Nina experience ya kunywa maji aliyoiombea akiwa bado kama mwaka 9 hivi alikua anatembezwa sehemu nyingi sana na anasisitiza iwe ni maji ambao imetekwa msikitini..
Wanawake ndio waathirika wakubwa kwa utapel huu lkn haya yote yamesababishwa na wanaume kutofuata misingi ya din na kuoa wanawake wasiokuwa na dini enyi waja turudin kwa Allah hz ni zama za mwsho
Yaaan binadamu sijui waletewe nn ndooo waamini acheni ujinga nyieee mnaaandikaaa tuu upumbav kama hamjui kaaaeni kimya firdas Allah Skype maisha marefu yenye mafanikio makubwa ndani yake
Alafu wateja wengi ni wamawake sijui wanawake wanapenda kutapeliwa wanawake someni dini mjue mambo ya muhimu katika uislam tena dua au ruqya jifanyie mwenyewe lakin shart uwe umesoma huyu jamaa hajui kitu hajasoma cochote mweupe kichwani hapo anapiga swaga tu
Yaani huyu jamaa hajui kusoma hata suratul baqara sasa sharifu gani na sheikh gani huyu suratul fatiha haijui kuisoma vizuri na anapiga swaga tu dua hajui kusoma na anatapeli watu kwa ujanja ujanja wa mjini alafu kuna masheikh wanamtetea et kuwa yupo sahih mambo anayofanya si sahih Allah atawauliza waliowatetea watu washirikina na bidaa watakuta motoni milele
Kinachonishangaza ni kwamba maanshi yanayopita chini hapo yanaeleza kuwa sharifu alianza kufanya dua akiwa na mwaka mmoja na nusu ila maelezo aliyeyatoa mlezi wake Alhabibu Mazinge anasema kuwa huyu ni kijana wake alisilimu na amlea mwenyewe baada ya kusilimu kwahiyo wapo pamoja naye na pale anapokosea anamrekebisha sasa hiyo dua aliyokuwa akiisoma akuwa na mwaka mmoja na nusu ni dua gani?
Ayo ni malipo ya zinaa utaangaika mpka kufa ww mzinf mkumbwa mola akusamehe akuna dawa wala dua yakumponya uti wala ukimwi ulioutafuta kwa njia ya kuzini
Wakati anapokea mic 🎤 kauliza niimbe nisiimbe? Au hamjasikia? Pia hata kutaja Alhamdulillah hajui Mwenyezi Mungu atamlipa kwa anacho kifanya binaadam hatuoni tunapo oneshwa mpaka yatukute
Allah atupe afya njema. Ikiwa anfanya kwa ajili ya Allah, Allah amlipe, Ikiwa anfanya kwa ajili ya Dunia, Allah amsamehe
Nina experience ya kunywa maji aliyoiombea akiwa bado kama mwaka 9 hivi alikua anatembezwa sehemu nyingi sana na anasisitiza iwe ni maji ambao imetekwa msikitini..
Wayahudi na manaswara walikuwa si wema sana ila hawakuwa waongo. Ila hili jamaa PUMBAVU SANA. Mwenyezi Mungu tulindie Dini yetu.
Mashallah Allah akuzidishie Kila la kheri shekh wetu kipenzi firdaus
Astaghfiru Allah
Kila mwenye kuhadaa Waumini Atahukumiwa Duniani na Kesho Aakhera.
Uislamu umekemea Vikali kuhusiana na Uchawi na
Shirki.
