Mungu aendelee kunipa afya nzuri ,naendelea kukataa roho ya magonjwa ya vidonda vya tumbo na mengine , Mungu afanikishe uhamisho wangu mwezi huu ,Mungu alinde watoto wangu wawe na afya njema na wawe vichwa shuleni na si mikia ,Mungu atuinue kiuchumi mimi na familia yangu na ndugu zangu , atuepushe na roho ya mauti amponye mama yangu na ugonjwa wa pressure ,masikio na kupooza
Ameen, nomba Yesu amponyeshe Derick aaache wizi kama kuna mtu anamchezea huo uchawi naomba utoke kwa jina la Yesu urudi ulipotoka, naomba kufunguliwa nikazidiwe na wateja officen kwangu..
Mungu leo naingia kwenye operation , naomba ningie salama na nitoke salama nikiwa na mafanikio makubwa yenye kuleta furaha, yaani nimapate mtoto aliye hai na mwenye Afya njema.yesu nisaidie.
Naomba nifunguliwe kiuchumi, pesa ninazopata zisipeperuke, nianzishe biashara na ustawi sana, nyota yangu irudi, nilipe madeni kirahisi tu, nimalizie nyumba yangu kujenga mwaka ujao nipate kiwanja kingine mwanza na nijenge kirahisi tu, nilipe ada za shule za watoto wangu kirahisi tu. Biashara yangu ya majmoto izidiwe wateja, nyumba yangu naikomboa
Mungu nakuja mbele zako nikiomba ujibu ombi la mja wako Kwa wakati unaostahili,usiache Adui wakajiinua juu ya uzazi wake,ikiwa kuna maagano,laana mikosi na kila hilà inafika kikomo siku ya Leo.Nina imani nawe Mungu utamjibu

Mungu wangu nipe utajiri wangu, familia yangu ikombolewe leo kihuchumi kwa jina la yesu aliye hai
Mungu naomba u hai nijibiwe maombi 12 ameni 🙏
Mungu achilia uponyaji kwangu katika jina la yesu
Ameen, nomba Yesu amponyeshe Derick aaache wizi kama kuna mtu anamchezea huo uchawi naomba utoke kwa jina la Yesu urudi ulipotoka, naomba kufunguliwa nikazidiwe na wateja officen kwangu..
Mungu ikomboe family yangu na uchumi wangu unyanyuke baba
Nisiibiwe godoro,maadui zangu wasije kwangu,washindwe kwa jina la yesu Aleluya Amina.
Mungu naomba nipate kazi,n familia yangu iwe y upendo n Amani.
Mungu wangu ni inue kihuchumi kwa jina la yesu aliye hai
Napokea uchumi wangu kwa jina la yesu
Naomba urizi juu ya watoto wang na wazazi wang pamoja na wadogo zangu na dada ang tuvuke sarama 🙏
Bwana yesu niongoze na uzuie madui wote wanao pigana nami. Wamezuia mafanikio zangu.
Naomba nimalize formation na nipate kazi kilahiz, mmume wangu akae vizuli kichuani yake na aongezee mchala kazini tumalize nhumba yetu, muanangu aongee vizuli naomba aongee, amém
Naomba mama angu apone mikono yake kirahisi 1
Pia naomba mme wang amarize kujenga nyumba alie ianza kirahisi 2
E mung wang naiweka famiriya mikonunu mweko tuvuke mwaka sarama kwaneema emung wang
Mung nakuomb unipe Agya njema na uokovu uwe juu yangu Amen
Naitwa rehema nimepigwa kiuchumi naomba mungu nifuliwe na madeni nimalize kirahisi na watoto wangu wafunguliwe kielimu
Ee Mungu fungua njia,na milango ya baraka juu ya familia yangu, ameeeeen.
Ee mungu fungua njiana milango ya Baraka juu ya família yangu amém
Mwenyezi Mungu nakuomba msaada Kwa kila jambo
Mwaka 2025 nikafanikiwe kirahisi sana kwa jina la yesu Ameeen
Mungu naomba nifunguliwe kiuchumi naomba nikombolewe kwenye madeni nilipe kirahisi
Mungu leo naingia kwenye operation , naomba ningie salama na nitoke salama nikiwa na mafanikio makubwa yenye kuleta furaha, yaani nimapate mtoto aliye hai na mwenye Afya njema.yesu nisaidie.
Nakuombea kwa Jina la Yesu unatoka mzima pamoja na mtoto. Uje tumtukuze Mungu
Nqmuombea mamangu mdogo Frola Michael aliye lazwa bugando mungu mponye
Mwaka 2025 uwe mzuri kwangu amen naomba mungu uwe nami
Mungu naomba nipate mtoto aliye hai na mwenye Afya njema pia awe na uzito unastahiri.
Mungu naomba uniponye mwili wangu
Naomba mungu n pate pesa mungiii klahsi n mjengee wazazi wangu
Mung nipe neema na barak katk maish yang na ubaliki Kaz ya mikon yang🎉
Napokea kazi kirahis sana
Naomba nifunguliwe kiuchumi, pesa ninazopata zisipeperuke, nianzishe biashara na ustawi sana, nyota yangu irudi, nilipe madeni kirahisi tu, nimalizie nyumba yangu kujenga mwaka ujao nipate kiwanja kingine mwanza na nijenge kirahisi tu, nilipe ada za shule za watoto wangu kirahisi tu. Biashara yangu ya majmoto izidiwe wateja, nyumba yangu naikomboa
Naomba mungu nisaidie nipate pesa ya biashara kiraisi
Mungu wango Naoba Nizaee
Mungu nakuja mbele zako nikiomba ujibu ombi la mja wako Kwa wakati unaostahili,usiache Adui wakajiinua juu ya uzazi wake,ikiwa kuna maagano,laana mikosi na kila hilà inafika kikomo siku ya Leo.Nina imani nawe Mungu utamjibu
Ameni nimepokea uponyaji kilahisi tu
Katika mazabahuu hii wambowe family yangu nawalende kwajina layesu tuvuke mwaka huu salam nafamily yangu
Ee mwenyezi mungu naonba amani kwenye familia yangu upendo kweye familia yangu
Mtumishi ombea Sisi bakimbizi ba mozambique
Naomba umlinde babaangu huko alipo
Ameni naiwe hivyo Kwa watoto wangu wapate kazi ajira kilahisi tu
Naomba ni jenge nyumba yakuishi kiraisi
Amen
Ameen
Ee mungo naomba unilinde mm na familiya nguh
Niamempaka kodi iishe
Mung nipe neema na barak katk maish yang na ubaliki Kaz ya mikon yang
Miziki ya kibongo
Anna kutoka kenya
Amee
Miziki ya kibogo
Mtumishi mimi kazi ninayo lakini siwahi kupokea pesa nyingi naomba uniombee kwenye hii kazi
34:38
Najiungbisha n madhabahu inuka uangaze naomba ni vuke kbla ykuvka nwe n biasharaa y ngu na mifugoo yngu izaee pacha pacha
Nimalize mafunzo ya biblia