MUME WANGU AMEMPA MIMBA BINTI YANGU WA MIAKA 10 |AMEWALALA WOTE |NAUMIA KUSHEA MUME NA MWANANGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 84

  • @nadiatanzania
    @nadiatanzania 9 หลายเดือนก่อน +2

    Miaka kumi sikubaka Jaman😢

  • @ms-kyle
    @ms-kyle 9 หลายเดือนก่อน +3

    Kuna matukio ukikutana nayo kwenye maisha moyo wako unavunjika vipande vipande,pole sana dada Allah akifanyie wepes inshaallah

  • @VickEdson-z1d
    @VickEdson-z1d 9 หลายเดือนก่อน +8

    Pole sana dada mungu akutie nguvu

  • @gladnesswilliam3688
    @gladnesswilliam3688 9 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana kweli Mungu akupe uvumilivu tu kwa hali ya kawaida bila Mungu unaweza fanya kitu kibaya ,,yaan wakati Mwingine unaweza kufuru nakusema Mungu hayupo Kuna watu kila siku wanatafuta watoto lakini hawapati ila kuna Mwingine anatapa jaribu ambalo hawezi kulisahau kila akimuona mtoto huyo😢😢 daaah Mwenyezi Mungu azidi kukupa ujasir mama

  • @MayarashidiMayarashidi
    @MayarashidiMayarashidi 9 หลายเดือนก่อน

    Pole mama mungu yupo atakutetea

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 9 หลายเดือนก่อน +1

    JAMANI KINA MAMA TUFUNGE MIKANDAA. TUKISHAKUWA NA WATOTO, TUPAMBANE WENYEWE. MUNGU NDO MPAJI WA KILA KITU SIYO WANAUME.NA UKIANGALIA SIKUHIZI WANAUME WENYEWE HAKUNA, WAMEBAKI WABAKAJI TUU.

  • @esterhezron6143
    @esterhezron6143 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ila hizi kesi za kina baba kubaka watoto wa wake zao zimezidi khaaa!!! Wanaume mbna hamna utu jamn

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kosa lako ww Dada ni kuwaacha Watoto wa kike na Mwanaume hata kama ingekuwa ni Watoto wa kuwazaa, umefanya kosa kwa kumwachia Fisi mizoga, ni lazima atawala tu. Huyo Mwanaume hafai kwenye Jamii. Wanatubadike tuwe waangalifu kwenye Malezi ya Watoto na kumwomba Mwenyezi Mungu sana kwenye Malezi ya Watoto, sisi wenyewe peke yetu hatuwezi. Pole sana Mpendwa wangu.

  • @mutaladjasmini4815
    @mutaladjasmini4815 7 หลายเดือนก่อน

    Dah pole sana mitihani 😢😢😢Allah akuwekee wepesi 😢😢😢

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 9 หลายเดือนก่อน +2

    MUNGU AKUTIE NGUVU, NA AKUBARIKI ILI UWEZE KUPATA MAFANIKIO.

  • @MizeKombeSuleiman-id1rp
    @MizeKombeSuleiman-id1rp 9 หลายเดือนก่อน +1

    Waaah innallillahi wa inna ileyhi rajioun na baba ameshikwa ama yuko huru atie watoto wengine mimba mitaani

  • @TatuHaji-k8s
    @TatuHaji-k8s 9 หลายเดือนก่อน +8

    Nimekupenda mama Allah atakusaidia unamaneno ya hekima sana kwa mwanao usimchukie mwanao hana kosa

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 9 หลายเดือนก่อน +1

    TUJIANGALIE JAMANI . MAPENZI SIYO KILA BWANA KUMZALIA MTOTO. MAANA WANAOTESEKA NI WATOTO. KWELI WATOTO NI FAIDA YA BADAYE, LAKINI ILI WAJE KUKUSAIDIA , WANAHITAJI KUSOMESHWA NA MATUNZO MAZURI.

  • @SantaJumaa
    @SantaJumaa 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ya rabiiiy tulindie vizazi vyetu peke yetu atuwezi

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l 9 หลายเดือนก่อน +1

    Miaka 35 nguvu bado anayo hana kilema atafute kabiashara au kibarua ..amke aache kuwa tegemezi kwa misaada mungu atamsaidia wengi uarabuni wameacha watoto ili kujikimu ..sielewi kulia haisaidii Zahir mara nyingi toa elimu mma bado kijana

  • @salhamohamed9240
    @salhamohamed9240 9 หลายเดือนก่อน +2

    Subhanallah kumbe mtoto wa miaka 10 anaweza kushika ujauzito na kujifungua pole sana dada mungu akufanyie wepesi

