Bwana mfalme ameketi milele atawabariki watu kwa amani asante sana watumishi wa Bwana kwa maneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Bwana mfalme Asante kwa kunilinda muda wote wa maisha uliyonijalia nashukuru kwa nataka hii kuu Asante naomba hayo kwa njia ya Kristy bwana wetu Amina.
Asante sana Kwa kutukumbusha nyimbo zilizoimbwa vizuri... naturally
Hebu tuletee kwaya ya vijana St. Theresa Arusha..twendeni Kwa Bwana... special request.
Marehemu baba yangu alikuwa anaipenda sana nyimbo hii mungu ampumzishe Kwa amani
Nice display of the crescendo and decrescendo 👏🏼
Bwana mfalme ameketi milele atawabariki watu kwa amani asante sana watumishi wa Bwana kwa maneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Bwana mfalme Asante kwa kunilinda muda wote wa maisha uliyonijalia nashukuru kwa nataka hii kuu Asante naomba hayo kwa njia ya Kristy bwana wetu Amina.
Amen
Ni kweli ameketi Milele kitini cha Enzi 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
naweza taka kuona wana choir hawa waliotuimbia nyimbo tamu hivi kitambo
Bwana mfelme ameketi milelee
❤
Asante John Mgandu
Ameen
JOHN MGANDU😭😭
Hivi hii aliyepiga kinanda ni nani? Mujwahuki au?
Asante ❤
Kristu Mfalme