UKINGONI MWA YORDANI | NYIMBO ZA KRISTO NO 178

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
  • 178. Ukingoni Mwa Yordani
    On Jordan’s Stormy Banks
    1. Ukingoni mwa Yordani ninaangalia
    Bara nzuri ya Kaanani, ninayotamani.
    Tutakaa pamoja na Yesu,
    Katika pwani yenye raha;
    Tutaimba wimbo wa Musa na Kondoo,
    Milele hata milele.
    2. Bara ile ina nuru, nuru ya milele;
    Kristo, Jua, hutawala, hufukuza giza.
    3. Nitapafikia lini na kubarikiwa,
    Penye ufalme wa Baba. Na kumwona uso?
    4. Furaha yangu rohoni ni kuchukuliwa;
    Siyaogopi mawimbi katika Yordani.

ความคิดเห็น • 2

  • @isayaerasto7550
    @isayaerasto7550 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo ulioniinua kiroho sana

    • @nzksda
      @nzksda  3 หลายเดือนก่อน

      Amen