ah ata sijui nisemeje najiona kutokwa na machozi tu zama zimepta kama upepo ardhi imemeza watu wengi kweli wapenzi wetu Allah awarehemu na awasamehe makosa yao yote
naikumbuka san a zanzibar yetu nakumbuka mbali sana hasa nikiona hizo video,naipenda znz na kila siku nasema zanzibar ndio kwetu, eee Allah tunemeeshe na uilinde nchi uetu wape nguvu na ushindi wazanzibar waondoshee sshida dhiki na maradhi wape uadilifu viongozi wake wajaalie uchungu wa nchi yao,nimeimiss zanzibar one day i will back home,ZANZIBAR NDIO KWETU
Allah akupe firdaus na akusamehe makosa yako Amin
Vya kale ni dhahabu. Old is gold mashaaAllah utamu uko pale pale
Super nyimbo zote Safi.Napenda.nyimbo Za.Seif Salum.piya.napenda Za kibwana wa Black Star.Tanga.nakumbuka mbali
MashaaAllah I remember 30yrs back love it . bless you bin seif...
Allah amrehemu amsamehe makosa yake,ombi langu nyimbo zake tusizipige kwani tunampatisha tabu huko aliko
Kweli kaka
ah ata sijui nisemeje najiona kutokwa na machozi tu zama zimepta kama upepo ardhi imemeza watu wengi kweli wapenzi wetu Allah awarehemu na awasamehe makosa yao yote
ni kweli
naikumbuka san a zanzibar yetu nakumbuka mbali sana hasa nikiona hizo video,naipenda znz na kila siku nasema zanzibar ndio kwetu, eee Allah tunemeeshe na uilinde nchi uetu wape nguvu na ushindi wazanzibar waondoshee sshida dhiki na maradhi wape uadilifu viongozi wake wajaalie uchungu wa nchi yao,nimeimiss zanzibar one day i will back home,ZANZIBAR NDIO KWETU
Uko wapi kwa sasa?
The best singer ever!!!
Home sweet home wallahi old is gold kweli na hizi vidio zilowekwa hutufanya wa mali tukakutamani kwetuu thanks
Nyimbo nzuri ktk east African nzima.big up
❤❤❤❤❤❤❤ bi z wangu
Our be loved Old is Gold Taarab Zanzibar
Our be loved Zanzibar taarab
Yaasalaam! I love Zanzibar
Bimoza watu wananiuliza
Babu❤
love this song
Mashaallah
Even myself I love my country Zanzibar
Lipi nilopendwa kwako Fatma watu wananiuliza
hahhah mpaka jina umeweka
Zamani
E33
❤️❤️❤️❤️
Mwaaaa
Old is gold❤
MashaaAllah I remember 30yrs back love it . bless you bin seif...