MASYA ALLAH.. Aku penggemar Maher Zain dari Indonesia.. Aku sangat senang sekali mendengar senandung2 dari Maher Zain..suara beliau sangat adem jika bersenandung.. Semoga semakin sukses karya2 beliau.. Amiiinn
@@hassanisadiki824 Maher Zain is a Lebanese-Swedish R&B singer, songwriter and music producer. He released his debut album Thank You Allah, an internationally successful album produced by Awakening Records, in 2009. He released his follow-up album Forgive Me in April 2012 under the same production company, and a third album One in 2016. Wikipedia Born: July 16, 1981 (age 40 years), Tripoli, Lebanon Spouse: Aicha Ameziane (m. 2009) Instruments: Vocals; guitar; piano; keyboard; percussion; synthesizers Parents: Mustafa Maher Nationality: Lebanese, Swedish Children: Abdullah Maher Zain, Yasmine Maher Zain, Aya Maher Zain
Dah Sijaona hata jina Moja la kikristo kutoa comment humu inaonyesha wazi wakristo wabaguzi hawawapendi waarabu na Uislam.. nyinyi hata msimsapoti huyo Maher Zain.. basi toeni sapota Kwa huyo mtanzania mwenzenu alikiba
Huyu ni Mwanamuziki kama walivyo wanamuziki wengine Uislam uko mbali na haya Mambo Labda pengine mwa ghurika na kwa kuwa anaimba Kwa kiarabu mkadhani ni Uislam la hasha Au vile anavyochomekea Maneno na Alfadhi za Dini! Kiarabu ni Lugha kama lugha nyingine Huu ni mziki Mziki kamili
Kwani kila mziki ni haramu? uhawaramu wa kitu una vitu vingi sana kaka usome kwanza ndo utoe fatuwa usione kila anaekwenda hapo hajasoma utadharirika.mzee kuwa Makin kuna watu wanajua sana kuliko.hata wewe hatufati Maneno ya kiarabu tunafata kilichokusudiwa au nyie ndo mnao dhani uarabu ndio uislamu? kasome kwanza kaka ndo uje na Hoja kamili
Sana umeongea kweri Hana utofauti na wanamuzikiwengini ni haram kabisa. Kisheria ya kiislam wapenda bigodolona madufu wanaona raha a kumbewanajipalia mizambi
@@affaanothmaan6287 we nani umemuona hamchi Allah mtume alikuwa akiimbiwa Mashairi na Swahaba wake mmoja wewe na mtume nani ana akili au unaongea uonekane na wewe umeongea? kwenye hiyo video Maher zain alikuwa anatumia shairi bila ala za muziki vip useme hapo kafanya uharamu kasome kwanza ndo uje ubishane na mm
@@barakathdthekinda3722 ahahahahahah nimekuelewa kaka sio kila mziki ni haramu weka kwaya zile ambazo zinamsifu na kumtaja mungu msikitini au kwenye Maulidi tupigie kwaya za Goodluck Gozbert kuna ile moja nzuri kweli inaimbwa hauwezi kushindana na mwanadam mwenye kinywa ayayaa 😂😂😂 usihalalishe vitu mzee maji na mafuta haviwezi kukanganyikana pamoja
Me sio Islamic lakn huyu bro namfwatiliaga sana aise
Alhamdulillah to be a muslim!
