Exclusive Mama Diamond Amjibu Tanasha wewe acha uongo Umejaribu kumuua Diamond

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 เม.ย. 2020
  • Please subscribe now on our TH-cam channel to be the first to hear about the latest news and updates on time.

ความคิดเห็น • 232

  • @FAlmansour
    @FAlmansour 4 ปีที่แล้ว +12

    What a smart young women no man will mess her ..for sure she is no going to settle for less bravooo to her👏🏽👏🏽👏🏽

  • @chunaamina8719
    @chunaamina8719 4 ปีที่แล้ว +35

    Jamani nimecheka hadi raha, yaani Tanasha angefanya interview in kiswahili najua mama Diamond Na dada zke Mond wangetupea vijembe tu, but English is the main problem to them, Emty drums always noisy 😂💪🇰🇪🇰🇪

    • @minaaomar3935
      @minaaomar3935 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

    • @chunaamina8719
      @chunaamina8719 4 ปีที่แล้ว

      Hahaa labda warudi chekechea😂😂

    • @winniedorah778
      @winniedorah778 4 ปีที่แล้ว

      🤣 🤣 🤣 🤣 Bure tu

    • @newmuscat1698
      @newmuscat1698 4 ปีที่แล้ว +2

      Inawauma kwa vile Boya wenu kaachwa, hana jipya kajiraisisha mwenyewe, kwenye mausiano mwezi tuu unamanuwa mimba mbwiii, alafu mnajifanya mwajuwa ngeli, si mmeenda shule mnajifanya wachafu wakubwa

  • @magretwaweru6168
    @magretwaweru6168 4 ปีที่แล้ว +35

    Aii wrong translations Tanasha ur a Queen and don't deserve a mama's boy aoe Mamake basi

  • @moindimoindi9116
    @moindimoindi9116 4 ปีที่แล้ว +97

    Tanzanians need to learn English and listen for themselves the whole interview. Tanasha was nothing but respectful to Diamond's mom. The relationship just didn't workout coz of different things that she did not explain.

    • @mulindunge5461
      @mulindunge5461 4 ปีที่แล้ว +1

      Kizungu ni ngumu

    • @liliansipeti2386
      @liliansipeti2386 4 ปีที่แล้ว +2

      Well said moindi tell them

    • @hamidajames1062
      @hamidajames1062 4 ปีที่แล้ว +6

      Tanasha amewakomesha wale wambea wa kufatilia umbea good bby i think wameumia sana wambea wa tanzania nakupenda buree mma najivunia kua mkenya

    • @RahzyQueenter
      @RahzyQueenter 4 ปีที่แล้ว +2

      Am wondering too

    • @adamsakuru7737
      @adamsakuru7737 4 ปีที่แล้ว

      Acha usenge wewe kingereza kinakusaidia nin kupambana na Corona khaa!!!. It's a shame.

  • @chelseachineme4853
    @chelseachineme4853 4 ปีที่แล้ว +5

    Mungu ataleta bwana Diamond sio wako Tanasha every disappointment is a blessing in disguise Mtoto in baraka

  • @irenesese6968
    @irenesese6968 4 ปีที่แล้ว +12

    Pole sana kwa hivi hatokuja kuoa kwa ajili ya Mamake

    • @zuwenaalamini4158
      @zuwenaalamini4158 4 ปีที่แล้ว +2

      Atamuoa mama ake simwanamke 😄🤣🤣🤣🤣🤣

    • @sifahamisi5872
      @sifahamisi5872 4 ปีที่แล้ว

      Mama yake ampeleke kigoma akaowe kila mama anampenda mwanae ila sikwahiyo staili

  • @winniegesy982
    @winniegesy982 4 ปีที่แล้ว +2

    Diamond angepata modo wa nyumba.. Hangewahi date tena,hangewahi kuja huku tena...huyu ndio anafaa aseptic tankiwe

  • @budigabirdman4558
    @budigabirdman4558 4 ปีที่แล้ว +5

    Kama alijaribu kujipendekeza sana bac alikua anampenda cha ukweli ila tu bac💪💪bcoz hata gari aliiacha

