Lady Jaydee: Tanzania mtu akifanikiwa sana huchukiwa na kupigwa mawe

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 66

  • @edwardmwaipopo2839
    @edwardmwaipopo2839 7 ปีที่แล้ว +62

    Kama unamkubali jide gonga like twende sawa

  • @agnessnyello6799
    @agnessnyello6799 5 ปีที่แล้ว +1

    Good interview na mtangazaji umeonyesha ukomavu sana kwa kuuliza vitu vya msingi na tija

  • @thauratali3656
    @thauratali3656 7 ปีที่แล้ว +12

    Kanaongea taratibu hana papara mashallah

  • @SULPHURTERMINAL-2-DOC2
    @SULPHURTERMINAL-2-DOC2 5 หลายเดือนก่อน +1

    😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘

  • @maryamkyando3956
    @maryamkyando3956 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana mdada kama nawe unampenda gonga like ya nguvu hapaa.

  • @zainabumtubwi263
    @zainabumtubwi263 6 ปีที่แล้ว +1

    Mwanamke Jed anajielewa sana.mungu ampe hitaji la Moyo wake

  • @davidremmy2769
    @davidremmy2769 6 ปีที่แล้ว +2

    Nakupendaga bure dada J.
    Kua imara hivyo na usiache kuomba MUNGU katika shughuli zako.

  • @gottaboy4178
    @gottaboy4178 7 ปีที่แล้ว +21

    napenda anavyozungumza lady jdee

  • @TRAVELANDTASTETANZANIA
    @TRAVELANDTASTETANZANIA 6 ปีที่แล้ว +1

    Lazima tujikubali. Empower Women Of Africa.

  • @faridhassan2308
    @faridhassan2308 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli huyu mtangazaji anajielewa sana na mnyenyekevu pia ni mstaarabu sana kwenye kuhoji,napenda sana mahojiano yake.

  • @emmanuelmkama5353
    @emmanuelmkama5353 7 ปีที่แล้ว +1

    Umeongea vizuri jide, keep t up, uschoke mama. May God bless u

  • @Ezekiel_abel
    @Ezekiel_abel 7 ปีที่แล้ว +16

    jaman hata huyu DJ anajielewa sana

  • @peternjungeh881
    @peternjungeh881 6 ปีที่แล้ว

    Lady Jay Dee you are phenomenon in African music. Keep up.

  • @sosojay3783
    @sosojay3783 7 ปีที่แล้ว +2

    Respect kwako dada yangu kommando unaongea vizuri na bila kuchanga broken english

  • @zuweinasalum8452
    @zuweinasalum8452 7 ปีที่แล้ว +7

    Ni mwanamke mzuri sana huyu na anajiheshimu sana

    • @kwangumakwaia3823
      @kwangumakwaia3823 7 ปีที่แล้ว

      Sana anajiheshimu sana, nampenda sana dada huyu!!

  • @theobarddimoso8835
    @theobarddimoso8835 5 ปีที่แล้ว +1

    Love you lady jay dee.

  • @wacundirangu1661
    @wacundirangu1661 7 ปีที่แล้ว +1

    Yassss!!! #RayCJaydeeNyotaNdogo #Favorites!!!!

  • @kigwisimulindwaclemo8541
    @kigwisimulindwaclemo8541 6 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa jibu lako kuhusu hio inshu ya BELLA, big up Commando

  • @bakariluhala7332
    @bakariluhala7332 5 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana dada yangu jide toka nikiwa mdogo nakukubali sana

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 7 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda sana red j

  • @islemissa346
    @islemissa346 7 ปีที่แล้ว +2

    ana akili sana huyu mdada!!!

  • @wacundirangu1661
    @wacundirangu1661 7 ปีที่แล้ว +2

    #HumbleLady #Mnyenyekevu
    😙😙

    • @binngayama5339
      @binngayama5339 6 ปีที่แล้ว

      NAMKUBALI SANA HUYU BINT MPAMBANAJI.

  • @mdsaid4562
    @mdsaid4562 5 ปีที่แล้ว

    Ukweli bongo ukifanikiwa lazima uchukiwe

  • @gabrielkeikei1740
    @gabrielkeikei1740 5 ปีที่แล้ว

    Jmn dada komando uko vzr xana

  • @barikiarastus8770
    @barikiarastus8770 7 ปีที่แล้ว

    Boss wangu bora kabisa kuwahi kutokea, moja kati ya waajiriwa wa nyumbani lounge!