And i love Muhammad (s.aw)
Mwanamme kwa qaswida nzuri huyu mashallah ana sauti pia qaswida zake zote nzuri mashallah 😘🙏
Haha
sanaa yuko vzr sanaa
Asha ujue hata mimi pia nina sauti nzuri yakuimba 😀😀😀
@@bongokiwi1171 wee usinambie imba tukusikie basi
Nasheed so Kasida
Mimi si muuminj wa islamic lkn maher namfatiliaga🙏
Kidogo kidogo ndo mweno inshallah unakaribishwa katk dini nzuri yenye manuufaa inshallah 💞💞
MASYA ALLAH.. Aku penggemar Maher Zain dari Indonesia.. Aku sangat senang sekali mendengar senandung2 dari Maher Zain..suara beliau sangat adem jika bersenandung.. Semoga semakin sukses karya2 beliau.. Amiiinn
شو ها لحلاوة هاي ربي يقدرك على فعل الخير🇩🇿🇩🇿🇩🇿🇩🇿🇩🇿🇩🇿🇩🇿🇩🇿👍
MashAllah I love maher zain and the nasheeds the vocals and everything....king of nasheeds
Mashaallah nimefurahishwa sana na mavazi ya madada nakina mama walio hudhuria
Huyu Maher Zain namkubali sana yupo vizur Kwa qaswida za kiarabu
Allah akuzidishie kipaji 💯💪
Kiba amemuona msanii mwenzie.mungu awajaalie watoke huko
Yote ni miziki
Mambo in motooo
nampenda Maher Zein sn tu na qaswida zake ♥️♥️♥️
Wakongwe wame kutana 😍😍😍😍😍
MashaAllqh I wsh I will be there wallah rahaa
Wow. Wow saut inapamba. Sana.
Mashallah. Qaswida taaamuu
Mashaallah mashaallah mashaallah 💕💕👌
Mashaallah kazi nzur kwa Maher Zain 👏👏👏👏👏💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋
My best foverate in fans marherzein
I was love your albums before using music
Mashaallah mashaallah mashaallah❤️
Woowww masha allah
mashaAllah Allah Barik
MashaaAllAH 🥰🥰🥰
ماشاء الله تبارك الله
Masha Allah
Beautiful nasheed and amazing
voice mashallah.. ❤️🌹💚
Maashallah namombasa piya ndhoo
His voice is so beautiful, Masha Allah.
Mashallah my Allah bless u all brother and sister ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashallah mashallah 👍👍
Manshallah
Mashallah 🎉💯 I'love mahre zein
MashaAllah
Na vle mashaallah zimejaa kwa comments utadhani ni jambo la heri. Hii ni kuonyesha jinsi gani watu ni majaahil katika dini yao. Allah atuongoze
Mashallah
Kusema ukweli nilijulia moher zain saudi sikukua namjua napenda sana nyimbo zake
Ilove Maher zeyn
Huu ni mziki kama bongo fleva wenye kutumia luha ya kiarabu na kumtaja Allah .
Umeonaee hamna kitu hapo
We kutwa unasengenya basi ndio halali
Tafuta nyumba za kiarabu usikilize alafu msikilize Maher zain kisha njooo uandike upumbavu wako tena
Hata pilau utasema ni makande yamewekewa mchele.😄
@@hassanisadiki824 Maher Zain is a Lebanese-Swedish R&B singer, songwriter and music producer. He released his debut album Thank You Allah, an internationally successful album produced by Awakening Records, in 2009. He released his follow-up album Forgive Me in April 2012 under the same production company, and a third album One in 2016. Wikipedia
Born: July 16, 1981 (age 40 years), Tripoli, Lebanon
Spouse: Aicha Ameziane (m. 2009)
Instruments: Vocals; guitar; piano; keyboard; percussion; synthesizers
Parents: Mustafa Maher
Nationality: Lebanese, Swedish
Children: Abdullah Maher Zain, Yasmine Maher Zain, Aya Maher Zain
Dah Sijaona hata jina Moja la kikristo kutoa comment humu inaonyesha wazi wakristo wabaguzi hawawapendi waarabu na Uislam.. nyinyi hata msimsapoti huyo Maher Zain.. basi toeni sapota Kwa huyo mtanzania mwenzenu alikiba
Yupo mmoja tu wallah
Hivyo si vitu vya kiislam kumradhi usihusiahe dini na muziki
MashaAllah🙏🙏🙏
Ma sha Allah
mashallah this is my favorite singer
Bismilah mashalaah
Mashallah ❤️ ❤️ ❤️
mashaallah nice voice
Ongereni sana nawapenda sana
Wow 🥰🥰
Mashallah tabaka llah
Mashallah
I love maher zain
Kumbe huyu msanii kaja Tz duh.. Hatari.
Awesome
Mashallah love marazen
Waooo
Nimefrah zaher kuj UK tanzania
Hamna kitu hapo ni. Mzikitu. Wakina. Daimondi hamna faida katika dini ya kiislam kisheria ni zambitu
Sahihi kabisa hizi nyimbo tuwe tunazitafsiri vyema
Taarabu taarabu taarabu
Nyimbo ni haramu
Nipe Sababu za nyimbo kuwa haramu!
