We Jemedari achakupotosha walejamaa walicheza kweli kuliko walivyocheza hapa home yani hapa home walikuwa wanajilinda wanashambulia kwa kushitukiza lakini juzi timu zote zmecheza kwa kuheshimiana
Si bora crown fm yupo hans ni yanga je wasafi wotee yanga tena wao huwa wanaitabiria mabaya simba mpaka unajiuliza hizi redio zina faida gani maana badala ya kutupa furaha tunaambulia kero tu
Mwarabu alieifunga yanga taifa ni mmoja tu na yeye nilivyomfuata kwake nilimshenyeta huyo mc atafungwa kwa aina yoyote yani akatae akubar nilazima tuondoke na points 3
Nyie makuma hakunaga timu nyingine ya kuzungumzia ndani ya nchi hii ukitoa yanga kwanini msiizungumie namungo au singida au Azam au Kagera mpaka yanga tu au yanga ndio inawapa chakula😊
Kiufupi Bado maana anahangaika na mudathiri ambaye amepoteza umakini na uwezo wa kucheza kwa kiwango Bora maana hakabi, hafanyi blocking, hawezi kusaidia timu kupandisha mashambulizi pia ni mchoyo na anapapara sana awapo eneo la penalty box,pia anaparamia sana wachezaji wa timu pinzani na PASI zake nyingi ni fyongo na chonganishi
Sijaona michambuzi uchwara kama hii yaan wote wanaipiga vita yanga tu na wataumbuka sana safari hii aibu ya kwanza jana Al hilal kafa sasa wamehamia kwa mwarabu pumvavu zao
YANGA bado tuna Kazi na mechi ya mwisho.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibarik Yanga
Ibenge kaweka full squad na sub 5 hakuna kisingizio😂😂
Mnatudhihaki heeeh!,,,sawa
Yani we boya sura yako mbaya adi roho yako mbaya ivi unaishi na familia kweli
mashabiki wa yanga hawatakag kuambiwa ukweli ndio maana wanapenda kumkosoa jemedar
YANGA levo nyingine bwana
Wewe msenge sana.
Jemedari Kwa Leo ameongea fact, wale jamaa tusiluhusu watutangulie goli afu kiujumla mechi ni ngumu Sana Tena sana
We Jemedari achakupotosha walejamaa walicheza kweli kuliko walivyocheza hapa home yani hapa home walikuwa wanajilinda wanashambulia kwa kushitukiza lakini juzi timu zote zmecheza kwa kuheshimiana
Wachambuzi niwanafiki sana kwahiyo wangefungawa yanga mungesemaje
Hans Rafael apewe timu hata academy tu, tuone atakavyoweza kubadilisha theory kwenda kwenda kwenye practical
Kwani Crown mlikosa wachambuzi wakuchukua mkamuona Jemedari na Geoph Lea. Hamna Watu hapo
Hamna Watu Kwanini ?. Kwakua wamewaambia mechi itakua ngum au ?.
Si bora crown fm yupo hans ni yanga je wasafi wotee yanga tena wao huwa wanaitabiria mabaya simba mpaka unajiuliza hizi redio zina faida gani maana badala ya kutupa furaha tunaambulia kero tu
Hapo Hans Rafael,, amewazido mbali Sana Huyo ni mchambuzi, wengine wachapnya""
Mchambuzi niyule anayewaambia lazima mtashinda ?. , Ila anayewaambia mechi itakua ngum kwakua nawenzenu Wanahitaji kufuzu na mchukue tahadhari , huyo hafai eti ?.
HANS ANAJUA SANA MPIRA
Ukiangalia wapenzi wa mpira ni wahuni hata meseji ni za kihuni
Wachambuz wengi sana, si wachambuz ni mashabiki tu hawana weled wa kisport ni wanaz tu wa kawaida
Tunajua hilo
Kama .na because timu ya tanzania 🇹🇿 tutaacha kufuatilia crown media mta bakiwenyewe
Jemedari anachambua mpira kimihemko
Ingelikuwa Al Ahaly apo sawa. Lakn hawa wengine nji nyeupee
Mwarabu alieifunga yanga taifa ni mmoja tu na yeye nilivyomfuata kwake nilimshenyeta huyo mc atafungwa kwa aina yoyote yani akatae akubar nilazima tuondoke na points 3
Hayo Ni yako, Waarabu nao wanaapa kuwafunga. Sasa ukweli tutaujua uwanjani
Hiv huyo macho mekundu anasemaje mimi naona yupo anaongea ila anajiona aibu
john bocco kashasema uchambuzi rahisi mwanzo yanga itafungwa sasa maelezo ni tofauti, hamkujua kuwa wamequalify
Jicho la husda 😅😅😅 Jemedar said
BELZIDAD PIA JEMEDARI ALISEMA YANGA ANAFUNGWA,KILICHOTOKEA KIMYA MPAKA LEO
Usiishi Kwa kukariri
@@AlyhalilBinHajiAnakariri vipi sasa wakati anazungumza facts na anatoa ushahidi wa mechi ya Beluzdad ambayo muhusika alisema kwamba Yanga anafungwa
Sasa hata mimi nilijua yanga jana anafungwa lakini matokeo yamekuwa tofauti kwahiyo inatotea sasa unataka watu wote wawe upande mmoja haiwezekani
Na Leo Sema YANGA atafungwa na MC ALGER ILI UUMIE BAADA YA MECHI
@AlyhalilBinHa kama SIMBA mlivyokariri KWAMBA Ibenge HAFUNGWI na YANGA?
