Kila siku ni Simba na Yanga tu kwani hakuna timu nyingine kwenye ligi???? Jaribuni kuwa fair kidogo kuna timu huwa zinamaliza wiki bila kuongelewa hii siyo sawa kabisa everyday Simba na Yanga tu nivigogo sawa ila Jaribuni kutupumzisha kidogo too much kwa kweli
Biashara ukielewa utanyamaza.... simba na yanga wameigawa tz kwa mashabiki so wanapendaaa kusikiliza timu zao, na watasikiliza na matangazo watasikiliza so biashara ya radio itaendaa, ...dawa ya timu ndogo ishinde mechi zakee tu itazungumzwa kama vile Tabora, singida na Azam sometimes....BIASHARAAAAAAAAAAAAAA 😂😂😂😂
Jemedari una IQ kubwa sana, mi shabiki wa yanga lkn kuna vitu huwa unaelezea beyond football ya kawaida unaingia kwenye sayansi kabisa
Kila siku ni Simba na Yanga tu kwani hakuna timu nyingine kwenye ligi???? Jaribuni kuwa fair kidogo kuna timu huwa zinamaliza wiki bila kuongelewa hii siyo sawa kabisa everyday Simba na Yanga tu nivigogo sawa ila Jaribuni kutupumzisha kidogo too much kwa kweli
Fact 👍
Biashara ukielewa utanyamaza....
simba na yanga wameigawa tz kwa mashabiki so wanapendaaa kusikiliza timu zao, na watasikiliza na matangazo watasikiliza so biashara ya radio itaendaa, ...dawa ya timu ndogo ishinde mechi zakee tu itazungumzwa kama vile Tabora, singida na Azam sometimes....BIASHARAAAAAAAAAAAAAA 😂😂😂😂
Angalia ni kitu gani kinaweza kukupa faida na kinachoweza kwenda mjini wewe weka mada ya majimaji ya songea uone kama utapata kitu
Unataka iongeleww mashujaa ? Walipa Kodi Tanzania ni mashabiki Wa Simba na yanga tuu.