6s
    @FatimaMarcelino-j6s วันที่ผ่านมา

    🙏🙏🙏🙏🙏🥻🥻🔥🔥

  • @SalomeJacob-z1k
    @SalomeJacob-z1k 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nataka mungu anifungue nipone miwasho inayoniwasha kwenye mwili wangu

    • @Suzanabukuru
      @Suzanabukuru 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mungu wetu ni mkuu

  • @SalomeJacob-z1k
    @SalomeJacob-z1k 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nataka mungu anifungue nipone miwasho inayoniwasha kwenye mwili wangu