BOSS MY LOVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @ManisaboSifa
    @ManisaboSifa 25 วันที่ผ่านมา +1

    ❤🎉🎉

  • @bettytawete2575
    @bettytawete2575 11 หลายเดือนก่อน +6

    Mwandishi jifunze kupeleka Kazi yako sehemu Moja kama umepeka Kazi yako kwa Anko Jay bac usimpeleke Tena na simulizi mix simulizi hiyo hiyo kwani wasikilizaji kote ni sisi sisi hivyo kuwa makini na Kazi hapo ulijaribu kucheza na akili zetu kwa kubadilisha jina la story lkn story ni ile ile be careful mwandishi

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 11 หลายเดือนก่อน

      Haina shida mana ukisikiza side moja kule kwengine ni coment tuuu mm sioni shida mana kweli nimeisikiza kwa Anko jei

    • @janekipsang425
      @janekipsang425 11 หลายเดือนก่อน

      Nakuunga mkono

  • @Sss-b9w6f
    @Sss-b9w6f 11 หลายเดือนก่อน +2

    Waooo shukran sana ❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😢

  • @KhairatHemed-bq4uh
    @KhairatHemed-bq4uh หลายเดือนก่อน

    Mnarudia simulizi jmn😢😢

  • @NeemaJoseph-q7d
    @NeemaJoseph-q7d 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @ShemsaMushi-uk3lr
    @ShemsaMushi-uk3lr 11 หลายเดือนก่อน +2

    Jmn mcrudie simuliz bhana

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 11 หลายเดือนก่อน

      Hawajarudia hapa tatizo sisi mashabiki tunachanganya ma file.huku wakichelewa kutuletea tunaenda kwa majirani kupata uhondo😂😂😂😂

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion 11 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@MwanatumuJumaa-rj4fgbora Wewe mamyyy yani kuna watu humu hawaelew ss wengine huwa hatuzuruli Mm nikikosa simulizi hapa simulizi mix 🌹 bas nakaa kusubil 😂 so nawapenda mno

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 11 หลายเดือนก่อน

    Mm naona kama huyu bosco ndo huyo sijjui frank mybe walichanganya maiti wakaona ni frank huyo kumbukumbu ndohana ama tuseme nn mana bi dada kuna kitu ameona naameshukutuka sio ninn hatuji kama alikiona kwa frank wake

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 11 หลายเดือนก่อน

    Kuna watu wanatumia jina la ankojey lil tuzikize simulizi zao

  • @khadijahamisi6558
    @khadijahamisi6558 6 หลายเดือนก่อน

    imerudiwa

  • @سيدا-ص1ز
    @سيدا-ص1ز 11 หลายเดือนก่อน

    Kweli imerudiwa hii sumulizi

  • @fahmimohd261
    @fahmimohd261 11 หลายเดือนก่อน

    Mnatupotezea mb

  • @maggiesadock
    @maggiesadock 11 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @FatumaIddy-h4r
    @FatumaIddy-h4r 11 หลายเดือนก่อน

    Jmn mbn imeludiwa sasa nimeisha sikiliza kwa Lucas jman uuii jman 😢😢😢😢😢

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion 11 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga Wewe Sasa kama Wewe umeiskiliza huko kwa Lucas Je umefikilia kuhusu sisi wengne ambao huwa hatusikilizagi huko kwa Lucas . Hii na kwaajiri yetu ss ambao tunasikiliza hapa simulizi mix tu basi❤

    • @FatumaIddy-h4r
      @FatumaIddy-h4r 11 หลายเดือนก่อน

      @@AnnaMelikion duh 🙄 matusi tena jman

    • @MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r
      @MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r 7 หลายเดือนก่อน

      @@AnnaMelikion sema una bundles za kwenda kwa Lukas ama ANKO kwa ivyo wewe ndio mjinga mkuu

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion 7 หลายเดือนก่อน

      @@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r Umetumwa uje unijibu 😂😂😂 🙌 aliekutuma mwambie hivi hapa ni simulizi mix kwann atuletee habari za Lukas kama simulizi ilisimuliwa huko atuache na ss tuisikilize huku .nasio kuja kuropoka ropoka tu

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion 7 หลายเดือนก่อน

      @@FatumaIddy-h4r matusi unayajua Wewe?? Au umekurupuka tu 😏

  • @kelematinlondon854
    @kelematinlondon854 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @MYME-u5d
    @MYME-u5d 11 หลายเดือนก่อน

    Jamn hii story mbona imesimuliwa na lucas lumbas kwa maan hiyo imerudiwa na beatrice mshana duuh

  • @FatimaRamadan-s4f
    @FatimaRamadan-s4f 11 หลายเดือนก่อน

  • @fahmimohd261
    @fahmimohd261 11 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