MashaaAllah tabaraka Allah Mola akuzidishie umri wenye kher
Subhanallah, eti huyu anakufa kesho, Allah atusamehe
Mashallah
kiwalani shikamoo, nmempoteza mama na kaka yngu wa pekee😭😭
Pole sanaa
Sijui ni umeolewa wangu mgumu, hata kutoa salaam hayupo SAWA na hayo matasbihi shingoni ni ya nn fanyenu msio na wasiwasi nayo
HUJAKOSEA NI KWELI KABISA HUYU DOROHONYONYO HATA SALAAM HAWEZI LAKINI NI SHEIKH MBELE YA HAO WAJINGA
Yaaani pia nime sikia kwmabali
Maashaallah
Wafundishe watu Imani wakijua Imani yao nilahisi kuzibiti vyote
Wanawake ndio waathirika wakubwa kwa utapel huu lkn haya yote yamesababishwa na wanaume kutofuata misingi ya din na kuoa wanawake wasiokuwa na dini enyi waja turudin kwa Allah hz ni zama za mwsho
Eti umaskini nusu ya ukafiri wakati mtume anasema maskini ndio wengi wataingia peponi huyu ni tapeli muongo
Yaaan binadamu sijui waletewe nn ndooo waamini acheni ujinga nyieee mnaaandikaaa tuu upumbav kama hamjui kaaaeni kimya firdas Allah Skype maisha marefu yenye mafanikio makubwa ndani yake
Aminna
Assalam allaikum warahmatullah wabarakatuh VIP kutoka burundi@@sheikhfirdaus6491
Masha Allah Allah akuzindishie
We
Kabla aujaaaanza kumponda mtu kwanza, inatakiwa umfatilie kwa yakini alafu uwe na uwakika wa kumponda kwako.
Alafu wateja wengi ni wamawake sijui wanawake wanapenda kutapeliwa wanawake someni dini mjue mambo ya muhimu katika uislam tena dua au ruqya jifanyie mwenyewe lakin shart uwe umesoma huyu jamaa hajui kitu hajasoma cochote mweupe kichwani hapo anapiga swaga tu
Hizi ni Dua' au swaga?
Huyu jamaa muongo balaa ana cheza na akili za kina mama dah Allah amjalie aijue dini na misingi yake Allah amuongoze katika njia ilionyooka
Yaani huyu jamaa hajui kusoma hata suratul baqara sasa sharifu gani na sheikh gani huyu suratul fatiha haijui kuisoma vizuri na anapiga swaga tu dua hajui kusoma na anatapeli watu kwa ujanja ujanja wa mjini alafu kuna masheikh wanamtetea et kuwa yupo sahih mambo anayofanya si sahih Allah atawauliza waliowatetea watu washirikina na bidaa watakuta motoni milele
Naomba uje na kwetu videte kupita mlamleni
Kinachonishangaza ni kwamba maanshi yanayopita chini hapo yanaeleza kuwa sharifu alianza kufanya dua akiwa na mwaka mmoja na nusu ila maelezo aliyeyatoa mlezi wake Alhabibu Mazinge anasema kuwa huyu ni kijana wake alisilimu na amlea mwenyewe baada ya kusilimu kwahiyo wapo pamoja naye na pale anapokosea anamrekebisha sasa hiyo dua aliyokuwa akiisoma akuwa na mwaka mmoja na nusu ni dua gani?
Amekutapeli nini kaja nyumbani kwako kakuta njiani aka kutapeli au kaweka hadhara watu Wana mfuata hebu acha ujinga
Et kujiandikisha 10000. Watu 100, jamaa ashapiga hesabu ya Million moja na point. Tapeli mtupu
Alafu anakusanya mademu tu..,wanaume sioni 😅
Huyu apigwe viboko
Mapeteyanini kama ww.ni mcha mungukwell
Shek sharif Niko Kenya Niko na u t I suguu naomba dua yako ili niwe huru.
Ayo ni malipo ya zinaa utaangaika mpka kufa ww mzinf mkumbwa mola akusamehe akuna dawa wala dua yakumponya uti wala ukimwi ulioutafuta kwa njia ya kuzini
Huyu atafitinisha wazee na watoto wao
Wewe ni mshilikina
Halrafu hili tapeli halijuwi kusoma wala halina aya yoyote wewe sio shekhe wewe ni mganga tapeli
Wanaobexa hurenda ndo wachawi wenyewe wsnaotesa watu
Mganga kicheche😅😅
Watu wengine hana adabu kwan yy amewita sio wamernda wao na matatizo yao
Amefanya haya tokea akiwa na miaka 2 kama hana mungu angesha kufa acheni midomo.mibaya nyie waja
Akil hawana
Chizi huyu jamaa
Nashangaaa wanamponda Bure ata alifu hawajui pumbavu zenu
Muateni kijana afanye kazi yake wa Cheni wivu
Wakati anapokea mic 🎤 kauliza niimbe nisiimbe? Au hamjasikia? Pia hata kutaja Alhamdulillah hajui
Mwenyezi Mungu atamlipa kwa anacho kifanya binaadam hatuoni tunapo oneshwa mpaka yatukute