LISSU APIGWA ZA USO KISA KUGOMBEA UENYEKITI WA CHADEMA, AITWA MROPOKAJI, BOB CHACHA WANGWE AWAPASUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 28

  • @stevenmengo8356
    @stevenmengo8356 11 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa ni very calm and cool. Honest and innocent. Bravo

  • @FranceKomba-sn3ui
    @FranceKomba-sn3ui 15 วันที่ผ่านมา +1

    Bob hata usingekuwa upande wowote kwa hoja zako tu ,huu ni muda sahihi wa lissu kupeperusha bendera ya chama ...Thanks kaka

  • @gervasmsilanga9999
    @gervasmsilanga9999 15 วันที่ผ่านมา +1

    hapo sawa kabisa lissu ndo mambo yote

  • @vicentbunzal7342
    @vicentbunzal7342 15 วันที่ผ่านมา +5

    Lisu anatosha kuiongoza chadema,mbowe huu Ni wakati wake wa kupumzika basi

  • @justusmukurasi4383
    @justusmukurasi4383 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mh mbowe, hebu angalia maoni ya wengi na mwachie LISSU please understand the situation ❤ brother

  • @MichaelMwamanda
    @MichaelMwamanda 15 วันที่ผ่านมา +1

    Unaongea point sana

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 15 วันที่ผ่านมา +4

    Busara ndo kuacha kukemea rushwa😂😂busara ndo kuacha kufata maoni ya familia yake na chama chake

  • @AmosJohhn-f1l
    @AmosJohhn-f1l 15 วันที่ผ่านมา +3

    Ni kweli mbowe amekuwa kiongozi imara sana tunautambua mchango wake ndani ya chadema ,lkn kwa sasa lissu anastairi kuwa mwenyekiti kwa sasa

  • @JamesMichael-y8l
    @JamesMichael-y8l 15 วันที่ผ่านมา +3

    Hiv kwa hizi spaces bado mbowe anaona anachaguliw vip na chama kitakuwa na hali gani

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 15 วันที่ผ่านมา +1

    Wazee wajalibu kumshauri mbowe,,ajiondoe kama mzee haji duni alivyo jiondoa,,ataendelea kuheshimika,,awachie vijana,,alikuwa mbowe zamani

  • @halimammbaga7346
    @halimammbaga7346 11 วันที่ผ่านมา

    Kura ndio msema kweli

  • @JamesMichael-y8l
    @JamesMichael-y8l 15 วันที่ผ่านมา +2

    Usiogope bro waliotoa contribution ni weng wengne wamekufa contribution sio mbowe tu hiv waliokufa kina aliphonce mawazo wamekufa kwa ajili ya chqma mbowe yeye contribution kama ni fedha sio contribution hakuna mtu bora kwenye chqma kuliko mwingne wote wana contribution hakuna chqma bila wanachama hakuna bora kuliko mwingne unless mbowe atoke kutuambia chama ni mali binafsi

  • @raymondnlelwa427
    @raymondnlelwa427 15 วันที่ผ่านมา

    Ila kwa Mbowe kusema Chama Changu hajakosea hata kidogo, inategemea ni jinsi unaichukulia kwa sababu hata wewe unaweza kusema hivo hivo tu.

  • @KephaMwailolo
    @KephaMwailolo 15 วันที่ผ่านมา +2

    Lisu kushinda nilazima,

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 15 วันที่ผ่านมา

    Mbowe ni Ccm wa siri tangu aende ikulu kwa mama

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 15 วันที่ผ่านมา

    Mbowe ana kitu sio bure ,hamna cha busira na pia ana maslahi yake hapo

  • @goodluckjohnuiso-gt1fg
    @goodluckjohnuiso-gt1fg 15 วันที่ผ่านมา +2

    Lisu kafanya nini akiwa m/kiti wa kanda ya kati na akiwa kaimu m/kiti? Kanda ya kati chadema imekufa chini ya lisu,mpeni lisu m/kiti taifa aue cdm kitaifa

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 15 วันที่ผ่านมา +1

      Hujafany chochote ww ulitaka afanye nn6

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 15 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂
      Umechanganyikiwa au umekunywa maji ya bendera siku nyingi. Miaka 61 unaishi vipi kimaisha chini ya ccm

  • @evelina9621
    @evelina9621 11 วันที่ผ่านมา

    Hakuna.ndunia.hata.mitume.ndio.walikuwa.waamini.kazi.zilionyesha.mtendo.ujasili.ukamavu.jituma.lisu.hakubali.kumongʻopa.maguli.mbowe.hawezi.kupambana.alitetea.mkakà.mbungeni.hamoʻni.tramp.marekani.wanachi.walisema.bora.trump.kuliko.kamaliza.hawezi.kupambana.mabadiliko.

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 15 วันที่ผ่านมา

    Mbona mnatumia nguvu kubwa kumzungumzia mbowe? Mnataka ajitoe acheni upumbavu nyie uchaguzi utafika kura ndo zitaamua

  • @gracemnyani6848
    @gracemnyani6848 15 วันที่ผ่านมา +1

    nani kakwambia lissu atashinda???

    • @JumanneKigori-fm1nn
      @JumanneKigori-fm1nn 15 วันที่ผ่านมา +4

      Wapiga kura wa mkutano mkuu na wanachama ndo wamesema

    • @geraldleger5793
      @geraldleger5793 15 วันที่ผ่านมา +4

      Wewe ni nani kakwambia hatashinda ?

  • @clifordsebwa
    @clifordsebwa 8 วันที่ผ่านมา

    Mbowe unatakiwa upumzike hiki sio chama cha familia yako

  • @MichaelMeshack-i2r
    @MichaelMeshack-i2r 15 วันที่ผ่านมา +1

    LISU HAWEZI SHINDA UCHAGUZI

    • @JumanneKigori-fm1nn
      @JumanneKigori-fm1nn 15 วันที่ผ่านมา

      @@MichaelMeshack-i2r uwe unatabiri ukiwa na njaa usisubiri ukashiba.