    • @mimahmimah1595
      @mimahmimah1595 9 หลายเดือนก่อน +1

      Na mm ndio inanishangaza 10yrs anapata mimba kivip yan 10yrs anakua ashapata hedhi😢

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  9 หลายเดือนก่อน +1

      Yeah anapata mimba ndio

    • @zamBakar-y3j
      @zamBakar-y3j 9 หลายเดือนก่อน

      Kuna watt wanawahi kuvunja ungo wakiwa na miaka tisa tayari wanaanza kuona siku zao

    • @Awatee
      @Awatee 9 หลายเดือนก่อน

      Mw​@@mimahmimah1595Mwanamke maumbile yakupata hedhi ni miaka 9 sio Ajabu hili Mungu mkubwa kila mtu na maumbile yake

  • @reynaaalrawahi4137
    @reynaaalrawahi4137 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole mdogo wangu. 😭

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 9 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana mdogo wangu kwakweli unapitia wakati mugumu sana daaaah wanaume nyinyi siwatu wazuli

  • @zainab8251
    @zainab8251 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana dada inaumiza sana ila hakuna namuna imetokea kikubwa subra tu

  • @jamilajamila183
    @jamilajamila183 9 หลายเดือนก่อน +2

    Dah pole cna dad jamn nyie wanaume hawa ,, na lifie tu jela laanakum

  • @reyAlila
    @reyAlila 9 หลายเดือนก่อน +2

    Zahiri hii siyo habari njema . Ninachiweza kusema hawa wanahitaji Therapist kwa kueza kuendelea sababu hiyo hali mama anayo haitatoka because kuna mtoto amezaliwa mama anatakiwa apate msaada kuikubali hali, siyo rahisi jamani. I'm feeling this woman anachopitia. Counsellor /Therapist is the beginning of unpack hayo yote. Amelia sana hapo ulipokuwa umeongea naye. Anahitaji yeye na mtoto wake kupata sehemu ya ku unpack huo uchungu. Tanzania sijui wanapatikana wapi. Ushauri tu

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 9 หลายเดือนก่อน +2

    Akarudia ten duuh wanawake mungu wangu w na maisha yalivo magum

  • @reynaaalrawahi4137
    @reynaaalrawahi4137 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atamlani huyu mwanaume

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 9 หลายเดือนก่อน +2

    Inauma sana kwakweli yaani ila ndugu kuwa na subra tu ishakua😢😢

  • @aminahamad3428
    @aminahamad3428 9 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana ndugu

  • @ramadhanhassan9308
    @ramadhanhassan9308 9 หลายเดือนก่อน +6

    Hiyo sio ndoa

  • @allyadam7355
    @allyadam7355 9 หลายเดือนก่อน +3

    hakika nizaid ya ukatili pole san sister

  • @MizeKombeSuleiman-id1rp
    @MizeKombeSuleiman-id1rp 9 หลายเดือนก่อน +1

    Punguzeni maneno makali jaman no one is perfect jamani

  • @japhetstanley4302
    @japhetstanley4302 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole inauma sana

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa wanaume wana nguvu nyingi za ngono kwa watoto wa wake zao kama hakuna wanawake wakubwa 😮😮

  • @sayunimkongwa9830
    @sayunimkongwa9830 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole dada wanawake Bora tubaki single

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 9 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana

  • @MO12-b1q
    @MO12-b1q 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kaká Zahir umefanya jambo lá maana kuzificha nyuso Zao nimependa sana

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  9 หลายเดือนก่อน +1

      Yeah asante sana

    • @maryamadam5622
      @maryamadam5622 9 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa kuficha nyuso za hawa watoto. Hawani wadogo ma wanahitahi stara.

    • @mutaladjasmini4815
      @mutaladjasmini4815 7 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

  • @ZahratAhmad-o1v
    @ZahratAhmad-o1v 9 หลายเดือนก่อน +1

    Moyo lazima umuume huyo mama maana maisha hayo ni yawanyama kuku bata n.k

  • @allyadam7355
    @allyadam7355 9 หลายเดือนก่อน +2

    yan maisha mengin kam move ila ndo uhalisia wa maisha

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 9 หลายเดือนก่อน +10

    Jamani haya mambo ya kuishi pamoja nje ya ndoa ati kuishi kwa mahusiano au barua tu watoto wote ni wa zinaa, Baraka itatokea wapi hapo ?

