Uyu anaye kuoji ni mpumbavu sana,iv alitaka mfanye maijiano au m’bishane?. Iv awaoni afya yako inakoelekea sio nzuri uwa wanakulipa kabla ya maojiano?:
Dudu baya yupo sahihi jina kubwa lakini huna pesa ndio kama fei toto alikuwa Yanga jina kubwa lakini anakula ugali na sukari sssa hivi jina limeshuka lakini maokoto yanaingia
Hivi kilicho fanya ZIWEPO izo Comments za Huyu Anaumwa ni Nn.?? Au Mnao umwa nii Nynyi Yes maybe nyie ndo Mnaumwa 😂😂 Kipi alicho kiongea Hadii U comment kuwa huyuu Mgonjwa 😅😅 Hopeless kabisa ETI ANAUMWA.?? mmh How kasema kipi Kibaya Jmnii
Huyu Mtangazaji Hana vigezo kama umeiona hiyo nipe like 👍 na subscribe
Yani mi ndiyo ameniboa sana
@@hamisially-c4x kazingua sana
Kimbelembele sana! Hajui Ata kuhoji!
Huyu mtangazi haja somea kabsaaa hajui hata kusikiliza mgeni daaaaaa😢😢😢
@@sittandaki2135 kakuambia ivo? Zuzu
Huyu mtangazaji katokea makete nn arudi kulima maparachichi😅
Mtangazaji kaharibu kontenti hafai kuhoji
Ni kweli dudu baya bado anaumwa lakini anajifanya yupo sawa 😢
Anayehoji ndo utazani anahojiwa😂😂..
Mtangazajii matako Kwelii juhoji haujui takataka mtangazajii
Ujui kbsa kumuhoji msanii rudi shule tenaaa
Huyu mtangazaji amehaibu kilakitu
Dudu ni mkubwa kuliko mtangazaji that's why anapata shida kumhoj
Uyu anaye kuoji ni mpumbavu sana,iv alitaka mfanye maijiano au m’bishane?.
Iv awaoni afya yako inakoelekea sio nzuri uwa wanakulipa kabla ya maojiano?:
Host jau kweli yani ampi mtu muda wa kujieleza anamkaiza katizi tu
Ok❤
Huwa napenda interview za Dudu baya, lakini huyu mtangazaji siwezi kuangalia mpaka mwisho.
hahhhhhhhhhhhh
Dudu baya yupo sahihi jina kubwa lakini huna pesa ndio kama fei toto alikuwa Yanga jina kubwa lakini anakula ugali na sukari sssa hivi jina limeshuka lakini maokoto yanaingia
HILI LITANGAZAJI LIMEHARIBU HII INTAVEW
Mwandishi jifunze kuumpa muda wa kuongea mgeni wako...unaongea sana wewe..unapandikiza maswali mengi
Aise Dudu baya bado anaumwa jaman
Kakuambia hivo?
Anaumwa nn
@ hayuko tu sawa! Aliwai umwaga sana angalia interview zake Ila naona hajapona
Huyu mwandishi sujui kasomea wapi tu yaani anaongea kama anapiga story na mshikaji wamekaa kijiwenini hajui hata kuhoji mgeni
Hivi kilicho fanya ZIWEPO izo Comments za Huyu Anaumwa ni Nn.?? Au Mnao umwa nii Nynyi Yes maybe nyie ndo Mnaumwa 😂😂 Kipi alicho kiongea Hadii U comment kuwa huyuu Mgonjwa 😅😅 Hopeless kabisa ETI ANAUMWA.?? mmh How kasema kipi Kibaya Jmnii
Umechanganyiki wewe mbona huoto nyimbo mamboyako yameisha wewe
Huyu ni mgonjwa
Ugonjwa wake nini mbona hajaongea kibaya