  • @baranmohamedmbashir5299
    @baranmohamedmbashir5299 4 ปีที่แล้ว +18

    Mungu ataleta Kheri yake inshallah kwako tanasha inshaallah

  • @jacklinejornad2117
    @jacklinejornad2117 4 ปีที่แล้ว +2

    Tanasha, I love you😘😘

  • @belldingmusasia6187
    @belldingmusasia6187 4 ปีที่แล้ว

    It's crazy....the time daimond ana celebrate birthday ya mamake, the same day naseb junior ana celebrate Tanasha 😁Nichungu, lakini itabidi mukubali. Tanasha you can do it mume utoka kwa Mungu embrace your mistakes and move on😘

  • @popsjay8049
    @popsjay8049 4 ปีที่แล้ว +5

    Honestly stop misleading people 😳my God interview was so simple bt when it comes to translating it's hard 😆😆umeeka mengine yenye hata hakusema mdada wa wenyewe

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 ปีที่แล้ว +8

    Kaa kimya basi tumsikilize yeye mwenyewe.

  • @maurineachieng495
    @maurineachieng495 4 ปีที่แล้ว +1

    Diamond anioe nimwoshe love hatapenda tena

  • @khadijab7066
    @khadijab7066 4 ปีที่แล้ว

    Pore sana tanasha na mungu akurinde

  • @rosemakange8163
    @rosemakange8163 4 ปีที่แล้ว +5

    Tanasha kila jambo linatokea ili ujifunze wewe na wengine team zar tupo tunalea karibu kwenye chamaX

  • @cathy3842
    @cathy3842 4 ปีที่แล้ว

    Diamond should marry his mum n his sister period

  • @halima23862
    @halima23862 4 ปีที่แล้ว +13

    Wewe unajuwa hiyo English,

  • @graceevaristrugaha5658
    @graceevaristrugaha5658 4 ปีที่แล้ว

    Pole sn my

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 4 ปีที่แล้ว +1

    Sawa mama dangoti leo umeona pesa ya Diamond ila yakesho hahuya juwe kitasho mukuta ajili ya watoto wake weye utakufa pesa zitabaki Diamond ataleya watoto wake katika mazigira gani?we mama .twabiye umesha lipa pesa kwa Mungu uzeheke miaka2000ans.mucawi

  • @jacymutio6404
    @jacymutio6404 4 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna mwanamke anajiolesha. Wakenya sio hivo

  • @salumunsabimana6502
    @salumunsabimana6502 4 ปีที่แล้ว +12

    Tanasha + Sara achaneni nabiashara za wabongo .hao niwatu danger.nyinyi mna asili ya kizungu tafuteni wazungu wanajuwa thamani ta mapenzi na thamani ya mwanamke .lakini hao wanamapenzi yakipunda nahawana mapenzi yaukweli kwakuwa hawajuwi penzi ninini .tanasha tulikwambiya hukusikiya . Bado hujapoteza muda songa mbele usitizame nyuma tena .

  • @ramazanimihigo1778
    @ramazanimihigo1778 4 ปีที่แล้ว +1

    Love you honey

  • @teresiamutua4487
    @teresiamutua4487 4 ปีที่แล้ว +6

    Wacha nicheke tu kizungu nikingumu,watu watanzanià sikilizeni vizuri, au muende kwa kamusi muelewe kile Tanasha alisema,simulizi za sauti ndio walitafusiri vyema wengine hamjaelewa na kizungu

    • @chunaamina8719
      @chunaamina8719 4 ปีที่แล้ว

      Kbsaa, hakuna alie elewa ata mmoja, n kelele tuuu😂😂

    • @teresiamutua4487
      @teresiamutua4487 4 ปีที่แล้ว +1

      Chuna Amina ukweli kingereza sio cha mdomo wa majirani wetu

    • @chunaamina8719
      @chunaamina8719 4 ปีที่แล้ว

      Teresia ww hahaa😂😂

    • @chunaamina8719
      @chunaamina8719 4 ปีที่แล้ว

      That's the fact my dear, hp warudi chekechea kwanza den waingie studio😂😂🇰🇪

    • @mussaniaje3649
      @mussaniaje3649 3 ปีที่แล้ว

      Huachiiiii ovyoooo siwapendi

  • @halima23862
    @halima23862 4 ปีที่แล้ว +9

    Mama ni mama tuuuuuuu

  • @hellenmwengwa1825
    @hellenmwengwa1825 4 ปีที่แล้ว

    Diamond alichukua uchawi na mamake mzazi kwa iyo ukitaka kuolewa na diamond kubali unacho sema mamake 🙌

