Funga Mfumo wa umwagiliaji /Drip system installation kwa gharama nafuu kabisa kupitia KSP.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Tunafunga mfumo wa umwagiliaji kwa gharama nafuu kabisa, tunafika Mikoa yote tupigie +255767406211. Karibu

ความคิดเห็น • 15

  • @AnthonyMarkos-uq2dp
    @AnthonyMarkos-uq2dp 3 หลายเดือนก่อน

    Duka la vifaa liko wapi

  • @HelbethMlelwa
    @HelbethMlelwa 2 ปีที่แล้ว

    Pamoja sana mkuu...

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 ปีที่แล้ว

    Naam ndugu,kwa Mwanza mnapatikana pia? Nahitaji huduma hii japo ni vyema ikiwa nitafka ofisini kwenu kwa mazungumzo zaidi. Salaam toka mwanza 🐟

  • @alifakimati9614
    @alifakimati9614 2 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu wakulima na wataalam wa umwagiliaji maji nawauliza haya maji ya kisima yenye ladha ya chumvi jee yanafaa kumwagilia maji mashambani.

    • @kilimosmartprojectsksp
      @kilimosmartprojectsksp  2 ปีที่แล้ว

      Kuna maji ya chumvi yanayofaa kwa umwagiliaji kama chumvi ni ya kawaida lakini kama chumvi ni nyingi sana mmea utaathirika.

  • @praygodmushi8554
    @praygodmushi8554 2 ปีที่แล้ว

    Mabomba au roller za ¾" na viungio vinapatikana vipi hizo drip roller zinzo nyeshea wap zinapopatikana au ndo hizohzo roller za ½" ???

  • @praygodmushi8554
    @praygodmushi8554 2 ปีที่แล้ว

    Na hizo gate valve

  • @emmanueljuma6263
    @emmanueljuma6263 ปีที่แล้ว

    Ekari kumi mnaweza nifungia kwà shi ngapi

  • @mikevida08
    @mikevida08 ปีที่แล้ว

    gharama zote ekari moja ngapi?

  • @bestrabbits6208
    @bestrabbits6208 2 ปีที่แล้ว

    Kwema ,natufuta wadau wanao lima kilimo cha organic kwa upande wa arusha na moshi.

  • @kelvinchisongela870
    @kelvinchisongela870 2 ปีที่แล้ว

    Beiga kuunganisha alfu mnaongea huku nalimziki unackika kwashida

  • @praygodmushi8554
    @praygodmushi8554 2 ปีที่แล้ว

    Sorry naweza pataje hizo drip

  • @mkude
    @mkude 2 ปีที่แล้ว

    Natafuta wadau natarajia kulima nipo morogoro