Wait a minute! anakua mke wako kimandazimandazi hivo? Hujui kwao, hujui watu wao, hujui kazi anayofanya, asema anakulinda, mama kakwambia ni jini na bado haikujii? Mungu linda watu wako jamani wah!
Mimba huzaliwa hata miezi Saba dadangu alizaliwa miezi sita nayuko sawa yategemea vile akiekwaa kwa chupa hadi afikishe tisa lkn huyo wako mmm hadi nguo ximeletwaa zamtoto bdo ufungui akili
Helow bro nimekua mfatiliaji wa vipindi vyote bt of late sauti kwa tunao sikiza kwa system ni mbaya maybe kwa sim na kama mimi inaniwiya ngumu juu ya kazi yangu siezi sikiza na earphones plz check on that one love🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Yeah ikiwa kwa sim iko sawa bt kazi yangu huwa hairuhusu kushinda na sim so huwa naweka sauti kwa radio bt kwa hizi simulizi tatu kufatana sauti imekua sio nzuri
Kuna wajinga wnasema majini wapo wazuri ☻sijawah ona mpaka sasa jini zuri sijaona story yyte apa watu wanawashukuru majini sijaona..sasa sijui uzuri gn apo sijui..
Bro unatuletea tena story zako za kuandika!yani watu wa mwanza wengi wao story zao za kutangaza biashara za makanisa,davistar pamoja na kujisafisha lakini umerudi tena kulekule kwa tapeli maziwa!mwisho wa hii story maziwa ndo aliyemuokoa!!
Bora we yake ilikua ya miez 8 upande wang mie yake ilikua miez 6 tu😀 Na siku anaenda kujifungua skujulishwa nilstukia napigiwa sim mtoto yupo tayari, skutaka kujua kama kajifungua salama au mtoto jinsia gani!! Nilichokifanya nikamjib ntakufrahisha, baada ya hapo mpaka leo sjawahi kuonana nae na sjui yupo wapi na stak kujua😀😀😀.
Usijisifu jini ni roho chafu. Usione umeshinda wkt anakuona anakufata popote ulipo. Bora ukaombewe iyo milango bado ipo wazi ww ni wao mda wwte akikutaka anakuchukua...jini sio kitu cha mchezo yy yupo kwa ajili ya kuua tuu .na kukupeleka kuzimu siku ya kiama motoni ilo ndio lengo Lao motoni wasiende peke yao..kwaiyo jini awezi kua rafiki wa binadamu ata siku 1 aijawah tokea na aitotokea..
Tupo pamoja sana brother davistar mata media
Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up
Shukrani kwa usimlizi
Ukipishana nayo mjini unajuaje kama ni jini?
Tamaaa sio nzuri
Kabisa
@@fatmaalrshdii7615 yaan
Sasa mtoto ni mzuri a muache 😂😂😂
Kweli !!👍
@@somoeawadh7774 ndioo
Yap big up sana Dav....leo naona za Mpigo...mkupuo yani....
Good
Wait a minute! anakua mke wako kimandazimandazi hivo? Hujui kwao, hujui watu wao, hujui kazi anayofanya, asema anakulinda, mama kakwambia ni jini na bado haikujii? Mungu linda watu wako jamani wah!
Sho Kali kaka huyo aliye kutukana Hana maajabu piga kazi
Twende kazi mr everything 👍👍👍
Nimefika 🙏 pamoja Mr facts
Mwanamke humjui kwao tayari wamuoa pesa anakupa Sunday anatoka hujui anaendaa wapi ukienda bar ukipgana anajua lkn bdohukufungukaa akili hdi yakukute ndoufungukee akili
😊😊😊😊😊 Muongu huyu kaka.Story ya kutunga
Nzuri
Mr facts sauti ipo chini, kwenye earphones inasikika upande mmoja. Fix audio issue. Tuko pamoja mtu makini
Davistar Mata noma Sana mkuuu
Makini sana davistar
Angekuwa mwanaume asingepewa msaada
Aiiiii upendo hauchagui jinsia, dini wala rangi
Mnaharibu hizo backround music
Jamani mwenzenu Vodacom walikuwa wamejifungia kuweka vocha eti kisa nimeingiza mara nyingi kimakosa so vitu kama hivi ndani ya siku 5 nimepoteza
So...