  • @jeffchurum1431
    @jeffchurum1431 4 ปีที่แล้ว +6

    Nimengonja mamake Diamond aongee lakini mdada unaongea sana. Haupumui jamani Lo! 😂

  • @jartininget773
    @jartininget773 4 ปีที่แล้ว +8

    Mama yake alisha mupatiya dawa. Sasa Diamond wowa mama yako

    • @hamzacedricole3673
      @hamzacedricole3673 4 ปีที่แล้ว

      Jartin inget respect wakati alimlea kwa tabu mlikuwepo washa mond amsikilize mama yake maana ndio pepoyake ya duniani

    • @Waberoya
      @Waberoya 4 ปีที่แล้ว

      @@hamzacedricole3673 ww umeoa mama yako?

    • @lyciakavumbi7294
      @lyciakavumbi7294 4 ปีที่แล้ว +1

      @@Waberoya 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @marygaspary199
    @marygaspary199 4 ปีที่แล้ว +1

    Aliambiwa aachane na Diamond akakataa cha wacha wengine wajifunze

  • @mtumwaharunaally7255
    @mtumwaharunaally7255 4 ปีที่แล้ว +1

    Familia huyo kichefuchefu lakini kesho tu utasikia mwanamke mwingine amejichomeka hataree

  • @juliejaphet2700
    @juliejaphet2700 4 ปีที่แล้ว +7

    Basi endelea na maisha yako unalialia nini Sasa .

    • @winfridagama2042
      @winfridagama2042 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa walisema mpole, akae kimya atulie tu.

    • @zuwenaalamini4158
      @zuwenaalamini4158 4 ปีที่แล้ว

      Mapenz yanauma mamy

    • @RahzyQueenter
      @RahzyQueenter 4 ปีที่แล้ว

      Amelia wapi?nenda usikie jinsi alivyoongea Hana Shida tena anaheshimu hiyo familia

    • @vickytanui1158
      @vickytanui1158 4 ปีที่แล้ว

      @@RahzyQueenter for real this pple have to revisit tanasha's conversation hamna mahali alilia, she just said I respect diamond's mom na io familia kwa jumla be mapenzi haikuwork for the reason hakexplain,,,,, ni kingereza hawaelewi ama???

    • @juliejaphet2700
      @juliejaphet2700 4 ปีที่แล้ว +1

      Ni kiswahili au kingereza ,kikuyu au jaluo mtajiju.Waswahili husema
      yamekwisha .

  • @beawarefun2013
    @beawarefun2013 4 ปีที่แล้ว

    Nitafute niwe nikikufanyia translation juu mambo mengi hujayasema moja Kwa moja alivyoyataja Tanasha, amezungumza Kwa heshima Sana kuhusu familia ya diamond apart from saying the truth about her relationship

  • @gtarsmoid2777
    @gtarsmoid2777 4 ปีที่แล้ว

    OK

  • @DaCapoh
    @DaCapoh 4 ปีที่แล้ว

    Hivi kama mzazi sidhani kama unaeza kua na dhana kwamba mke wa mwanao aneza kumuua mwanao......ni kitu kibaya kama mzazi. Huyu ni mtu ambaye amekua kama mwanao alaf panapotokea ugomvi na watu kuwachana kauli yako ni tofauti sana......mambo ya watu wawili ni magumu sana

  • @omarswaleh6082
    @omarswaleh6082 4 ปีที่แล้ว

    Huyo mama akae aombe msamaha kwa mola wake arudi kwenye dini asisteri

  • @ashulamusin9811
    @ashulamusin9811 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndo ukome tanasha uliambiwa ukawa ujishaua

  • @judyrose8047
    @judyrose8047 4 ปีที่แล้ว +13

    Watazania ni kizungu hamfahamu ama ni nini?

    • @chunaamina8719
      @chunaamina8719 4 ปีที่แล้ว

      Judy Rose wangefahamu mama Mond Na dada zake wangetupea vijembe, but English ndio problem

    • @irenemwanaa8160
      @irenemwanaa8160 4 ปีที่แล้ว

      Nikweli

    • @wemaroy1535
      @wemaroy1535 4 ปีที่แล้ว

      @@chunaamina8719 kina kupa kula icho kingereza fala we🤣🤣

    • @nelmaemma8224
      @nelmaemma8224 4 ปีที่แล้ว +1

      Siyo watanzania familia ya diamond ndio hawajui usituunge wote ni sawa Leo tusema wakenya ni malaya na mnataama za wanaume wa kitanzania

    • @khadijarashid1592
      @khadijarashid1592 4 ปีที่แล้ว

      Tatizo la watanzania ni kiherehere tuu, zero brain Hawajui lolote,wao wanajua off course tuu

  • @Wanjikumugathigia
    @Wanjikumugathigia 4 ปีที่แล้ว

    Tanashadonna is not a lier ,mamadagote is married to Diamond.

