Ivi kama wewe kiongozi wa timu fulani ukapewa jukumu la kutafuta beki wa timu yaani usajili beki na ikatokea umepewa wawili hao uchague mmoja wapo inonga na jobu unachagua nani naomba like zenu wa dau na wapenzi wa mpira
hapo ni inonga job sana kwa inonga sema tu ni beki ambaye anakuja vizuri lakin si wakumzidi inonga, kuna sehemu bado anashida hata unaona sasahi unaona nabi kuna gem hataki kumpanga sababu kuna kitu kinakosekana kwake lakini inonga yeye ni full packej anakupa kila kitu labda kama wameona wampe mzawa hapo sawa
Hongera job moro tuko pamoja naww
Hongera sana 🎉🎉
Hakika dikson job anastahili
Job alistaili maana tangu msimu unaanza ilkuwa anafnya kaz kwel
Nondo ndio bek bora kwangu mim
Ajacheza full season
Yanga kubwa kwa tz hii
Hongera
Una deserve bro
Mpe tuzo Yako kama unaona nondo ndo beki bora
Yes
shomari kapombe ndio alistahili hiyo tuzo , dicson job kapendelewa huu ndio ukwel ,,anazidiwa na wachezaj watatu hapo
Anastahili
Utopolo mmewabeba sanaaa Mara MVP,Mara mnalazimisha kuwapa kiatu,marabeki bora mbona hamkuangalia takwimu
Yaani ikatokea umepewa jukumu la kutafuta beki wa timu fulani na ikatokea imo na jobu unachagua nani
Tanzania tutaacha lini siasa kwenye mpira maana hapo jobu wakupewa beki bora nae yule
Patupu fc wanateseka balaaa
Mohamed bacca hatari zaidi
JOB
Hamfiki inonga
Umenuna.
ok yote kwa yote unaumia ukiwa wapi
Inonga deserve
Daaah 🤣🤣
Tuache ushabiki inonga t shabalala kapombe ila kwa jobu tff mmepewa rushwa na mama hapo mmetupeleka hapo
Yani vilabu 16 vilivyo shirki vilabu viwili tu ndio vivyo towa wachezaji walio shindania tuzo hiyo au video ime kwatwa.
Haijatulia kabisa hii
Hapo sasa
Walichujwa😅
th-cam.com/video/QtvcRuacmtc/w-d-xo.html TAZAMA PENZI LA SHEMEJI LAMNOGEA DADA
Inonga
🤣🤣🤣