Nyie makuma hakunaga timu nyingine ya kuzungumzia ndani ya nchi hii ukitoa yanga kwanini msiizungumie namungo au singida au Azam au Kagera mpaka yanga tu au yanga ndio inawapa chakula😊
Mi mwenyewe na amin bwana pigwa mapema mechi sita kashinda lig champion lig tatu
Hans ameamua kua chawa wa yanga na sio kua mchambuzi
Yaani tunawashinda tu Tena tunashinda mbili
Hans ushabiki wa kisenge
Sasa ibenge alifanya hiyo rotation ameanza na kikosi kile kile
Matusi ya nini ndg zetu
Rotation Agni jemedari umeangalia Moira wewe au umeenda na maneno ya ibenge
Jemedali ni mwalibu kipindi tu
Tatizo lenu ndo hilo ety walipunguza uhitaji
Naungana na Hans yanga anashinda goal 3 na kuendelea
Jemedali maneno yake hayajengi Yanga, huwa anayapoteza tu
Kiufupi Bado maana anahangaika na mudathiri ambaye amepoteza umakini na uwezo wa kucheza kwa kiwango Bora maana hakabi, hafanyi blocking, hawezi kusaidia timu kupandisha mashambulizi pia ni mchoyo na anapapara sana awapo eneo la penalty box,pia anaparamia sana wachezaji wa timu pinzani na PASI zake nyingi ni fyongo na chonganishi
Mchambuzi wa mchongo ww
Hata tulipompiga CRB bado mlibeza
Sijaona michambuzi uchwara kama hii yaan wote wanaipiga vita yanga tu na wataumbuka sana safari hii aibu ya kwanza jana Al hilal kafa sasa wamehamia kwa mwarabu pumvavu zao
Huyu anayechekacheka kama bibi anaitwa nani?
Kuna watu huwa wanatafuta sababu ya kudharau watu
BAADHI YAO WANACHEKA KINAFIKI KAMA VILE HAIJAWAHI KUTOKEA SITUATION KAMA HII, YANGA VS BELOUZDAD
Hata Yanga vs Club Africain walibwatuka hivyohivyo
Hamjawahi kuikubali Yanga nyie watu, mimi sijaona kama Alhilal wali relux kwenye ule mchezo
Broo Ww ni Mchambuzi kwel
Au
Waje kulala waone watakavyoamshwa
Ukiangalia tu hilo bichwa la Jemedari tena kwa macho ya kawaida kabisa unagundua jamaa linaroho mbaya sana halafu akili ni ndogo sana
😂😂😂😂😂 umeua mzeee
Roho mbaya vipi mbna amna baya alilo sema kaongea mpira tatizo wengi hamtaki ukweri
Akiwasifia ndiyo anakua na roho nzuri eeh?
Hakukuwa na rotation. Al Hilal walioanza match ya Dar na ya Mauritania mabadiliko ni mchezaji mmoja tu.
😂
Hamna moral authority ya kuishauri Yanga nyie
Ila wanakua Safi Ikiwa watawasifia tuuu.
@@monelayongola419hapana wakiisifia simba
Hata kwa berusdadi mulicheka hivyo hivyo
KWANI YAO NA MAX WALICHEZA????SI WAPO KIKOSI CHA KWANZA?
Hilo lijemedari nijinga kwelikweli😢
Sasa huo ni uchambuzi au utabiri?? Hans ni unprofessional pundit🚮
Hii redio haina wachambuzi
Sw skuimgine usiskilize
Huo mlima wataupanda tu shida yenu nini
Hans😂😂😂😂 yanga atashinda 3,
KwAni.nyie.mnataka.yanga.amfunge.nani.apa.afrika..ndo.mkubali.kuwa.yanga.bora..maana.kashazifunga.timu.kibao.tena.kubwa..leteni.wakezenu.basi.tuwasjenyete.ndo.mtukubali
Mazegembe yenu mbwa nyie roho mbaya tu kenge wa kubwa tumefunga