hapo kwa kitabu ca yohana walipata roho mutakatifu alakini kwa ndani ya kitabu cha matendo ya mitumi 2:4 -38 hapo ndiowalijyazwa roho mutakatifu wa kawubiri ingili bila woga
Mimi nafikiri ww ndio huelewi...hakuna asiyejua tofauti ya KUPATA na KUJAZWA....tatizo mnaamini sana katika IMANI isiyokua kwenye MAANDIKO....!...Sasa hata ukiambiwa maana Kwa Kutumia maandiko utakataa Kwa sababu ya imani unayoamini hata ikiwa nje ya maandiko...!....Sasa hilo ni tatizo AMINI katika MAANDIKO....Kwa sababu Wapo Watu wanaamini Mti au Mnyama ni MIUNGU kwao ‘ Kwa hivyo ukitaka kuwarekebisha Watu hawa wapeleke KIMAANDIKO Sio kiimani..! Na hilo ndio tatizo lenu kubwa wakristo..!..SOMENI MAANDIKO
@@kabarezephanie3573 ....hilo nalo ni tatizo Lingine ‘ DIni ni njia bila kuwa na Dini maana yake ni MPAGANI na mpagani hana tofauti na asiyeaminj MUNGU wa kweli ...Soma maandiko tafuta dini ya Yesu ‘ maana alikua na dini hakuwa mpagani...!
Mashaallah jazakumllah kheir
Mashaallah. Wakirsto wakisoma bblia vzr wote wataslim.
Mwenyezi Mungu awaongoze waifahamu kweli.
MashaAllah, mwenyezi Mungu amzidishie umri kwa kazi nzuri anayoifanya
Ameen🤲🏻
MashaAllah mungu awape سوبرا awape kila mnacho kiitaji cha خر
Allahuma ameen
Kazi nzuri ma sha Allah
shukran jazeelan
MashaAllah masheikh. Safi sana
Shukran sana
"Mashaallah mada nzuri
Shukran Dada Rukia
Mashaallah
Alhamdulillah
Masha Allah
Shukran jazeelan
Fupi sana ya sheikh
Inshallah zitakuja ndefu lakini huo ndio uliokuwa uwezo wetu wakati huo.
hapo kwa kitabu ca yohana walipata roho mutakatifu alakini kwa ndani ya kitabu cha matendo ya mitumi 2:4 -38 hapo ndiowalijyazwa roho mutakatifu wa kawubiri ingili bila woga
Wa Islam hawajyuwe Bibilia kunatobauti ya kupata roho mutakatifu na kujyazwa roho mutakatifu
Mimi nafikiri ww ndio huelewi...hakuna asiyejua tofauti ya KUPATA na KUJAZWA....tatizo mnaamini sana katika IMANI isiyokua kwenye MAANDIKO....!...Sasa hata ukiambiwa maana Kwa Kutumia maandiko utakataa Kwa sababu ya imani unayoamini hata ikiwa nje ya maandiko...!....Sasa hilo ni tatizo AMINI katika MAANDIKO....Kwa sababu Wapo Watu wanaamini Mti au Mnyama ni MIUNGU kwao ‘ Kwa hivyo ukitaka kuwarekebisha Watu hawa wapeleke KIMAANDIKO Sio kiimani..!
Na hilo ndio tatizo lenu kubwa wakristo..!..SOMENI MAANDIKO
@@ismailyusuph740 Mimi nakubari tuu neno la mungu peke , sina dini yoyote Mimi mucristo ,