  • @a.j9964
    @a.j9964 6 ปีที่แล้ว

    KoMANDOOOOOOOOO.. JIDE JAY DEE

  • @hurumaemmanuel5226
    @hurumaemmanuel5226 7 ปีที่แล้ว +1

    love u mdada.

  • @mdsaid4562
    @mdsaid4562 5 ปีที่แล้ว

    Ukweli bongo

  • @dianamalingumu4516
    @dianamalingumu4516 7 ปีที่แล้ว +5

    Hakuna kitu rasihi nimependa Hii status ya jeed

  • @fatumakamba6324
    @fatumakamba6324 5 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣bado wananiogopa🤣🤣🤣🤣

  • @emmanuelpanga943
    @emmanuelpanga943 6 ปีที่แล้ว

    unaweza Dada angu,kaza Buti

  • @meryciananyankena7590
    @meryciananyankena7590 6 ปีที่แล้ว

    Dada love u

  • @saiduraity5490
    @saiduraity5490 5 ปีที่แล้ว

    daaa Jed acha nimefurai

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 7 ปีที่แล้ว +5

    I love you Commandooo

  • @mamafranjovlog72
    @mamafranjovlog72 7 ปีที่แล้ว +5

    Subscribe kwenye channeli yangu schoraship za uk , belgium na hungary mpya zimetoka .bonyeza picha yangu itakuleta kwenye chaneli yangu au nitafute hapa youtube as mama franjovlogs asanteni

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 7 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji nimempendaaaaa

    • @africanhappyadventure6951
      @africanhappyadventure6951 6 ปีที่แล้ว

      Shani Mbaruku ...Haahaaa mtu mkongwe Huyo kashafanya Kazi Redio Kubwa sana Hapa Tz so anaijua kazi yake vizuriii..

    • @beatymassawe123
      @beatymassawe123 2 ปีที่แล้ว

      Hii interview mtangazaji na mgeni wote vichwa vyenye utulivu.

  • @evabonfas4331
    @evabonfas4331 7 ปีที่แล้ว +6

    Kwani huyu mtangazaji ni yule wa sms

  • @johnshigela9369
    @johnshigela9369 5 ปีที่แล้ว

    Mwandishimbona Kama anamuiga miladi hayo

  • @kherysamiryamsaaka7292
    @kherysamiryamsaaka7292 5 ปีที่แล้ว

    Katuliy san

  • @kherysamiryamsaaka7292
    @kherysamiryamsaaka7292 5 ปีที่แล้ว

    Anafanana na mkewang kiutaratibi saf san

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 7 ปีที่แล้ว +1

    Kuna Malow kuna K bazili vick kamata mike tee dojo domokaya o ten sog hao cjawasikia

    • @ostazclassic3370
      @ostazclassic3370 6 ปีที่แล้ว

      Larick Mtui o ten kwasababu atuponae duniani r.i.p

    • @larickmtui2852
      @larickmtui2852 6 ปีที่แล้ว

      OSTAZ CLASSIC o ten alikufa lini na nini kilisababisha kifo Chale?

    • @ostazclassic3370
      @ostazclassic3370 6 ปีที่แล้ว

      Larick Mtui Hahahahaha sorry brother nimesahau nimefananisha langa na o ten👈

    • @larickmtui2852
      @larickmtui2852 6 ปีที่แล้ว +1

      OSTAZ CLASSIC sawa nimeelewa mkuu

  • @zairaisaid6389
    @zairaisaid6389 ปีที่แล้ว

    😁

  • @AzaAlhabsi
    @AzaAlhabsi 7 ปีที่แล้ว +1

    Lady j Dee luv u

  • @jensennashon6147
    @jensennashon6147 6 ปีที่แล้ว +1

    Jideee komando bigup sana madam

  • @barikiarastus8770
    @barikiarastus8770 7 ปีที่แล้ว

    ndo maana tunakuhita comando, anaconda, binti machozi

  • @KhadijaKhadija-mk6jf
    @KhadijaKhadija-mk6jf 6 ปีที่แล้ว

    Nakupenda jd

  • @evabonfas4331
    @evabonfas4331 7 ปีที่แล้ว +2

    Kwani huyu mtangazaji ni yule wa sms