  • @monicamjera2219
    @monicamjera2219 4 ปีที่แล้ว

    Kizungu nishida kwenu wa Tz mnakaa hamkuelewa alichosema tanasha sasa tulieni umbea tuu kila uchao

  • @manallove1
    @manallove1 4 ปีที่แล้ว

    Tanasha should report this post ...thats a wrong statement kumuwekea mtu ambaye ni public figure

  • @tobbyfrank4278
    @tobbyfrank4278 4 ปีที่แล้ว +3

    Wrong translation

  • @laurenciamushi8727
    @laurenciamushi8727 4 ปีที่แล้ว

    Mama dangote anatakiwa ajielewe xaxa kama watt walweza kuyakubal mahuciano yake ingawa ye n shugamami bac aciingilie ya watt jaman au anataka dai amuoe yy?
    Nakumbuka maneno ya Zar alsema alpoambiwa kuwa Tanasha anamimba Kuwa je, Tanasha anahela ya kumlea mtt wake? Watu wakafkr Zar anamuonea wivu kwakusema hvyo kumbe hawajui Zari aljua ktakachotokea mbelen daah mama dangote jrekebshe xaxa

  • @halima23862
    @halima23862 4 ปีที่แล้ว +18

    Msije ukasema uongo tumemuelewa kwenye TH-cam maana mnapenda kuengeza chumvi

  • @maurineachieng495
    @maurineachieng495 4 ปีที่แล้ว

    Mambo

  • @florencesebisaho8649
    @florencesebisaho8649 4 ปีที่แล้ว +1

    Sikio LA kufa halisikii dawa,tanasha ukome

  • @fatmafaki6163
    @fatmafaki6163 4 ปีที่แล้ว +4

    Kitu gani kimekufanya upayuke mitandaoni wewe mtoto, kweli wewe mshamba

    • @nshonabdll9363
      @nshonabdll9363 4 ปีที่แล้ว

      Yn mm nashangaa kila ck haishi stor kuhusu mondi ili mladi tuu asi potee Mitandaoni ww usha sepa sepa maneno ynn

    • @irenemtabilwa6638
      @irenemtabilwa6638 4 ปีที่แล้ว

      Pole san tanasha

  • @sizmaggymaggy5677
    @sizmaggymaggy5677 4 ปีที่แล้ว +2

    Anataka kuwa dayamodi akitaka nini uuuu mutoto wako atazeyeka bila muke

  • @Vibes1722
    @Vibes1722 4 ปีที่แล้ว +1

    I swear clickbait is real 🙄🙄

  • @brianogero7013
    @brianogero7013 4 ปีที่แล้ว

    Ikiwa hauna jambo lakusema kimia wacha kuzuxha jna kuua c neno nzri kindly be wise tke it easy

  • @mwarabuwatanga3250
    @mwarabuwatanga3250 4 ปีที่แล้ว

    Tanasha kama kakua cku hizi baada ya kuachana na mondi amekuwa kiakili tanasha

  • @brigithadidas5128
    @brigithadidas5128 4 ปีที่แล้ว +1

    So interview nzima umeongea ww mtangazaji? Hatuhitaji kukusikia wewe tulishasikia side ya Tanasha now we need side ya D's family na sio wewe

  • @luckydavid7475
    @luckydavid7475 4 ปีที่แล้ว

    We mtangazaji mbwa koko

  • @kilimanjarojjcarhire240
    @kilimanjarojjcarhire240 4 ปีที่แล้ว +1

    Wakenya ni vilambasi halafu ni washamba tanzania English tanzania English nso nini iyo lugha mnaona dili sana wajinga nyie huku kunaongelwka lugha zote kama hamhamini nendwni arusha huko na znz mkaone watu hawajaenda shule wanaongea kitaliano kama wametoka milan acheni ujinga ndo maana mkija huku mnabawagwa na kufukuzqa ndo maana atuwapendi mmeIdi zalau

