Sheikh Hemeid bin Jumaa bin Hemeid (Al Marhum) Sheikh Kassim bin Jumaa (Al Marhum) Sheikh Suleiman Gorogosi (Al Marhum) Sheikh Suleiman Bin Amran Kilemile (Al Marhum) Sheikh Muharram Juma Doga (Al Marhum) Sheikh Twaha Suleiman Bane Wanazuoni wakubwa kuwahi kutokea katika nchi hii tuliwaidhika sana kupitia RTD na mawaaidha Yao miaka Ile 1980s - 1990s, Allah awape Pepo waliotangulia mbele ya Haki na waliohai Allah awape umri mrefu tuzidi kufaidika nao insha'Allah
Allah amraham sheikh wetu!
Qaariu Dr Aly Asaa.... Mbobezi katika usomaji wa Qur an
Allah ! Awajaalie Pepo ya firdaus marhum Mashekhe na wazazi wetu
Insha Allah
Allah amrehem sheikh wetu insha'allah aaamin🤲🤲🤲
Quran Nzr maashaa allaahu
Wallah Qiraa kimetulia pahala pake
Dr Aly Asaa...
ماشاء الله وجزاك الله خيرا🤲
Quran himesomwa kisomi sana mashaallah
Mashaallah
ما شاء الله
Sheikh Hemeid bin Jumaa bin Hemeid (Al Marhum)
Sheikh Kassim bin Jumaa (Al Marhum)
Sheikh Suleiman Gorogosi (Al Marhum)
Sheikh Suleiman Bin Amran Kilemile (Al Marhum)
Sheikh Muharram Juma Doga (Al Marhum)
Sheikh Twaha Suleiman Bane
Wanazuoni wakubwa kuwahi kutokea katika nchi hii tuliwaidhika sana kupitia RTD na mawaaidha Yao miaka Ile 1980s - 1990s, Allah awape Pepo waliotangulia mbele ya Haki na waliohai Allah awape umri mrefu tuzidi kufaidika nao insha'Allah
Allah amrehemu kipenzi chetu
Mwendo umemaliza.Nenda ukapumzike
Allah ampe jannatilfirdaus