Wazee wetu akina kayetta hata huko waliko watakuwa wanafarijika sana nyimbo zao zitaishi milele yote waimbaji mbalikiwe sana mpiga kinanda umenibariki sana
Nafarijika kuona vijana wanaanza kutambua thamani na umuhimu wa kuenzi Muziki Mtakatifu Katoliki Tanzania Tapo la Kimapokeo. Organist huyu anafuata nyao za wazee wake hapa St Maurus Kurasini. Amefanya kazi ambayo imenikonga sana na kunipelekea kutoa maoni yangu.
Wazee wetu akina kayetta hata huko waliko watakuwa wanafarijika sana nyimbo zao zitaishi milele yote waimbaji mbalikiwe sana mpiga kinanda umenibariki sana
Good work,Mola awabariki🙏
Nafarijika kuona vijana wanaanza kutambua thamani na umuhimu wa kuenzi Muziki Mtakatifu Katoliki Tanzania Tapo la Kimapokeo. Organist huyu anafuata nyao za wazee wake hapa St Maurus Kurasini. Amefanya kazi ambayo imenikonga sana na kunipelekea kutoa maoni yangu.
Well said!!
📌
Kabisa
Hongereni Sana Mmeimba Vizuri Mno Sana Sana, Dada wa gauni jekundu umeimba kwa hisia sana hakika umenibariki Sana
Asante sana kwa tafakari nzuri, Ijumaa kuu iwe ni ishara wazi ya Imani yetu.
Sana hizi Ndo nyimbo za kikatoliki.tu mashaili tunavuta Sana au mi Ndo sielewi.Asante kwa tafakari
Heri ya Pasaka kutoka 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Kaka keep up the gud work.... 🎉
Good work and God bless you
Mtunzi Mungu akulinde! Melody is so adorable! Well done! Waimbaji! Your organizing is so inspiring! Waimbaji nawapenda bure.
Hongera san kwa kazi nzurii ♥️
Kidadamle🙌🙌
Mwalimu Edoo
❤❤❤
Safiiii sanaa
Ijumaa kuu njema
hongereni sana kwa music safiii hakika mziki umetulia
Mungu awabarik Sana
Blessings dear ones, sweet voices touching many souls 🎉🎉🎉
Good work my guys. Always my best. Natural work always 🎉🎉
Good❤🎉
Asanteni sana. ❤❤❤
Asante sana kwa kutusaidia kutafari na kusali. Endeleni kumtukuza Mungu kwa kuimba
Kila ukisikiliza wimbo huu unakua na furaha sn
Asante sana kwa tafakari nzuri galaxy pro studios na mwalimu wangu Edward Kidadamle🎉
Richard 🔥✊🏼🫡
Good work
Pongez kwa wana kwaya wote
Good job
Mbarikiwe sana wapendwa mmeimba vzr,na mcheza kinanda yuko vzr sana Hongereni na Mungu awabariki 6:05
Kazi nzuri ahsante sana.
🙏🙏
𝑵𝒊𝒄𝒆 𝒔𝒐𝒏𝒈
Maestroo😎🔥🫡
❤❤❤