  • @doreenkathure1799
    @doreenkathure1799 4 ปีที่แล้ว +1

    Tanasha..tanasha please avoid this community husband diamond and the intrusive mother

  • @marywamaitha
    @marywamaitha 4 ปีที่แล้ว

    Mafala ni wengi kweli loh

  • @olgacaleb4002
    @olgacaleb4002 4 ปีที่แล้ว

    Ajasema tanasha umesema wewe mtangazaji,acha umbea,kumbe umbea nayo ni kazi

  • @Miriam84Akizimana
    @Miriam84Akizimana 4 ปีที่แล้ว

    Mh

  • @pendokenneth8729
    @pendokenneth8729 4 ปีที่แล้ว

    Kali sana

  • @halima23862
    @halima23862 4 ปีที่แล้ว +4

    Hakuna alichosema kuhusu. simu

    • @lyciakavumbi7294
      @lyciakavumbi7294 4 ปีที่แล้ว

      🤣 🤣 🤣 🤣 Nashangaa ametoa wapi?umbea wataka nafasi lol

  • @daughterofziontv530
    @daughterofziontv530 4 ปีที่แล้ว

    Nyamaza tumsikie tanasha

  • @halamafeleji3445
    @halamafeleji3445 3 ปีที่แล้ว

    Ee urijisongeza kwani siri

  • @mwajabuamiry5690
    @mwajabuamiry5690 4 ปีที่แล้ว

    Acheni uongo

  • @aishandayishimiye5127
    @aishandayishimiye5127 4 ปีที่แล้ว +1

    Uzinifu mzigo

  • @cherylgal2935
    @cherylgal2935 4 ปีที่แล้ว +2

    The moment u see a man failing in two good relationships my sister don’t waste your time
    I wounder why people can’t easily see that
    I knew so so well this would happen that guy is like that

  • @nancymbutha6527
    @nancymbutha6527 3 ปีที่แล้ว

    Wen u go to Romans behave like they do.....kiherehere utawacha naniii....celebs life matters

  • @antoinettedjumapili2522
    @antoinettedjumapili2522 4 ปีที่แล้ว +3

    kutokuelewa lugha ni ulemavu kweli yaani so called Tz media wengi waho hawaeliwi kingereza?

    • @atienootieno1091
      @atienootieno1091 4 ปีที่แล้ว

      Very true,hawaelewi

    • @moindimoindi9116
      @moindimoindi9116 4 ปีที่แล้ว

      That's their biggest challenge.... Instead of campaigning to get their children to learn English, they are busy throwing insults every with their little or Lack of understanding.

  • @nellienjeri7361
    @nellienjeri7361 4 ปีที่แล้ว

    Wewe presenter, kwa kweli ujinga wako ni mbaya sana, sababu inaonekana huelewi kiingereza ilhali unatapatapa ujulikane unakiekewa kuelezea watu.lakini yale unazungumza umeongea tofauti na vile Tanasha alivyo ongea

    • @ruthluyobya186
      @ruthluyobya186 4 ปีที่แล้ว

      Kweli tusipende kuongeza chumvi. Tanasha aliongea. vizuri Sana kistaarabu Wala hakutaja. Jambo la kukashifu Wala kuumbua mtu Bali aliongea ukweli bila kupindisha mzungu siku zote hapendi uongo.

  • @anthonynyoike2872
    @anthonynyoike2872 4 ปีที่แล้ว +1

    I watched the whole interview the translation is ???????

  • @annakasala4151
    @annakasala4151 4 ปีที่แล้ว

    Ukijichomeka kichwa kichwa mbaya zaidi ukajizalisha mapema pole

  • @maggefrank1982
    @maggefrank1982 4 ปีที่แล้ว

    Huyuu mam Naye kama mtot vilee

  • @CaperAfrica
    @CaperAfrica 4 ปีที่แล้ว +1

    "Ep2:Mambo 18 ya kumwambia mpenzi wako akapagawa na wewe" pita na link hii....
    th-cam.com/video/4dnrREP9H30/w-d-xo.html

  • @mohkivuti
    @mohkivuti 4 ปีที่แล้ว

    Gosh.. Wrong translation 🙅..

