Kifua mbele 1.Bandari 2.Ngorongoro 3.Kupita bila kupingwa 3.Kodi zetu mmenunulia pikipiki za CCM 4.Watu wanapotea 5.Miaka 63 ya uhuru barabara mbovu vijijini 6.mnahimiza kujiajiri wakati nyinyi mmeshindwa kujiajiri 7.Viongozi wanawaza uchaguzi kuliko maendeleo ya wananchi 8.Dawa shida hospitalini 9. Katiba mbovu 10. Mtu anayekosoa ni adui na mtu anayesifika ni mzalendo
Chadema chama cha vurugu
Kifua mbele
1.Bandari
2.Ngorongoro
3.Kupita bila kupingwa
3.Kodi zetu mmenunulia pikipiki za CCM
4.Watu wanapotea
5.Miaka 63 ya uhuru barabara mbovu vijijini
6.mnahimiza kujiajiri wakati nyinyi mmeshindwa kujiajiri
7.Viongozi wanawaza uchaguzi kuliko maendeleo ya wananchi
8.Dawa shida hospitalini
9. Katiba mbovu
10. Mtu anayekosoa ni adui na mtu anayesifika ni mzalendo
Nikweli lema na lisu wamehamisha familia zao wamebaki kama wahini nakianzisha machafuko Tanzania