    • @greenermichael2057
      @greenermichael2057 9 หลายเดือนก่อน +3

      Ukifunga ndoa hufanyi zinaa? We mshukuru Mungu tu mwenye ndoa yako

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 9 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@greenermichael2057sasa ukifunga ndoa utazini vipi labda uchepuke

    • @floranahashon4180
      @floranahashon4180 9 หลายเดือนก่อน +3

      Wangapi wako kwenye ndoa na maisha yao magumu au unafikili huyu kuzaa bila ndoa alipenda tengua kauli yako kama we umepata ndoa shukuru Mungu

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 9 หลายเดือนก่อน +2

      @@floranahashon4180 LAA jamani imekuwa mazoea kwa Tajiri au Maskiin, Mimi ndio nimeshasema ukatae kukubali ndio hivyo hivyo.

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 9 หลายเดือนก่อน +2

      @@greenermichael2057 Nashkuru Alhamdulillah 🤲🤲

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 9 หลายเดือนก่อน +2

    Pole daa

  • @dianajanes7661
    @dianajanes7661 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole mama nahis maumiv uliyonayo

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 9 หลายเดือนก่อน +3

    Jaman wabava duuh hamuogop jaman watt wadog hao watt nao hawasem

  • @noahmadali7150
    @noahmadali7150 9 หลายเดือนก่อน +2

    Usiumie dada ishatokea tayari na sio kwamba Mtt alijipeleka bali alibakwa na mdogo alikua bado jipe tu moyo shetani ndo aliingilia kati

  • @noahmadali7150
    @noahmadali7150 9 หลายเดือนก่อน +3

    Lakini watu wajifunze jamani kutorahisisha mambo usijaribu kwenda na watt wa kufikia kwa mwanaume mwingine ht km atajifanya kupenda watt lazima atakua na jambo lake nyuma ya pazia

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  9 หลายเดือนก่อน +1

      Hapa hakuna kosa huyu aliolewa so alijua yupo sahihi

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 9 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@maximumtvonlinesiolewi na wanangu bora nikose mume nilee wanangu kwa amani, huu ujinga uko kwa wanaume wengi

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 9 หลายเดือนก่อน +1

    Watanzania tunaelekea wapi jamani mtoto wa miaka 10 yeye na mama yake Umewatia mimba 😭

  • @nameno8608
    @nameno8608 9 หลายเดือนก่อน +3

    Maisha ndio hayo kuishi na mwanaume akutunzie watoto hayomambo hutokea pole sana ila Mungu atakusaidia

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ni upuuzi mwanaume akulelee watoto wa mwanaume mwenzie kitu kidogo anakulipiza kwa mtoto mi sitokaa nikaukibali huo ujinga mapenzi ni kwa wanangu na sio kwa mwanaume tena

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 3 หลายเดือนก่อน

    Yaani wabaume mkosa kinyaa mtoto wa mkeo sawa na mwanao poo😢😢

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel 9 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani... subhanallah ‼️..... Mupitie na kwangu munipe sapoti...bonyeza picha ya mnazi ❤❤❤

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 9 หลายเดือนก่อน

    MTOTO MJINGA SANA . BASI KAMA NI HIVO , BASI HAKUMBAKA MARA MOJA NAONA ALILALA NAYE ZAIDI YA MARA MOJA. NA HUYO BWANA KABILA GANI?.

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 9 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani hilo xee lichomwe moto hadharani.

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 9 หลายเดือนก่อน +2

    Dùuh miaka 60.....alf umri wake 40 akitok sinikizee hpo....ilaa pole mdada usimlaum mtt bali huyo jamaa hanamakosa....

  • @AbdallahSalim-tf1ee
    @AbdallahSalim-tf1ee 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tafadhali zahir unapo hoji jitahidi kueka simu silent plz

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 9 หลายเดือนก่อน +2

    😢😢😢😢

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 9 หลายเดือนก่อน +3

    Serikali yetu inakazi kweli maana nchi imejaa watu wajinga km hawa

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 9 หลายเดือนก่อน +1

      hatari ivoo tunailaumu serekali buree

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 9 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂nakweli niujinga unazaa tuy acha utandikwe na maisha ndo ujifunze

    • @reynaaalrawahi4137
      @reynaaalrawahi4137 9 หลายเดือนก่อน

      @@omanoman2044 kweli maisha. Yalivyo magumu kuzaa hovyo 😢

  • @MizeKombeSuleiman-id1rp
    @MizeKombeSuleiman-id1rp 9 หลายเดือนก่อน

    Apo ni miaka 30 anagoka inje juu miaka 60 ni usiku na mchana

  • @MARYLembeli
    @MARYLembeli 9 หลายเดือนก่อน +1

    Muuuaji mkubwa huyo bora akakae jera

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 9 หลายเดือนก่อน +1

    Afadhali nafiye huko shenzi yeye

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi wanaume wakisimamisha akili zinarukaga

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  9 หลายเดือนก่อน +2

      We acha tu hapo hata shetani huwa anajiweka pembeni kushuhudia mchezo ni upuuzi mtupu wallah