  • @therealar9904
    @therealar9904 4 ปีที่แล้ว

    We mtangazaji ni makalio kweli sasa kichwa chako cha habari mbona hakisadifu kilichopo kwenye habari.....mjnga ww

  • @sonackshiryanmogi4766
    @sonackshiryanmogi4766 4 ปีที่แล้ว +3

    But hiyo caption ni meme tu!😂

  • @cylivamtravis7021
    @cylivamtravis7021 4 ปีที่แล้ว

    Aje aoe akothee ajue si wakenya wote Wanapenda jokes

  • @RahzyQueenter
    @RahzyQueenter 4 ปีที่แล้ว +1

    But Tanasha ni wapi ametaja mama ya diamond vibaya?woii Tanzanians learn to listen Kwanza amesema mama mzazi wa mtu lazima aheshimiwe na akasema waliachana kivyao hakutaja Jambo lolote Baya Kwa mamake diamond!

    • @christabelathiambo3038
      @christabelathiambo3038 4 ปีที่แล้ว

      priscar arteta my dear tanzania awajuwi English ndio sinda Kwao

  • @misanamohamedi8438
    @misanamohamedi8438 4 ปีที่แล้ว

    Uyu shida yake kubwa ilikua ni kupata chansi ya kusainiwa wcb,hakua mjengaj wa familia

  • @evaoggema289
    @evaoggema289 3 ปีที่แล้ว

    Build ua country build u wakenya si waswahili stop minding others people things ua president tried nd he died achana na Kenya

  • @annmbogo3212
    @annmbogo3212 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwani the same way Tanzanians can't speak English does it mean they can't understand?

  • @fatumaally1903
    @fatumaally1903 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwenzio akinyolewa wewe tia maji

  • @catherinewanjiku2962
    @catherinewanjiku2962 4 ปีที่แล้ว

    Si ungeacha yeye aongee😏

  • @mwatimemwaita5878
    @mwatimemwaita5878 4 ปีที่แล้ว

    Uliona mwanamme kakosa a na bibi ake na wewe unajiingiza hapo ujue utakuwa unatumiwa kupoza maumivu ya yule alie achana nae

    • @RahzyQueenter
      @RahzyQueenter 4 ปีที่แล้ว

      Kwani tanasha alienda Kwa diamond akiwa na mwanamke mgani?acheni zenyu hamisa alifanya zari akaondoka wakati alirudi wema akafanya tena akaondoka tee alienda kama diamond Hana hao wanawake unavyosema

  • @peniellapeniella5084
    @peniellapeniella5084 4 ปีที่แล้ว

    Duu

  • @zashamloli1233
    @zashamloli1233 4 ปีที่แล้ว +1

    Zar miak mia mtamkumbuk xn ay sasa kko wap

  • @yussufsuleiman7845
    @yussufsuleiman7845 4 ปีที่แล้ว

    F

  • @winniedorah778
    @winniedorah778 4 ปีที่แล้ว

    Si diamond amwoe mamake basi

  • @susanmwaka2577
    @susanmwaka2577 4 ปีที่แล้ว

    Tanasha hujui kuvikula umeshindwa na Zari the boss Lady

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 4 ปีที่แล้ว

    Tatizo mbagala

  • @jayn7490
    @jayn7490 4 ปีที่แล้ว

    Ukipata mwanamume kila wakati n mama amesema! Mama amesema! Jua nijike pia si dume tuu,,, mama boy dont deserve a wifey

  • @hildaeliapenda3938
    @hildaeliapenda3938 4 ปีที่แล้ว

    Mfupa ulimshinda fisi paka atauweza

  • @kelvin8324
    @kelvin8324 4 ปีที่แล้ว

    Tanzania has the worst Educational system in East Africa .....instead of going to school to get knowledge wao huenda ku-sharpen skills za udaku....A whole presenter who can't even translate simple English....kwani what is the difference between mtazania amesoma na mwenye hajasoma....

  • @nshimirimanacecile8430
    @nshimirimanacecile8430 4 ปีที่แล้ว

    Kweli mama nima hatukatahi kwa nini huho mama hanazidisha siho hivo jiweke fasi ya mama na fasi ya wakwezake huho mama ni mwanga hahache ku muhukumu mtoto wake hamupe na fasi diamond na bibi zake amupe hamani ahache ku wa bana

  • @winnykkathambi6211
    @winnykkathambi6211 4 ปีที่แล้ว +3

    Wrong translations ..oh my God don't you understand even the simplest words Mama go do your research well then come back and do the translations again!

