Light Choir VA - Upendo (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 มิ.ย. 2023
  • Upendo katika 1 Wakorintho 13 ni kielelezo cha kipekee cha upendo wa kweli. Hii inamaanisha kwamba upendo ni zaidi ya hisia tu - ni tabia na nia ya kuchagua kuwa mwema na wenye huruma kwa wengine. Upendo huwa na uvumilivu, huonyesha ukarimu na hauhukumu. Huu ni upendo wa kweli unaotoka kwa Mungu, na unatusukuma kuwa wema na kuonyesha huruma kwa wengine.
    Audio produced at DivineLifeStudio & Elshaddai Records
    Video production - HappyPro
    Tuna patikana kwenye Digital platform zote :
    - Apple Music itunes.apple.com/album/id/1692...
    - Spotify open.spotify.com/artist/5oCNG...
    Social media zetu :
    Instagram - lightchoirva?ig...
    Facebook- LightChoirVA...
    TikTok- www.tiktok.com/@lightchoirva?...
    ℗ 2023 under Divine Life Management
  • เพลง

ความคิดเห็น • 31