MAAJABU YA ASALI, HABATSAUDAA, SWAUMU, TANGAWIZI,,ALQASAUS, SUFA NA MENTHOL

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 2 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah sheikh, hivi kwa mfano nitakosaje kupata faida kama hii? Nakupenda sana sheikh kwa ajili ya Allah.Allah akuzidhishie ilmu ya kheir

    • @issaswedi6974
      @issaswedi6974 ปีที่แล้ว

      Kwa ugonjwa wa UKIMWI kwanza unatakiwa umche mungu alafu Kisha ukubaliane na Hadith ya mtume kwamba habbat soda inatibu magonjwa yote isipokuwa kifo BiidhiniAllah lakini unatakiwa utambue vile vile ili habbat soda ifanye kazi haswa haswa ni kheri utumie dawa na habbat soda kwa pamoja achana na dawa za mfumo sumu za hospital sisi watafiti tumegundua dawa mpya ya kisasa ya mfumo wa Gene Therapy ambayo ni maboresho ya dawa za kisasa ambazo zinachukuliwa vitu asilia tuh na hazina madhara yoyote hizi dawa ni tafiti za madaktari tumefanya kwa miaka 25 Ni dawa ambayo tafiti imefanywa kwenye Qur'an pia . Ni dawa ambayo inaendana na mfumo wa seli wa mwili wa binaadam kwa maelezo na mafunzo yetu tembelea page zetu Katika mitandao ya kijamii LinkedIn, Facebook , Twitter , Instagram
      Jina " Nehemiah II intermolecular Health Drugs LTD " hii dawa inatibu Ukimwi , cancer za stage ya mwanzo mwanzo, magonjwa ya uzazi , homa ya ini , presha , kisukari na magonjwa kadha wa kadha ila Cha muhimu lazima ujue sisi ni kina na Nani ?
      Alafu ukubali kumcha Mwenyezi mungu bila kukubali hatutibii ?
      Alafu Cha tatu weka yakini kwamba Allah atakuponesha hizi zengine Ni kutafuta sababu tuh
      Ahsante Sana au Kama una maswali piga simu number
      0694027242

  • @bibieahmedseif5022
    @bibieahmedseif5022 9 หลายเดือนก่อน +2

    Masha Allah

  • @HalimaNasser-l9g
    @HalimaNasser-l9g หลายเดือนก่อน

    Asante shehe namim naitaka niko omni

  • @petermoshy7650
    @petermoshy7650 ปีที่แล้ว

    Sheikh Nakushuru sana Sheikh kwa kutusaidia kutusomesha Mungu akubariki na akupe maisha marefu.

  • @RehemaMasemo
    @RehemaMasemo 10 หลายเดือนก่อน

    Allah Barik Shekh

  • @RehemaMasemo
    @RehemaMasemo 10 หลายเดือนก่อน

    A...A.Jina la dawa hiyo

  • @mayaamina7926
    @mayaamina7926 8 หลายเดือนก่อน

    Kenya iyo dawa naipata api?