  • @happnessmsolwa4222
    @happnessmsolwa4222 4 ปีที่แล้ว +6

    Sio kwamba watanzania atujuh English Ila watangazaji ndo hawajuh jaman nyie watangazaji msitufanye tuonekane wajinga Tena mkome sio Tanzania ya wajinga toka na interview yako ya uongo na ukienderea na hvyo utapoteza views piga kelele kwa Tanzania yetu 🇹🇿

    • @geillabroffenz5845
      @geillabroffenz5845 4 ปีที่แล้ว

      Happness Msolwa hahahahahaha, tena wanafanya icho kingereza kama ndio kipimo cha shule na uelewa ukoloni umetuharibu sana wenzetu wanasoma kwa lugha zao huko Nchi za Asia na kwingineko sisi ndo tunanyoosheana vidole na kutupiana macho jaman kingereza ni lugha tu km ilivyo kiswahili. Looh

    • @tonianekesa342
      @tonianekesa342 4 ปีที่แล้ว

      hehehe u unatetea wa tz nawewe pia unajichanganya tafuta mkenya , ugandan , rwandese awatafsirie interview ya tanasha idiots naona Tanzania wazazi wanaharibu school bure kama nyinyi ndio university graduates tanasha aliongea simple English mnatafsiri vingine hehehehe.

  • @lucykavivi4136
    @lucykavivi4136 4 ปีที่แล้ว

    Si akuoe basi,mzenge wewe

  • @mamakeangel3885
    @mamakeangel3885 4 ปีที่แล้ว

    Idles people's mmekosa ya kufanya wapumbavu nyie

  • @elizabethswai1790
    @elizabethswai1790 4 ปีที่แล้ว

    (?)

    • @sifahamisi5872
      @sifahamisi5872 4 ปีที่แล้ว

      Tanasha Wenda kunakitu Amungu kakukinga ,mshukuru Mungu na usirudi kuamini mwanaume bila kumchunguza.wewe pambana nauwanyeshe zarau kama Ya Zari ,usisumbuke tu es une femme intelectuelle.prend un seul proverbe on dit /on repos les con en silence,tu es une belle fille ,les temps vient ,soi prudent ma fille

  • @doreenshadrack2281
    @doreenshadrack2281 4 ปีที่แล้ว

    We nawe siunyamaze tumsikilize mwenyew unaongea mda mrefu adi kero

  • @mamahusein4476
    @mamahusein4476 4 ปีที่แล้ว +2

    Mama ni mama tu Hawa wengine wanafuataga maslay tu.kwanza tulikuwa hatumjui amepata.jina na umaarufu kwaajili ya mond akwendree

    • @uwimanauwimana7303
      @uwimanauwimana7303 4 ปีที่แล้ว +1

      Mama Husein acha ujinga. amuowe. mama yake. mbona ss tuna. ishi na mama. mkwe. na waume. zetu. hawana. tabiya. kama. hizo. za huyo bisandra mshamba. kazaliwa. kwenye nja. kigoma. kwenye. vumbi. lekundu. 😒😒😒

    • @Ms.mulambe
      @Ms.mulambe 4 ปีที่แล้ว

      Basi watanzania wanaringa na hyo mjinga wao🤸🤣🤣eti dangote 🧐 illiterate 😏 Yani hcho ndio Cha kujivunia?🤣🤣🤣🤣🤣🤣 siwaelewi huwa🤪

    • @shangosamson2901
      @shangosamson2901 4 ปีที่แล้ว

      @@uwimanauwimana7303 umenena vyema

    • @wemaroy1535
      @wemaroy1535 4 ปีที่แล้ว

      Mama husein mama kaz yake ni kukuleta dunian akishakuleta kaz yake imeisha ata akifa amekuwa kashamalza jukum lake na Wala hana asala yeyote wenye hasara ni wale uliebaki nao

    • @uwimanauwimana7303
      @uwimanauwimana7303 4 ปีที่แล้ว +1

      Wema Roy na mshanga sana huyo mama akifa je ? atakwenda na mwanaye kaburi 😒😒 kuna mama na mfaham alikuwa hivyo hivyo. yalikuja badaye kumkuta. ! mwanaye akafa. jeuri ili kwisha na kuwa omba msamaha. ma EX wa mwanaye. 😒😒

  • @jassyb2437
    @jassyb2437 4 ปีที่แล้ว

    Wewe rudi shule acha ujinga kuongea mambo hauelewe kumbafu wewe