Manake unaweza ukasema nyimbo ni haramu halafu haujui uharamu wake unatokana na nini
St James alfajiri
Mashallah mashallah
Wonderful
Masha'Allah lakini hapa Diamond hawezi patikana😂😂😂
Kwa nini
Diamond na nyimbo zake za matusi wapi na wapi na Maher Zain ni mstaarabh
Xote nyimbo tu kama a za daimontnd kasolo kumtaja Allah na mtume wetu Muhammad hi kwenye dini hsikubaliki kabisa ni mzikitu huwo
Hatakama ingekuamimi nisingeweza kujizuiya namkubalisana mwamba
mashallah tabarakallah ❣️❣️❣️
❤️❤️❤️
Nasheed
Kuna jambo na alikiba
🥰🥰🥰🥰
🙏🏿🙏🏿🙏🏿mwamba huyo
N N K H❣❣❣❣❣❣
Kwanini na wewe Alikiba hujisikiyi unyonge kumpokea msoma Nashidi Wakati ww ni Muimba mziki namziki Allh Ameharamisha Mziki Hatakama unapatapesa kiasigani hizosipesa uatakapokufa Huwo Ni Motounakula Nakila Nyimboyako ikisikilizwa huku ulimwenguni ww unaongezewa Adhabun hiyi ni naswahayangu kwako
🤲🤲🤲🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Diamond yko kwa #foa🤣🤣
🤣🤣
😂😂😂😂😂 fao ndo nn jaman ni naona tu😂😂😂 fao fao
Foa jaman
Huyu ni Mwanamuziki kama walivyo wanamuziki wengine Uislam uko mbali na haya Mambo Labda pengine mwa ghurika na kwa kuwa anaimba Kwa kiarabu mkadhani ni Uislam la hasha Au vile anavyochomekea Maneno na Alfadhi za Dini! Kiarabu ni Lugha kama lugha nyingine Huu ni mziki Mziki kamili
Kwani kila mziki ni haramu? uhawaramu wa kitu una vitu vingi sana kaka usome kwanza ndo utoe fatuwa usione kila anaekwenda hapo hajasoma utadharirika.mzee kuwa Makin kuna watu wanajua sana kuliko.hata wewe hatufati Maneno ya kiarabu tunafata kilichokusudiwa au nyie ndo mnao dhani uarabu ndio uislamu? kasome kwanza kaka ndo uje na Hoja kamili
Sana umeongea kweri Hana utofauti na wanamuzikiwengini ni haram kabisa. Kisheria ya kiislam wapenda bigodolona madufu wanaona raha a kumbewanajipalia mizambi
@@barakathdthekinda3722 Mche Allah ewe mja acha kutetea yaliyo haramishwa!!
@@affaanothmaan6287 we nani umemuona hamchi Allah mtume alikuwa akiimbiwa Mashairi na Swahaba wake mmoja wewe na mtume nani ana akili au unaongea uonekane na wewe umeongea? kwenye hiyo video Maher zain alikuwa anatumia shairi bila ala za muziki vip useme hapo kafanya uharamu kasome kwanza ndo uje ubishane na mm
@@barakathdthekinda3722 ahahahahahah nimekuelewa kaka sio kila mziki ni haramu weka kwaya zile ambazo zinamsifu na kumtaja mungu msikitini au kwenye Maulidi tupigie kwaya za Goodluck Gozbert kuna ile moja nzuri kweli inaimbwa hauwezi kushindana na mwanadam mwenye kinywa ayayaa 😂😂😂 usihalalishe vitu mzee maji na mafuta haviwezi kukanganyikana pamoja
😂😂
th-cam.com/video/x9TgkeHquQk/w-d-xo.html diamond afanya visa dodoma
Masha Allah
Mashaallah 🥰🥰
Maashallah
Mashaallah
Mashallah
Mashalah
MashaAllah
masha Allah
Mashaallah 🌹 🌹
MashaAllah
Mashallah
Mashaallah
masha allah
Mashallah