Mashaallah shekhe kwa mungu kukujaalia ukaja omani akatupa yalio mazuri mungu akuzidishie afya njema na akujaalie uje tena uzidi kutufanyia muhadhara mwengine Amiin
SubhanaAllah Allah amjaalie kheri sheikh kipozeo maneno mazito anayoyasema tunatakiwa kuyafikiria na kuyafanyia kazi inshaAllah Allah atujaalie na atukinge yaarab
Among of the best Islamic lecturer if you need to understand Islamic follow him
Mashaallah shekhe kwa mungu kukujaalia ukaja omani akatupa yalio mazuri mungu akuzidishie afya njema na akujaalie uje tena uzidi kutufanyia muhadhara mwengine Amiin
Shekhe kipozio Allah akupe umri nawatoto wetu pia wapate elm ka nyako amen
Mimi niko Oman. Sheikh nakupenda kwa ajili ya Allah. Una fani ya mihadhara. Allah akubarik.
"
Mashaalah....Hilali Sheweji Makarani(SHEIKH KIPOZEO)....Mungu akuzidishie elimu Na uendelee Na kazi mzuri ya muhadhara
I see Bilal ibn Rabah.. Mashaallah tabarakallah
Shekhe bigapu sana mm nakuheshim sana! mung akujalie maisha yote duniani na hata akhela
mwenyz mungu akupe umri mrefu uzid kutuelimisha
Sheikh huyu nampendaga sana mawaidha yake na ana matani pia yaani mtu unasikia raha kumsikiza . Mungu akujaalie sana sheikh.22.05.19.
Mashallah sheikh Allah akupe umri zaidi uzidi kufunza pamoja na hekma yake napenda mawaidA yake
Mashaallah sheikh Mungu akupe kila hitaji lako
Allah ibareek sheikh hilal kipozeo
I like his lectures and the way he gave the lectures
May Allah grants you with Jannat firdaus!
Mashaallah Tabaraka Rahman Allah Akujalie minal faizin اميين
Allah Akbar,pease be upon you sheikh and rest of the Muslim on the whole world
Jazaka Allah khaira shekh kipozeo
Huyu shekh maashaallah,madam yake zinaendana na wakati .
May Allah give good health and long life
mashaallah
jazaakallah kheri ewe bin shidhani Kwa kushare nasi
SubhanaAllah Allah amjaalie kheri sheikh kipozeo maneno mazito anayoyasema tunatakiwa kuyafikiria na kuyafanyia kazi inshaAllah Allah atujaalie na atukinge yaarab
Amiin thuma amiin
MashaAllah Allah bark
Alshidhani ....ruhusu download kwa umma upate jarriyah
Jazakallah kheir sheikh hilal kipozeo
SHUKRAN SHEIKH HILAL!!
Mungu akuhifadh sheikh.
ما شاء الله 🌹
Ma Sha Allah...
Allah amkubali shekh kipozeo
Jazakallah khair
Sheikh kipozeo
Shukran sana shekhewetu
Mawaidha safi sana
👍
Mashallah
Damz Athman Naam shekhe baaraka llahhu fiiik
Shukran
الله اكبر
Twayyibu
Nice
Mashaallah says
sheghe mashaa Allah
Maashallah
She he Kipozeo shukran sana kwakamaodha yako uchoki kusikiliza
Atachoka bayako
A'alaykoum, Abdullah Alrawahi ni kweli kabisa kwa mawaidha ya sheikh Hilali Kipozeo huchoki kuskiliza.....😗👌 Allah amuhifadhi in shaa Allah
Sadaka yenye kuendelea
Usipomuelewa huyu Sheikhe hutomuelewa Sheikhe yeyote. Mara nyingi kila anapoongea hutoa na dalili. Kisha fasaha wa matamshi.
sadaqta au swadaqta
💪💪💪🌎🕌❤️❤️❤️❤️❤️👀
Afsah kalam
😂😂😂😂😢
Allah amkubali shekh kipozeo