Ally kaka acha kumuvuliya adabu sheikh. Umezoweya kumusema vibaya sheikh lakini nakuwomba ukaye kimya acha kumudhalilisha sheikh,kwasababu kila mawayidha yake comments zako zote nizamatusi kwa sheikh.kaka kama huna lakusema kaa kimya. Ukizidi Mungu mwenyewe atakushugulikiya
maasha allah, uzuri wa sheikh shaweeji ana namna ya pekee ya uwasilishaji mada, maasha allah mtu unapata hamu ya kuskiliza na tunapata hibra sana ,jazaka llaaahulkhair sheikh
Asante sana sheikh wetu allah akuhifadhi
Inshallah
Shekhe Mwenyezi Mungu Akuzidishie Umri Abariki kizazi chako mawaidha haya ni mazuri
Huwa nakukubali Sana shekhe kipozeo unaongea vitu na uhalisia wake
Juma
Jazakallahu khaira
Ameen
Duuu kipozeo tabaarakallah fiii.
Ally kaka acha kumuvuliya adabu sheikh. Umezoweya kumusema vibaya sheikh lakini nakuwomba ukaye kimya acha kumudhalilisha sheikh,kwasababu kila mawayidha yake comments zako zote nizamatusi kwa sheikh.kaka kama huna lakusema kaa kimya. Ukizidi Mungu mwenyewe atakushugulikiya
Subhanallah
maasha allah, uzuri wa sheikh shaweeji ana namna ya pekee ya uwasilishaji mada, maasha allah mtu unapata hamu ya kuskiliza na tunapata hibra sana ,jazaka llaaahulkhair sheikh
Hakikah
Jazakallah
Profesa Hilal Shaweji Makarani "Kipoozeo"
Huyu sheick Kipozeo huwa namkubali sana
Allah akuweke tupate mawaidha mazur
Allah atuhifadhi na mitihani ya dunia
Amiin thuma amiiin
Mzee wa mizigo
ALLAH atuhifadhi na mashakhil za dunia Mawaidha mazuri naomba muwe muna upload mawaidha mengi za huyu sheikh kipozeo na masheikh wengine pia
In Shaa Allah
Jazakallahu kheir sheikh,
😀😀😀 shanga yake ya msikitini , allah akuhifadh sheikh
😅😅😅😅
hahahahahaaaaaaaaaaaa, wamakonde bhaaaaaaa
kumbe wamakonde wanga eeh🙄🙄