Niwe wako Bwana yesu siku zote , niwe wako Bwana yesu siku zote asanteni sana kwa maneno ayo yenye umuhimu sana katika maisha yetu, Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Hakika mwalim Mwanga watukumbusha nyimbo hizi za zamani inapendeza sana, mtunzi ni nani? Pia naomba kama utapata nyumbo hizi uziweke. Tazama mimi nipo pamoja nanyi,by kashumba. Sauti yako nimesikia by Nyundo.
Av been looking for this song's instrumental
Williams asante kwa hizi nyimbo 🙏
Niwe wako Bwana yesu siku zote , niwe wako Bwana yesu siku zote asanteni sana kwa maneno ayo yenye umuhimu sana katika maisha yetu, Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Fr Stan jmn ,love him
Niwe wako Bwana Yesu siku zote niwe wako Bwana Yesu siku zote ♥❤ ♥❤♥❤♥❤♥❤
Ooooh my God the song is soo nice.pliz God help me
Hakika mwalim Mwanga watukumbusha nyimbo hizi za zamani inapendeza sana, mtunzi ni nani? Pia naomba kama utapata nyumbo hizi uziweke. Tazama mimi nipo pamoja nanyi,by kashumba. Sauti yako nimesikia by Nyundo.
I am speechless
Hizi Nyimbo ni dhahabu zA Kipepekee 🙏🙏🙏
Nakumbuka ujio wa papa Yohana Paulo wa pili Tanzania
Ahsante sana kwa kunikumbusha siku ya Upadrisho Parokia ya Madibira, Jimbo la Iringa, miaka takribani 20 iliyopita.
This is 1990 song I guess. From Fr Stanslaus Mtajwaha jibo la Bukoba
Unanikumbusha cku zangu nikiwa seminari na nikiwa mpiga kinanda kanisani
Ee yesu nifanye niwe wako sku zote amina
Utukufu kwa Mungu juu mbinguni.
Amen niwe wako
Utume mwema katika Bwana wetu yesu kristu
Get blesssed
Amen
Hakika niwe wako bwana Yesu siku zote
👏👏👏
Asante umenikumbusha mbali
Niwe wako bwana YESU sikuzote