Shekhe Wa Tanga hajamaliza historia yake ilikuwa inafungua kuhusu nchi ilipotoka ungemaliza ya shekhe ndio ifuate hii
Kabisaaa
Tamaa mbaya jamani
Bro anzisha group la whatsap..tuwaone mr misosi aka zabroni..mzee wa bakora za kimkakati..
Nimechelewa Sana !!🙂😂😂👍
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maharifa..tuombe maharifa jamani..mtu umjui unakubali vp aje kwenu wkt ww ndie ulitakiwa umtafute na ukafurahia mwenyewe umesaau akuna cha bure
Mjeshani 16 pls
Mambo nimoto kajomba ketu kataletwa saa kumi 😅😅😅niwatakiye mfungo mwema 🙏🙏
Darling nguo za idd ndio inta pata 😂😂😂
Usijali endelea kuniombea vyote utapata mrembo wangu 🙏🙏
@@gmdecoration6044 😘
Asante
Asante shem 🤝🤝🇪🇭🇪🇭
Nyege sio nzur
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu mie uwiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mtu makini sana
Njoooni mambo mazuriiii 🌚🌚
Nimekuja pamoja Sana
@@fatmaalrshdii7615 shukran kipenzi
Nimefiika
@@sapnaabdallah1084 sana
Ndiyo nimefika asante❤❤❤❤😍😍
Villa park kwa mzee wa bakora za kimkakatii
Aaah Unakumbukumbu😊
Mtumishi part 16
Ishatoka
Mimba huzaliwa hata miezi Saba dadangu alizaliwa miezi sita nayuko sawa yategemea vile akiekwaa kwa chupa hadi afikishe tisa lkn huyo wako mmm hadi nguo ximeletwaa zamtoto bdo ufungui akili
Kaz ya mara 1 kwa wik
Mr. everything mtu makini sana
Uyo ana cha msaada wala nn nyege zake ndio zilimponza
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu mie uwiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😊😊😊😊 😊😁😊😁 daah nacheka kama mazuri
Mweee jini tena
Karibu iftar 😄😄😄
😊😊Twajaaa
Asantee.
Weweeeeeeeee😇😇😇😇
Stry tam hiii
Vijana sikuhixi wanakufia kwa mwengaa kali 😄😄😄😄😄😄kumbe jini
Kwann umenileft kwa wasap ww mama wa gambush jmn nataka leokesho mm weka weka mwambaaaaaaa
Bakora za kimkakati hakuna?..😆😀😁😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Helow bro nimekua mfatiliaji wa vipindi vyote bt of late sauti kwa tunao sikiza kwa system ni mbaya maybe kwa sim na kama mimi inaniwiya ngumu juu ya kazi yangu siezi sikiza na earphones plz check on that one love🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Itakua ni simu yako sauti Upo safi 💃💃💃
Yeah ikiwa kwa sim iko sawa bt kazi yangu huwa hairuhusu kushinda na sim so huwa naweka sauti kwa radio bt kwa hizi simulizi tatu kufatana sauti imekua sio nzuri
Ata kwa earphones sio nzuri
USIKU
Ukisema alioa jini lisilo lakawida kwani kuna jini lakawaidaa🤦🏾♂️🤦🏾♂️🤦🏾♂️
Sasa broo dav niulize mzee omari story yake 🙏💪 imeisha,
Haivutii
Kuna wajinga wnasema majini wapo wazuri ☻sijawah ona mpaka sasa jini zuri sijaona story yyte apa watu wanawashukuru majini sijaona..sasa sijui uzuri gn apo sijui..
Majini wazuri huwa hawawatokei binadamu
@@hassanissa313 sasa uzuri wake umeuonaj
MTU makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli ulipo nipo
Chanel yetu imevamiwa skuizi
Leo wakwaanzaaaa naanza nayo
Safiii umeweza
Hongera
😇😇😇😇
Bro unatuletea tena story zako za kuandika!yani watu wa mwanza wengi wao story zao za kutangaza biashara za makanisa,davistar pamoja na kujisafisha lakini umerudi tena kulekule kwa tapeli maziwa!mwisho wa hii story maziwa ndo aliyemuokoa!!
