Jinsi ya uandaaji wa unga bora wa sembe wa biashara
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Ukiwa na kiwanda cha kukoboa na kusaga mahindi kwa ajili ya kuuza unga wa chakula yaani sembe na dona kuna mambo muhimu ya kuzingatia hasa wakati wa ununuzi wa mahindi.
Je unaswali, au unahitaji kuunganishwa na watalamu wa kilimo, mazingira, maliasili na utalii? KIJANI CONSULT itakuunganisha nao, unachotakiwa kufanya ni kulipia sh. 1000 tu kupitia TIGO LIPA NAMBA 22922127, kisha tuma ujumbe au piga simu kwenye namba ya 0655753023, kueleza hitaji lako, NASI TUTAKUHUDUMIA.