Kweli na huenda maziwa ndo anaetengeneza mamuvi haya ili yawakute waje kwake mbwa sana
Stoty mpyaa 😲😲je yule shekhe namtaka shekhe
Inaendelea nitapost leo episodes 2
@@DavistarMataMediaDM saw mkuu pamoja
Shekh harudi tena.🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Bora we yake ilikua ya miez 8 upande wang mie yake ilikua miez 6 tu😀 Na siku anaenda kujifungua skujulishwa nilstukia napigiwa sim mtoto yupo tayari, skutaka kujua kama kajifungua salama au mtoto jinsia gani!! Nilichokifanya nikamjib ntakufrahisha, baada ya hapo mpaka leo sjawahi kuonana nae na sjui yupo wapi na stak kujua😀😀😀.
Usijisifu jini ni roho chafu. Usione umeshinda wkt anakuona anakufata popote ulipo. Bora ukaombewe iyo milango bado ipo wazi ww ni wao mda wwte akikutaka anakuchukua...jini sio kitu cha mchezo yy yupo kwa ajili ya kuua tuu .na kukupeleka kuzimu siku ya kiama motoni ilo ndio lengo Lao motoni wasiende peke yao..kwaiyo jini awezi kua rafiki wa binadamu ata siku 1 aijawah tokea na aitotokea..
@@seasonepisode3328 wangu hakua jini ila alikua mchawi tena mchawi kweri kweri
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@seasonepisode3328 kabisaaaa
@@pilimusa7770 🙂🙂🙂
🙄🙄🙄🇰🇪
😁 😁 Ndo wanavosemagaa naendaa apo mbele
Wanaume jamani uzuri sio uso
Wanaume tamaa zitawaua mfyuuuu
Hatari kwakweli
Sisi wanaume uruma unatuponzagaa iv kweli porini alafu usiku ujiongezi tuu
Tamaa tu
Haukuona kwato venye alikua amevaa mini
Kumekucha! kumekuchaaa!
2019 Sekenke barabara ilikuwa tayari bwana, labda jamaa kapitiwa kidogo
Hata na 18 ilikua tayar
1
Madawa yale makubwa makubwa ya kulevya🤣🤣🤣
Jini KRISTINA ANAITWA
Lazima walisikie hilo jina. Saa zote wanasema majini ni ya kiislam tu. Sasa leo waone
Mmmhhh
Njoon mambo mapya
Tumefika
Nimekuja pamoja Sana
@@credo7837 asante kwa kufika
@@fatmaalrshdii7615 tuko pamoja wajina
@@fatmamucha4419 pamoj
Vipi kuhusu maalim mbona haijaishia wa tanga mbona haija isha
Inaendelea
Kukuchangia namba ile ile
@@harididiuchile9468 namba ipi???
Pmj davstr ngj tusikiliz
Jomon
Vipiiiiii
Hujambo ndugu yangu
@@pilimusa7770 sjmbo ndg vp ww umzima
@@kalssambaboo9932 mie mzima alhamdulilah❤❤❤❤
@@pilimusa7770 poa
Makosa ya kimtandao nimekuwa wa pili
Pole
@@fatmamucha4419 asantee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 maneno ya mchelewaji hayo
@@pilimusa7770 kweri yote hayo uchelewaji tu
@@philipoluzege3200 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤
wakwaza
@@sweetie6934 busy na ramadhan lakini nafuata sana ni vile ngumu kucomment #pill musa asinione😁😁😁😁 nataka hajue uwanja ni wake siko mtaa
@@moreenmbatha1147 pole na majukumu
Hongera
@@moreenmbatha1147 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu uwiiiii.
New story ✌️
Yap
pill musa usikuje hapa
Uchokozi huwo 😂😂😂 hii channel ni yako 😂😂😂 Nakumiss dear
@@somoeawadh7774 hivi karibuni nitakuwa na mazuri kwa channel yangu naomba msubcribe
@@moreenmbatha1147 sawa dear
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu uwiiiiii
Hujambo kipenzi changu❤
mimi wakwaza leo
Umeiba namba
@@fatmamucha4419 huu msimu sina wizi ni ramadhan
@@moreenmbatha1147 hii number niya pili 😂😂😂
@@somoeawadh7774 akojoe alale
@@sweetie6934 uliza pole pole nakula😂😂😂